afya

  1. JamiiForums Tanzania Hivi, Mafuta wanayokunywa Waumini katika baadhi ya 'Nyumba za Ibada' ni salama kwa Afya?

    Nafahamu kwamba suala la uumini au dini ni pana, kuna baadhi ya mambo kulingana na Katiba yetu na miongozo mbalimbali Serikali inaweza kufungwa mikono kuyaingilia moja kwa moja, lakini kuna uwezekano kwenye baadhi ya vitu Serikali haifungwi mikono kuviingilia hususani suala la usalama wa...
  2. JamiiForums Tanzania JE, NI KWELI PUNYETO NA USAGAJI NI MIONGONi MWA VYANZO VYA KANSA YA VIA UZAZI, MADAKTARI NA WATAALAMU WA AFYA YA UZAZI?

    Naomba ufafanuzi tafadhali wangwana matabibu wa afya na mapenzi?🐒
  3. JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote wataalamu msizunguke mbuyu utekelezaji uanze mara moja!!

    Salamu! Mimi ni muumini na mdau kindakindaki wa huduma endelevu za afya chini ya uwekezaji wa Watanzania wenyewe. Nimesimama na hoja hii kwa muda mrefu na nitasimama nayo hadi kieleweke. Tanzania kama nchi lazima tukamilishe uhuru kamili kwa kuhakikisha masuala ya msingi, hususani huduma za...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali inatarajia kuanzisha Baraza la Afya ya Akili nchini

    Haya sasa wale ambao wanakutana na matatizo ya afya ya akili hatimaye serikali imewakumbuka sasa Ila nimeipenda hii itatusaidia wengi sana. Kikubwa hilo baraza lifanye kazi kwa uwelidi na kuwasaidia watu ===================== Serikali inatarajia kuanzisha Baraza la Afya ya Akili nchini...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ajira mpya za afya

    Hivi inawezekana mtu ukipangiwa mkoa mwingine tofauti na ulikofanyia oral interview?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ajira mpya za afya

    HIV inawezekana mtu ukipangiwa mkoa mwingine tofauti na ulikofanyia oral interview?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waajiriwa wa sekta binafsi hatuna Afya ya akili

    Wana Jf mko poa? Aisee wale wenzangu namimi wa sekta binafsi, tuambizane kama nyie mna Afya ya akili makazini kwenu. Picha linaanza unaingia ofisini saa2 unaondoka saa11, ni lazima sio matakwa tu. Halafu mshahara wako ambayo ni haki Yako, unapata tarehe 37, 38, 39 sometimes mpaka hata tarehe...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa mtu kutoka ajira ya wizara ya afya na kwenda maabara ya mkemia mkuu baada ya kubadilisha fani

    Naweza kuhama kutoka wizara ya afya kwenda maabara ya mkemia mkuu.
  9. JamiiForums Tanzania Vicoba na michezo ya kupeana hela vinaweza kusababisha changamoto ya afya ya akili kwa wanawake

    Mhadhara - 48: Nakiri kwamba Vicoba na michezo ya kutoana/kupeana hela vinawasaidia wanawake kujikimu mahitaji yao madogo madogo ya nyumbani. Hata hivyo kumeibuka wimbi la wanawake wengi kujiunga kwenye vicoba vingi na idadi kubwa ya vikundi vya kutoana/kupeana hela kuzidi uwezo wao wa kifedha...
  10. JamiiForums Tanzania Kati ya elimu na afya kipi kitolewe bure na serikali?

    Elimu na Afya ni huduma muhimu sana katika jamii,ila nina uhakika kwamba moja wapo ni muhimu zaidi hivyo inapaswa kutolewa bure. Nakusanya data kwa kazi maalumu ya kiutafiti,naomba nisaidie kufanya voting kulingana na mtazamo wako. Baada ya polling hii nitakuja na muendelezo ili utimiza adhma...
  11. JamiiForums Tanzania Wanu H. Ameir (Mtoto wa Rais Samia) - Kupata Elimu ya Afya ni Jambo Moja, Lakini Muhimu Sana ni Kupima Kujua Afya yako

    WANU H. AMEIR - KUPATA ELIMU YA AFYA NI JAMBO MOJA, LAKINI MUHIMU SANA NI KUPIMA KUJUA AFYA YAKO "Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) tunaunga mkono Serikali zote mbili, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika masuala ya Elimu, Afya na Uchumi" -...
  12. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri, Mwanaidi Khamis: Tuondokane na matumizi ya nishati isiyo safi kulinda afya zetu

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaidi Khamis ametoa rai kwa jamii kuondokana na matumizi ya nishati zisizo safi ili kulinda afya zao. Khamis ameyasema hayo Jijini Dodoma wakati akihamasisha wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi na kuanza...
  13. JamiiForums Tanzania Mapendekezo kwa TBS ili kuzuia matumizi ya kemikali ya Ethylene katika kuivisha ndizi kwa muda mfupi na kuokoa afya za walaji

    Kwa yeyote anayefuatilia vyombo vya habari nchini Tanzania bila shaka atagundua kuwa siku chache nyuma kumekuwa na taarifa kwamba kuna baadhi ya wafanyabiashara wanatumia gesi ya Ethylene kuivisha ndizi zao. Sasa kama kuna mamlaka ambayo inahusika ina jukumu muhimu katika kuhakikisha usalama na...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Haya mazingira ya Vyoo vya eneo la Kivuko pale Busisi ni hatari sana kwa afya

    Nimejiuliza sana kuhusu mazingira ya hivi vyoo, hata kama ndio tunatumia watu wengi, ndio washindwe kuweka mazingira vizuri kwa kiwango hiki? Jionee mwenyewe, vyoo “vimekomaa na uchafu” humu ukiingia unatoka na magonjwam ukiponapona sana umepata UTI sugu. Vyoo hivi vinamilikiwa na Halmashauri...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ule utaratibu wa wanandoa au wapenzi kuwa na vitanda viwili urudi tu italeta afya ya mahusiano

    kwa miaka ya zamani kwa baadhi ya makabila familia zilikuwa na utaratibu wa wenza kuishi nyumba mbili tofauti ambapo mme aliishi nyumba kubwa mke nyumba ndogo pamoja na watoto wake Baadhi ya makabila wao chumba kimoja kitanda viwili Kila mtu kitanda chake mme kitanda chake mke kitanda chake...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lawaonya wafanyakazi huduma za afya Lebanon kusini waache kutumia ambulance kwani hutumiwa na magaidi ya Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Tahadhari kwa wanaotumia magari ya kubebea wagonjwa almaarufu ambulance kumbe hutumiwa na magaidi ya Hezbollah! #Times of Israel In a separate post, Adraee reiterates an earlier call for health workers and medical teams in southern Lebanon to avoid using ambulances...
  17. JamiiForums Tanzania Afya ya Akili na Kazi kwenye Vyama Vya Siasa

    Afya ya akili ni kipengele muhimu cha ustawi wa binadamu katika maeneo yote ya maisha, hususan kwenye maeneo ya kazi. Tunapoadhimisha siku ya afya ya akili duniani, na kauli mbiu ya mwaka huu, niongelee kwa ujumla taasisi ninayofanyia kazi. Taasisi za vyama vya siasa zina umuhimu mkubwa katika...
  18. JamiiForums Tanzania Mhandisi Mwijage: Wananchi Bukombe tumieni Nishati Safi ya Kupikia ili kuimarisha afya na kutunza mazingira

    Wananchi kote Nchini wametakiwa kuendelea kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili kuimarisha afya zao sambamba na kutunza mazingira. Wito huo umetolewa Oktoba 10, 2024 Wilayani Bukombe Mkoani Geita na Mkurugenzi wa Teknolojia za Nishati Jadidifu na Mbadala kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA)...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Nionavyo, hakuna kinaitwa tatizo la afya ya akili bali ni umaskini wa kipato tu

    Mi huwa nashangaa watu hasa siku hizi eti mara ooh huyu ana tatozo la afya ya akili mara ooh huyu ana ahangamoto ya afya ya akili. Ki ukweli kabisa hakuna kitu kama.hicho. Jiulizeni kwa nini hakuna mzungu au tajiri anakuwa na tatizo la afya ya akili. Kwani waafrica tu ndo wamelaaniwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume na tezi dume

    Tezi dume si ugonjwa bali ni kiungo miongoni mwa viungo katika mfumo wa uzazi wa mwanaume,ipo chini ya kibufo cha mkojo Ni wakati gani tezi hii huwa ni tatizo? Ni pale ambapo tezi dume inakuwa au inaongezeka kutokana na umri kitaalamu inaitwa benign prostatic hyperplasia,kadri mwanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…