afya

  1. M

    Wanaharakati wa mambo ya afya ifike sehemu mseme tusile kabisa ili kuepukana na magonjwa. Mnazunguka sana.

    Hawa ndugu wa Janabi kuna wakati wanazingua balaa. Yaani kila mtu anajitokeza na kusema tusile hili wala tusile kile. Nimekuta huyu mmoja huko Twitter anadai tusile ugali, wali na kitu chochote kinachotokana na ngano. Kama vipi ifike sehemu waseme tusile kabisa kama kila kitu hakifai. Kaandika...
  2. Kuchagua viongozi mwaka 2020, bila kujali afya zao,umri na demokrasia limesababisha Vifo vya madiwani watatu mkoa wa Geita.

    Huko Geita halmashauri Leo wanatarajia kuzika diwani wa tatu tangu waliopitishwa na JPM 2020. Walipitishwa,bila demokrasia,kujali umri,afyana matokeo yake wengi wamefariki bila kufikisha udiwani wao mwisho. Wengine ni wagonjwa, wengine ni wazee. Hili tatizo limeenea nchi nzima kuzika madiwani...
  3. A

    SoC04 UKIMWI Unatibika Endapo Tukiwa na Teknolojia ya Kisasa Katika Sekta ya Afya

    UKIMWI Unatibika Endapo Tukia na Teknolojia ya Kisasa Katika Sekta ya Afya UKIMWI, ambao unasababishwa na virusi vya ukosefu wa kinga mwilini (HIV), umekuwa tatizo kubwa la kiafya duniani kwa miongo kadhaa. Tanzania ni mojawapo ya nchi ambazo zimeathirika sana na janga hili. Hata hivyo, kuna...
  4. N

    SoC04 Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25 ijayo katika sekta ya Afya

    Tanzania Tuitakayo: Miaka 5-25 Ijayo Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inakusudia kuwa taifa lenye ustawi mkubwa, usawa wa kijinsia, na huduma bora za afya. Ili kufanikisha malengo haya, ni muhimu kuhamasisha wanawake kushiriki kikamilifu katika mchakato wa maendeleo na...
  5. Ulipuaji mabomu wakati wa mazoezi ya kijeshi unaofanywa na polisi kikosi cha kutuliza ghasia FFU manispaa ya Musoma udhibitiwe ni hatari kwa afya za w

    Kambi ya jeshi la polisi kikosi cha kutuliza ghasia FFU kilichoko mtaa wa uwanja wa ndege kata ya kamunyonge manispaa ya Musoma kinaendesha zoezi la ulipuaji mabomu na silaha za kivita ovyo bila utaratibu wakati wa mazoezi yao bila kutoa tahadhari kwa wananchi jambo ambalo limekuwa kero na kuzua...
  6. Naomba kujua kiwango cha mshahara wa Wahudumu wa Afya ngazi ya jamii

    Naomba kujua kiwango cha mshahara wa Wahudumu wa Afya ngazi ya jamii
  7. KERO Mfereji wenye maji yenye kinyesi unatumiwa kumwagilia bustani za mbogamboga Kibaha Maili Moja, Wataalamu wetu mko wapi?

    Ni hatari tupu! Ukifika Kibaha Maili Moja njia panda ya kwenda Ofisi za Mkuu wa Mkoa, utaona kuna bustani ya miche ya miti na maua mbalimbali, pembeni yake kuna boda boda, ukifika walipo bodaboda utakutana na harufu nzito, hapo kuna mfereji uliochepushwa kutokea vilipo vyoo vya soko la Maili...
  8. R

    SoC04 Typhoid, ugonjwa unaouzwa kama nyanya na hospital binafsi

    " Daktari, Mimi Typhoid yangu naijua nikihisi tu naenda kununua dawa nakunywa na napona vizuri tu" Sentensi hii madaktari tumekua tukikutana nayo mara Kwa mara pindi tuwaonapo wagonjwa wengi huku mitaani. Cha kusikitisha zaidi Ugonjwa huu umekuwa ukitumika kujiingizia faida Kwa hospital...
  9. J

    SoC04 Kuifikia Tanzania Tuitakayo: Matatu ya Kuweka Kipaumbele kwa kuelekea Tanzania Yenye afya njema

    Kumekuwa na kasi ya ongezeko kubwa la magonjwa yasiyoambukiza kulingana na tafiti za shirika la afya duniani (WHO) takriban asilimia 74 ya vifo vyote duniani vinasababishwa na magonjwa yasiyoambukiza nah uku magonjwa kama vile kisukari,shinikizo la damu,magonjwa ya figo na magonjwa ya moyo...
  10. Tunaotarajia kuomba kusoma Vyuo vya Afya kwa mwaka 2024/2025 tukutane hapa .TCU wanafungua mwezi ujao

    Hii ni thread kwa ajili ya kujadili changamoto ,miongozo ya kupata nafasi katika vyuo mbali mbali vya afya Hapa Tanzania.
  11. T

    SoC04 Jinsi Wizara ya Afya inavyo weza kushirikiana na Hospitali Binafsi na Wadau wa Afya kuleta ufanisi katika suala la Bima ya Afya

    Ni mara kadhaa sasa kipindi cha hivi karibuni kumeshuhudiwa sinto fahamu katika mfumo wa bima ya afya swala lililopelekea huduma kusuasua na kuleta sinto fahamu.Ifuatayo chini ni moja ya mfano dhahiri wa kuonesha kwamba kuna changamoto katika kuandaa mikakati ya kuboresha mfumo wa bima ya...
  12. SoC04 "Kuboresha Huduma za Afya Tanzania: Mikakati ya Kuimarisha Utendaji wa Manesi na Kurejesha Imani ya Umma"

    Utangulizi: Katika Tanzania, huduma za afya zinaendelea kuwa muhimu katika kuboresha ustawi na maendeleo ya jamii. Hospitali za umma zinachukua jukumu kubwa katika kutoa huduma hizi kwa wananchi, na manesi wanashikilia nafasi muhimu katika utoaji wa huduma za afya kwa ujumla. Hata hivyo, katika...
  13. Nyoka ndiye mmliki wa madini na tiba ambazo tukizijua basi tutaishi muda mrefu Duniani

    Nyoka ndio mmliki mkubwa wa madini na tiba duniani.watu wengi watajiuliza kwa nini ni mmliki wa madini na tiba. BIBLIA Yesu alisema hivi: “Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika...
  14. Zifahamu faida ya Aloe vera (Mshubiri)

    Ni Tiba Kwa Matatizo ya Tumbo: Kunywa mchanganyiko wa jeli ya aloe vera na maji nusu kikombe mara mbili kwa siku kwa siku tatu hadi wiki moja. Hii hutibu vidonda vya tumbo, kiungulia, na husafisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula. Huziimarisha Kucha Dhaifu: Pakaa majimaji ya aloe vera kwenye...
  15. Kutomwaga maji chooni kabla ya kujisaidia haja ndogo, imekaaje?

    Kumekuwa na katabia kwa vyoo vya public mtu anaingia kujisaidia hasa haja ndogo hamwagi maji kabla ya kujisaidia bali akisha maliza haja yake ndo humwaga maji. Hivi hii kiafya imekaaje
  16. Vinywaji baridi ni hatari kwa afya ya mzazi

    Wakuu nimekutana na taarifa hii inatahadharisha wazazi kunywa maji baridi. Taarifa inaonya kwamba jambo hili ni hatari kwa afya. Upi ukweli wa jambo hili?
  17. Kutana na Kondom ya kale

    Kondomu zilizotumika katika Roma ya Kale zilitengenezwa kwa kitani na utumbo wa wanyama (kondoo na mbuzi) au kibofu. Inawezekana kwamba walitumia tishu za misuli kutoka kwa wapiganaji waliokufa lakini hakuna ushahidi mgumu kwa hili. Kabila la kizamani la Djukas [1] lililoishi New Guinea...
  18. Wapi nitapata mtaalam wa tiba ya tezi dume?

    Naomba kufahamu ni hospital gani au Dr gani anaweza saidia tiba ya tezi dume. Mzee wangu ameonekana na tezi dume kwa vipimo vya awali. Mgonjwa yupo Morogoro.
  19. SoC04 Kuna nafasi kubwa kwenye Huduma za Afya za Kidigitali kwa Tanzania kusaidia sekta ya afya

    Maono ya Kibunifu kwa Huduma za Afya za Kidigitali kwa Tanzania: Miaka 5 hadi 25 Ijayo Utangulizi Katika dunia ya sasa inayozidi kuwa ya kidigitali, Tanzania ina fursa kubwa ya kuboresha huduma zake za afya kupitia matumizi ya teknolojia za kisasa. Huduma za afya za kidigitali zinaweza kutoa...
  20. M

    SoC04 Bima ya Afya Vikoba

    Kupitia mfumo wa kiditali bima ya AFYA VIKOBA itawezesha makundi tegemezi kama mwanafunzi, ombaomba nk kumudu gharama za matibabu kwa kuchangia Tshs 150 kwa siku, 1000 kwa wiki na 45,000 kwa mwaka. Na watoto umri wa siku 1 hadi miaka 4 wa mwanakikundi kupata tiba bure na hasa kwa magonjwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…