afya

  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika wachukulie jambo la USA kujiondoa WHO kama fursa na sio kulalamika

    Kwanza nimpongeze Hon. D. Trump kwaujasili wa kuiondoa USA katik ufadhili wa WHO. Binafsi naona kama anania ya kufikirisha akili za viongozi wa nchi masikini kutumia vizuri makusanyo yao ya ndani badala ya kununua samani na magari ya kifahari. Pia, nifulsa kwa raia wenye akili bunifu katika...
  2. JamiiForums Tanzania Habarini wadau, je inawezekana kijana ambaye amemaliza form four 2018 na kutaka kusoma diploma nyingine ya upande wa afya mwaka 2025

    Habari zenu humu ndani, Nauliza mfano mtu kamaliza form four 2018 na akaend diploma akamaliza 2022, je anaweza apply mwaka 2025 kusoma diploma ya afya mfano MUHAS na kupata au achague tu private ingawa qualifications anazo.
  3. JamiiForums Tanzania Zanzibar ina watu wenye akili sana. Serikali yao inatambua hili ndio maana huduma zote muhimu za afya hupewa bure

    Anayebisha aende hapo Zanzibar nauli ni ndogo tu kwenda na kurudi. Unakwenda asubuhi mchana unafanya tafiti zako jioni unarudi Huduma zote za afya hasa zile za msingi au zile za umuhimu zaidi Zanzibar ni bure kabisa. Zanzibar mwanamke anapokwenda zahanati, kituo cha afya au hospitalini...
  4. JamiiForums Tanzania Nilikuwa mfuasi wa Trump Kwa Muda Mrefu sana Ila Kwa Hili la Kusitisha Misaada na Ruzuku upande wa Afya Sikubaliani nalo, amekosea sana

    Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for...
  5. JamiiForums Tanzania Bila Cheti afya ya akili ndoa isifungwe!

    Kabla ya ndoa kufungwa,watarajiwa hulazimika kufanya vipimo vya afya zao hususan ukimwi.Hii imekuwa ni kanuni na imezoeleka hivyo. Kutokana na yanaondelea huko ndoani watu kufanyiani mambo ya ajabu,kujeruhiana,kudhalilishana na hata wengine kutoana uhai. Nashauri mamlaka husika ziweke sheria...
  6. JamiiForums Tanzania ACT WAZALENDO Kuhusu Kusitishwa kwa Misaada ya Afya na Serikali ya Marekani

    ACT Wazalendo imeguswa na uamuzi wa Serikali ya Marekani kusitisha kwa muda kwa mikopo na ruzuku za kusaidia huduma za afya duniani, hatua inayoweza kuathiri mamilioni ya Watanzania waliowekwa kwenye utegemezi wa huduma za afya zinazofadhiliwa na mashirika ya nje. Tanzania, kama moja ya...
  7. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali

    Mambo yanazidi kua ya moto. Watu wanajiuliza jamaa anapata wapi Hela namna hiii za kumwaga pale Klabuni?.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mchina ni rafiki wa dhati kwetu Afrika? Mbona hatoi misaada ya afya kama Marekani na yupo wapi baada ya Marekani kusitisha misaada?

    Huyo anaeitwa adui baada ya kusitisha misaada bajeti imeyumba, ina maada rafiki yetu wa dhati Mchina alikuwa anachangia matone ? 😓😓 Mchina rafiki yetu ana mpango gani baada ya adui kusitisha msaada, mbona kimya sana ni kwamba hasikii vilio kutoka Africa ?
  9. JamiiForums Tanzania ZAMHSO: Mradi wa Afya ya Akili Shuleni utaacha athari chanya na kuleta mabadiliko ya kudumu

    Januari 28, 2025 imekuwa ni siku ya pili ya utekelezaji wa mradi wetu wa Afya ya Akili mashuleni, mradi ambao unalenga kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu afya ya akili kwa wanafunzi na walimu hapa Zanzibar. Lengo kuu la mradi huu ni kuhakikisha tunajenga kizazi chenye ufahamu wa kutosha kuhusu...
  10. JamiiForums Tanzania Watalaamu wa Afya hivi inakuaje mtu anapofanyiwa upasuaji asizinduke anapitiliza kufa?

    Hiki kipindi cha sasa hivi vifo vya namna hii vimekuwa vingi sana.Sio kwamba nipo hapa kuwalaumu la hasha bali nipo hapa kutaka kujua kulikoni siku hizi wakuu? Ipo hivi kuna hospital moja huku hadi inaogopwa watu wakiingia kufanyiwa OP kurudi ni majaliwa sasa imewabidi wawe wana safiri kwenda...
  11. JamiiForums Tanzania Stella Manyanya, aonyesha masikitiko bungeni baada ya kuuliza swali mara tano kuhusu changamoto ya upungufu wa wodi Kituo cha Afya Kiyaga

    Mbunge wa Jimbo la Nyasa, Mhandisi Stella Manyanya, ameonesha masikitiko yake bungeni baada ya kuuliza swali mara tano kuhusu changamoto ya upungufu wa wodi katika Kituo cha Afya Kiyagara, bila serikali kuchukua hatua. Mbunge huyo ameuliza swali hilo tarehe 28 Januari 2025, katika Mkutano wa...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Marekani kasimamisha michango mashirika ya afya kwanini nchi nyingi zinalaumu, kwanini nchi nyingi zinazonufaika na misaada zinakwepa michango ?

    Marekani inachangia kila mwaka dola milioni 500 (shilingi Trilioni 1.2) kwenye shirika la afya duniani. mataifa mengine yana watu wengi zaidi mfano China, ina watu zaidi ya bilioni 1 inachangia Dola milioni 20 (shilingi bilioni 50) . Marekani baada ya kuona pesa zao zinafujwa, Trump kaamua...
  13. JamiiForums Tanzania Namna nilivyopambana na Kampuni Binafsi ya Bima Ya Afya na kuwapiga Knock Out kwa msaada wa Ofisi ya Msuluhishi wa Migogoro ya Bima (TIO)

    Igweeee wananzengo, Leo napenda ku-share uzoefu wangu na moja ya kampuni binafsi za bima ya afya hapa Tanzania ambayo walikataa kabisa kulipia matibabu ya mke wangu, ikiwemo upasuaji, huku wakitoa sababu ambazo zipo kinyume kabisa na mkataba wangu kati yao. Pia, nilipojaribu kuwasiliana nao...
  14. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Hali ya Huduma za Afya: Aga Khan Hospital kuhudumia wageni wa mkutano wa Nishati Afria badala ya Muhimbili Hospital

    Aga Khan Hospital, iliyopo Dar es Salaam, imekuwa katika habari kutokana na kuvunjwa kwa mkataba wake na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) wa kuwahudumia Watanzania maskini. Hali hii inatia wasiwasi, hasa pale ambapo hospitali hiyo imekuwa ikihudumia wageni katika mkutano wa Nishati Afrika...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Afya bure kwa mama na mtoto ipo kwenye ilani ya CCM 2020/2025?

    Kama kuna mtu mwenye Ilani ya chama cha Mapinduzi 2020 hadi 2025 atusaidie kufahamu kama ipo ahadi yakutoa huduma ya afya bure kwa mama na mtoto. Kama ilikuwa ahadi maana yake haijatekelezwa na kama haikuwa ahadi hatuwezi kumuhukumu Chalamila. Labda tupendekeze iwe kwenye ilani za vyama 2025...
  16. JamiiForums Tanzania Nipo hapa kuomba fursa ya ajira au connection ya Kazi hasa kuhusu kitengo cha mazingira, Afya na usalama mahara pa kazi

    Habari
  17. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya upi msimamo wa serikali? Wajawazito walipe au wasilipe? Kama wanalipa tupe orodha ya mahitaji na gharama

    Waziri wa Afya nadhani umeona kauli ya RC. Naamini huo siyo msimamo wa CCm na serikali yake. Wewe kama Waziri mwenye dhamana unapaswa aidha kukemea au kuweka taarifa sawa la sivyo haya maelekezo ya RC yanakwenda kuwa msimamo wa watumishi wa afya kuanzia mjini hadi kijijini. Kumbuka RC amesema...
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna maendeleo yaliyoboresha maisha ya binadamu zaidi ya sayansi ya tiba na afya

    Katia safari ya maendeleo kama binadamu tumefanya mengi ya kustaajabu, kuanzia kuvumbua vifaa vya mawasiliano vya masafa ya mbali mpaka roketi lakini hamna cha msingi tulichofanya zaidi ya maboresho ya sayansi ya matibabu na afya Wanasema kabla ya mageuzi ya matibabu wastani wa kuishi dunia...
  19. JamiiForums Tanzania Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Shuleni

    Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Mashuleni Unguja, Zanzibar – 23 Januari 2025 Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Wizara ya Afya, imeanza kutekeleza rasmi mradi wa kutoa...
  20. JamiiForums Tanzania Bei za vifurushi za bima ya afya ya NHIF vimebadilishwa. Gharama zimepanda

    Wakuu, Shirika la Taifa la Bima NHI hivi karibuni limebadilisha bei na majina ya vifurushi vyake. Mabadiliko haya yalitangazwa tangu December 17th 2024 na sasa umepita takriban mwezi mmoja tangu mabadiliko hayo yafanyike. Badala ya bei ya Tshs 194,000 sasa vifurushi vitaanzia 240,000 kwa watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…