afya

  1. JamiiForums Tanzania Huduma ya Unlimited Internet kwa shule na vituo vya afya vya Serikali

    TANGAZO TANGAZO HlHabari njema kwa vituo vya afya au shule za serikali Kuna huduma ya internet kutoka Vodacom, unachagua package mnawezeshewa. Huduma hii kuwezeshewa ni bure kabisa. Vigezo ✅Tin namba ya shule/kituo cha afya cha serikali ✅Kitambulisho cha muwakilishi anaefuatilia ✅ Barua ya...
  2. JamiiForums Tanzania Prof Ibrahim Lipumba: Sera ya serikali katika huduma ya Afya ni kuwa wanawake wajawazito watatibiwa bure ni kama danganya toto

    Sera ya serikali katika huduma ya Afya ni kuwa wanawake wajawazito watatibiwa bure ni kama danganya toto. Mfano wa kusikitisha ni wa marehemu Husna Saidi Abdallah aliyejifungua katika Hospitali ya Kivinje, Kilwa. Afya yake ilianza kudhoofika Kwa tatizo la upungufu wa damu na kuvimba miguu...
  3. 4

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya Tanzania angalieni upya Sera za Chama cha Madaktari (MCT)

    Wakuu jf kila mmoja kwa imani yake namsalimia. Leo niko na Wizara ya Afya kama nguzo ya kusimamia taasisi zilizo chini yake mfano chama cha Madactari (MCT). Kwa nini ichi chama kimekua na ukiritimba wa kipumbavu kwa vijana wetu, ambao serikali wengine imewagharamikia, na wengine ndugu/ wazazi...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mpango wa mwaka mpya 2025 na afya Bora

    Habari Ndugu wa Jf, Chukua yatakayokufaa kuhusu Mpango wa mwaka mpya 2025 na afya Bora Utangulizi Msimu wa sikukuu ni wakati wa sherehe, lakini pia unaweza kusababisha kula kupita kiasi na kupata uzito Kupita kiasi. Tunapojiandaa kuukaribisha mwaka mpya 2025, azimio la kuweka afya na ustawi...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuzuia na Kutibu Ngozi Kavu: Vidokezo Muhimu kwa Ngozi Yenye Afya

    Ngozi ni kiungo muhimu sana katika mwili wa binadamu. Ngozi husaidia kuulinda mwili, kutoa taka mwili, kuratibu joto, maji na chumvi, pamoja na kuhisi vichocheo kama vile joto, baridi, miguso na mkandamizo. Ngozi nzuri inaathiri pia mwonekano na uzuri wa mwili. Hata hivyo, ngozi kavu ni tatizo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa korosho Kila siku nisalama kwa afya ya figo?

    Habar wakuu nauliza ulaji wa korosho Kila siku ni salama kwa afya ya figo? Naje haiongezi cholesterol
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Irene wa NHIF kaanza mwaka 2025 kwa kishindo: Kabuni vifurushi vya Serengeti (huduma 1,800), Ngorongoro (huduma 440), na Toto Afya Kadi karudisha

    DR. IRENE C. ISAKA, DG WA NHIF Hadi mwishoni mwa mwaka 2021 ni 15% ya Watanzania walikuwa wanapokea huduma za tiba kwa njia ya bima ya afya. Takwimu hizi zilijumuisha 8% kupitia taasisi ya NHIF, 6% kupitia taasisi ya iCHF, na 1.3% kupitia mifuko ya bima inayoendeshwa na watu binafsi. Sasa...
  8. JamiiForums Tanzania KAWAPIMENI WATOTO WENU AFYA

    Habari za sikukuu wapendwa Nikiwa kama mwanajamii asee haya mambo yanayofanyikaga siku kama hizi za sikukuu(ukitoa siku nyinginezo),hali ni mbaya mno mtaani Ndani ya siku hizi 2 tu yaaani jana na leo nimeshuhudia pairs zaidi ya 20 za watoto miaka 10-15 wakitoana out na kufanya adultery...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mahindi ya kuchoma ni salama kwa afya?

    Habari wakuu, Nauliza ulaji wa mara kwa mara mahindi ya kuchoma. Je nisalama kwa afya juu
  10. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dkt. Irene isaka wakati wa Uzinduzi wa Mifumo na Mpango wa Toto Afya Kadi

    HOTUBA YA MKURUGENZI MKUU DKT. IRENE ISAKA KWENYE UZINDUZI WA MIFUMO NA MPANGO WA TOTO AFYA KADI DODOMA, TAREHE 17 DESEMBA, 2024 Waziri wa Afya na Mgeni Rasmi, Mhe. Jenista Mhagama (Mb), Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge – Afya na Ukimwi Katibu Mkuu-Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu...
  11. JamiiForums Tanzania Kubadilisha kozi ukiwa umeajiriwa na Serikali

    Habari JamiiForums, Nina maswali mawili kidogo. 1. Nahitaji kukuuliza swali kidogo, hivi mtu akiajiriwa na Serikali anatakiwa kukaa miaka mingapi kazini ndo akasome tena mfano ana diploma anataka degree🙏 2. Na mfano Serikali imekuajiri kama mtu mwenye diploma ya environment health na unataka...
  12. JamiiForums Tanzania HIVI MAMA NDIYO ANAPASWA KUTOA ELIMU YA AFYA>?????

    watanzania eeeeh embu tuelimike hapa,kweli sisi ni maskini kweli kweli lakini kuna suala linaloendelea katika jiji letu la Dar es salaam mmmh hapana,wataalamu wa afya especially mabwana afya embu badilisheni namna ya kufanya kazi, kuna wafanyabiashara wa chakula barabarani mazingira si rafiki...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni vyuo gani vya Nje ya Tanzania ni vizuri kwa Kozi ya Afya?

    Wakuu Habari zenu, Wataalam wa fani ya Afya naombeni ushauri. Ni nchi gani kwa bara la ulaya vyuo vyake viko vizuri kwa fani ya afya upande wa ufamasia. Nataka nimpeleke dogo huko lakini bado sijajua chuo na nchi ipi nzuri.
  14. JamiiForums Tanzania Serikali kuwapima afya ya akili waajiriwa wapya

    chanzo gazeti la mwananchi la jana 19 Dec 2024 Ila mimi kwa mawazo yangu waache kuonea watumishi wa umma.Wangeenda mbali zaidi na Wanasiasa hadi Bungeni. kuna baadhi ya mambo wanapitisha mpaka unawaza wanafikiria kwa kutumia matumbo au kichwa? Ni mambo yapi ambayo mnafikiri wabunge wetu wakati...
  15. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Deus Sangu aonyeshe mfano-aanze kupima afya ya akili yake kwanza na atuletee matokeo yake/mrejesho

    Mada Inajieleza. Mh. Deus Sangu bado ni kijana? Soma pia:Naibu Waziri Deus Sangu: Tutaanza kufanya vipimo vya afya ya akili kwa vijana kabla hawajaajiriwa Serikalini
  16. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Deus Sangu: Tutaanza kufanya vipimo vya afya ya akili kwa vijana kabla hawajaajiriwa Serikalini

    Wakuu, Inakuaje vijana mmekuwa na utovu wa nidhamu kiasi hiki mpaka mnatakiwa mpimwe afya akili kabla hamjawa watumishi wa umma huko Serikalini? Akizungumza leo Jijini Dodoma na Naibu Waziri , Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu wakati wa akifunga kikao kazi cha siku...
  17. JamiiForums Tanzania Aliyeng'atwa na Nyoka afia Kituo cha Afya kisa hana 150,000 Wilayani Babati

    KATIKA hali ya kusikitisha, mkazi wa Magugu, Wilaya ya Babati, Juliana Obedy (44), amepoteza maisha baada ya wataalamu katika Kituo cha Afya Magugu, kudaiwa kumcheleweshea huduma kituoni hapo kutokana na kugongwa na nyoka. Imedaiwa kuwa, sababu za kucheleweshwa kwa huduma hiyo ni wataalamu...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Jenista Mhagama: Kurejeshwa kwa Toto Afya Kadi kutaleta matumaini mapya na uelekeo thabiti wa Bima ya Afya kwa kundi la watoto

    KUREJEA KWA TOTO AFYA KADI MWANGA MPYA BIMA YA AFYA Na WAF, DODOMA Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema kurejeshwa kwa Toto Afya Kadi kutaleta matumaini mapya na uelekeo thabiti wa Bima ya Afya hususan kwa kundi la watoto ambalo linahitaji uangalizi wa pekee. Mhe. Mhagama ameyasema...
  19. JamiiForums Tanzania Toto afya kadi yarejea usajili mtoto mmoja Tsh 150,000 na wale wa makundi Tsh. 50,400

    Bima ya Afya ya Taifa wamezindua vifushi vipya ambapo kubwa ilikuwa ni kilio cha watanzania kuhusu toto afya kadi ambayo ilifutwa awali na kwasasa usajili utakuwa kama ifuatavyo kama unataka kumsajili mtoto wako ambae sio mwanafunzi utalazimika kulipa kiasi cha shilingi laki moja na nusu kwa...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya na watalam wa afya ya mlaji mnatowa elimu gani kuhusu hili?

    Kuna habari nilizisikia zamani na sasa pia nazisikia kuwa wafugaji wa nguruwe wanawapa nguruwe wao ARV ili wanenepe.Naomba kufahamu hii haina madhara kwa mlaji?Ninyi wahusika mmewahi kufatilia hili kujuwa ukweli na kuchukuwa hatuwa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…