afya

  1. JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama & NHS ya Uingereza Wajadili Namna Bora ya Utoaji Bima ya Afya kwa Wote Nchini

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akiambatana na ujumbe wake kutoka Tanzania akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam wengine wamekutana na uongozi wa 'National Health Services' (NHS) ikiwa ni muendelezo wa...
  2. JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama Aiomba Hospitali ya Queens London Kutoa Ushirikiano Huduma za Afya Tanzania

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameiomba Hospitali ya Queens iliyopo jiji la London nchini Uingereza kutoa ushirikiano kwa Tanzania ili msukumo wa kuimarisha huduma za Afya uzidi kuimarika. Waziri Mhagama amewasilisha ombi hilo Desemba 11, 2024 wakati akihutubia mkutano wa uongozi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Utoaji wa Huduma za Afya Vijijini Mwetu Unaendelea Kuboreshwa - Wanavijiji Wapewa Zawadi za Krismasi

    UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA VIJIJINI MWETU UNAENDELEA KUBORESHWA - WANAVIJIJI WAPEWA ZAWADI ZA KRISMASI Utoaji wa Huduma za Afya ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini unaendelea kuboreshwa. Ratiba za uzinduzi wa utoaji wa Huduma za Afya vijijini mwetu: (i) Tarehe 6.12.2024 Zahanati ya Kijiji cha...
  4. JamiiForums Tanzania Umasikini + Magonjwa na Afya ya Akili.

    Wahubiri wanatumia watu kua mtaji wao, na kumekua na mahubiri ya kuhubiri mafanikio, na Kuna utapeli unaombatana na Dini, wahubiri wanajinufaisha kupitia Fedha za waumini wao. Jopo kubwa linalolengwa na wahubiri ni wanawake. Ukitazama Television nyingi wanashuhudia kujibiwa maombi na Kuna kua na...
  5. JamiiForums Tanzania Vyakula vya Asili Vinavyoweza Kusaidia Ngozi Yako Kuwa na Afya na Kuependeza

    Je, unajua kwamba vyakula tunavyokula vinaweza kuchangia moja kwa moja katika muonekano wa ngozi zetu? Vyakula vya asili vina virutubisho muhimu vinavyosaidia mwili kupambana na magonjwa na pia kuimarisha afya ya ngozi. Sehemu kubwa ya miili yetu ni ngozi, ambayo ina jukumu kubwa la kuukinga na...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 BIMA ya Afya,Toto Afya Kete Murua kwa Rais Samia 2025

    Afya ni Mtaji kwa Binadamu yoyote madhali Tu huyo Binadamu anapumua Kwa Nchi zinazoendelea Tanzania ikiwepo BIMA ya Afya kipaumbele kwa Wananchi wote Kwa Tanzania Wananchi wengi wanaishi kwenye kipato cha chini hiyo pindi Afya inapokuwa mgogoro huna Bima ya Afya inakuwa shida kubwa Siku za...
  7. JamiiForums Tanzania Luigi Mangione mtuhumiwa wa mauaji ya bosi wa bima ya afya atiwa nguvuni

    Hii ni taarifa isiyotajwa sana katika vyombo vyetu vya habari nchini.lakini ni tukio linalo-trend nchini Marekani. kijana Msomi na anayetoka kwenye familia tajiri Ndg.Luig Mangione anatuhumiwa kumpiga risasi na kumuua CEO wa kampuni ya bima ya afya maarufu nchini Marekani Thomson Brian. Leo...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama: Tanzania Inakuja na Mifumo Imara ya Bima ya Afya kwa Wote Nchini

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagamana na ujumbe wake akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam wengine Desemba 09, 2024 wamefanya ziara ya mafunzo ya jinsi mfumo wa uendeshaji wa masuala ya afya unavyofanya...
  9. JamiiForums Tanzania Mpanda: Tsh. Milioni 500 zatengwa kujenga Kituo cha Afya, fedha zimeisha ujenzi haujakamilika

    Ujenzi wa Kituo cha Afya Ugalla, Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kimeshindwa kukamilika licha ya fedha Shilingi 500 kutolewa miaka mitatu iliyopita kutoka Serikalini. Kushindwa kukamilika kwa ujenzi wa kituo hicho imebainika ni kwa sababu ya vitendo vya ubadhirifu wa fedha huku ikibainika watu...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Bonde la Mto Msimbazi - Dar limeanza kuwa dampo, siyo jambo zuri kwa Afya ya Wakazi wa Vingunguti

    Katika pitapita za kila siku mtaani, hivi karibuni nilikatiza maeneo ya Vingunguti pembezoni mwa Bonde la Mto Msimbazi na kukutana na hali ya hatari kwa afya. Kiukweli mambo si shwari katika eneo hili, hasa usalama wa afya kwa wakazi waliozunguka eneo hilo. Kingo za mto huo zimegeuka kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri Mbeya imetuuzia maeneo yenye Mwekezaji anayehatarisha afya zetu kwa kutumia baruti

    Mimi kama mkazi wa Jiji la Mbeya kuna kitu sikielewi kutoka kwa Viongozi wa Jiji hasa Idara ya Ardhi na Watu wa Mazingira wa NEMC. Huku Mbeya katika Kata ya Nsalaga, Bonde la Uyole, Uongozi wa Halmashauri ulianzisha mradi wa viwanja vipya na kuhamasisha sana Wananchi wajitokeze kununua viwanja...
  12. JamiiForums Tanzania Toto Afya Kadi imerejeshwa.

    Napata wakati mgumu kuelewa kwa nini baadhi ya watu na vyombo vya habari vinasema TOTO AFYA KADI imeboreshwa au kurudishwa. Inaonekana wengi hawajui nini kimetokea, labda acha niwakumbushe kidogo nini kimetokea. Tanzania kupitia sera ya bima ya afya, NHIF kama zilivyo bima nyingine wakaboresha...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mnaolinganisha mafanikio ya Rais Samia na Rais Nyerere, huenda mna tatizo la afya ya akili kwa kutozingatia ukweli huu hapa

    Kuna watu wamekuwa kero kama kelele za mbu karibu na sikio. Wanalinganisha mafanikio ya Raisi Samia na yale aliyofanya Raisi Nyerere enzi za uraisi wake. Wanashindwa kabisa kutambua Nyarere kama Raisi hawakuwa na wigo wa serikali kupata mapato alionao Samia hivi sasa. Leo hii ukilinganisha hela...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yaanza maboresho ya Vyoo vya Kituo cha Afya cha Sokoine, Manispaa ya Singida

    Serikali imeamua kufanya maboresho ya vyoo vilivyopo katika Kituo cha Afya cha Sokoine ambacho wenyeji wamezoea kukiita Hospitali ya Sokoine baada ya kuripotiwa kuwa havipo katika mazingira mazuri. Uamuzi huo unakuja siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia kuhusu ubora wa choo...
  15. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kutumia Deodorant za Asili kwa Afya ya Mama na Mtoto: Ulinzi Dhidi ya Kemikali Hatari

    Naitwa Dr. Elizabeth Kilili, a.k.a. Mama ZOAZOA, ni mkurugenzi wa Grace Products Limited. Leo nina somo fupi ambalo nataka tuangazie afya ya mama pamoja na mtoto, nikizungumzia kitu kinachoitwa deodorant. Deodorant ni nini? Deodorant ni bidhaa ambayo hutumika kupunguza au kuondoa harufu mbaya...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza duniani, Ubelgiji yatangaza kuanza kutoa bima ya afya, maternity leave na sick pay kwa madada poa!

    Wakuu, Wakati huku kwetu mkuu wa wilaya ya Ubungo akiwa busy kukamata madada poa pale Kitambaa Cheupe, huko Ubelgiji mambo yameendelea kuwa sukari sana. Hivi karibuni Serikali ya Ubelgiji imetangaza kwamba itaanza kutoa bima ya afya, maternity leave na kulipa madada poa kama watakuwa wanaumwa...
  17. JamiiForums Tanzania Cuba wana kingine kipi cha maana zaidi ya sekta bora ya Afya?

    Kila inapozungumziwa Cuba mara nyingi sifa zake huwa ni mfumo mzuri wa afya tu ulioweza kuzalisha madaktari wengi hadi wa ku export na sekta ya uzalishaji madawa iliyoshamiri. Huwezi kusikia kingine cha kuvutia na kusisumua huko Cuba. Hivi karibuni ndio nilimsikia Balozi Polepole akija na jambo...
  18. JamiiForums Tanzania Unywaji wa maziwa ya ng'ombe hauna tija na afya yako (African and Asian)

    Habari wakuu, Kama kichwa habari kinavyo eleza ya kuwa waafrika na waasia hawawezi kunufaika kiafya kwa kunywa maziwa. Kwa utafiti uliofanywa na chuo kikuu Cha Cornell kimegundua ya kuwa watu wengi -- kama asilimia 60 na hasa wale wenye asili ya Asia na Afrika -- wanaacha kuzalisha lactase...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Bao la usiku kwa ajili ya afya ya akili na mwili

    Hakuna mechi kali Kama Ile inayoanza saa tano na kuendelea watoto wameshalala, Aidha kama hamna watoto, basi mshamaliza task zote 👉Missionary style ndo iwe style ya mwisho, kutoa wazungu wenye asili ya wayahudi🤣 Kuna ile mechi fulani huwa inaanza Satisa usiku umeshtuka tu usingizini unavuta...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Unashauri nini kifanyike ili sekta ya afya iweze kutoa huduma bora kwa kila Mtanzania?

    Je, wajua? Serikali ya Tanzania chini ya Marais toka awamu ya kwanza hadi sasa awamu ya Sita imechukua hatua mbalimbali kuimarisha huduma za afya nchini kwa kujenga miundombinu ya afya. Zikiwemo zahanati, vituo vya afya, hospital za halmashauri, hospital za wilaya, hospital za mkoa, hospital...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…