afya

  1. JamiiForums Tanzania Sugu azidi kutikisa Marekani, Atafuta uwekezaji kwenye Afya na Utalii

    Huyu jamaa ni zaidi ya Royal Tour, ziara yake ya siku chache tena bila gharama kubwa ya kuumiza Nchi, Imezaa matunda ya kutisha! Hapa akiwa na Mbunge wa Jimbo Hapa akiwa na Mstahiki Meya
  2. JamiiForums Tanzania Hawa wanaharakati wa afya wasipodhibitiwa tutatengeneza kizazi goigoi

    Wakuu haihitaji research yoyote ya kisayansi kujua umuhimu wa kula. Pia haihitaji research kujua kuwa watanzania wengi hawapati chakula cha kutosha achilia mbali balanced diet. Yaani hata ugali maharage wa kushiba ni changamoto. Mimi nimeishi maeneo ya uswahilini Dsm nikaona mwenyewe jinsi watu...
  3. JamiiForums Tanzania Upotoshaji huweza kupelekea Wananchi kutofuata ushauri wa kitabibu hivyo kuathiri afya zao, Thibitisha Taarifa kabla ya kuiamini

    Uvumi wa Taarifa zisizo za Kweli kuhusu Afya unaweza kuwafanya Wananchi kupuuza ushauri wa wataalamu, hali inayoweza kusababisha madhara makubwa kwa afya za Watu. Hakikisha Unathibitisha Taarifa zinazogusa Sekta ya Afya kabla ya kuziamini ili Kuhakikisha usalama wako na Jamii kwa ujumla
  4. JamiiForums Tanzania Nguvu ya maji ya chemchem kwa afya yako

    Habari, Fahamu nguvu iliyopo juu ya maji ya chemichemi yakunufaishe. https://youtu.be/O4fUTm3_7NQ?si=HWHHkFS5RoWGowEo
  5. JamiiForums Tanzania Je, Bima ya Afya Inapaswa Kuwa Mali ya Serikali ili Huduma za Afya Ziwe Bure?

    Huduma za afya bure ni ndoto ya kila taifa linalotaka kuboresha ustawi wa wananchi wake. Tanzania inaweza kufanikisha hili ikiwa kila Mtanzania atachangia kiasi kidogo cha fedha kila mwezi kupitia bima ya afya ya umma. Mfano, ikiwa kila raia atachangia TZS 2,000 kwa mwezi, makadirio yanaonyesha...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, wajua mwaka huku hapatakua na kumbukumbu ya kifo cha ally Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya pili?

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe. Je, kutakuwa na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku za maraisi wengne walio fariki? Je, waliotangaza kifo hiki siku ya tarehe 29 hawakujua kama tar 29...
  7. JamiiForums Tanzania Trump ameshajiondoa kufadhili miradi ya afya kabla ya siku 90? Je, ameona siku 90 ni mbali?

    Wakuu mwanzo ilisemwa kuna siku 90 za US kuangalia haya mambo ya ufadhili ndo waamue, lakini tokea jana zimeanza kuzunguka statement kama hiyo hapo chini kwenye mitandao. Kunani huko anayejua kinachoendelea?
  8. JamiiForums Tanzania Kampeni ya Mtu ni Afya kwa sasa imewafikia Namanga Arusha

    Kampeni ya Mtu ni Afya kwa sasa imeufikia mkoa wa Arusha na tarehe 27 Februari 2025 imeendelea katika Wilaya ya Longido mji wa Namanga na kata zake lengo ikiwa ni kuwafikia wakazi wa meeneo yote kuwaeleza manufaa ya afua tisa za kampeni hiyo. Judithi Meela ni Afisa Afya wa Wilaya ya Longido...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Afya za viongozi: Lissu, Samia na Mpango punguzeni uzito wa mwili

    Mimi binafsi najua kwamba afya zetu ni muhimu sana ! Tunavyokuwa watu wazima ni lazima tubadilike bila hivyo magojwa yanaongezeka sana. Mimi binafsi napata shida sana kupungua na kwasababu hiyo nakula mara mbili kwa siku mlo wangu wa kwanza ni kuanzia saa nne na nusu asubuhi na wa mwisho sio...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Adui mkubwa wa afya ni vyakula vya kununua, pamoja na tamaa ya faida inalisha watu vibudu, mchele ulioharibika

    Kuanzia matatizo ya vidonda vya tumbo, vijana kuwahi kuzeeka, kukosa nguvu za kiume, n.k. kwa kiasi kikubwa inachangiwa na kula vyakula vya kununua Kuna wafanyabiashara wa vyakula wao ni faida mbele, afya yako haina kipaumbele, wewe utalishwa vibovu wao watajipikia chakula tofauti. Njia za...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha ajae akiwa kwenye picha ya pamoja na anayetarajiwa kuwa waziri wa afya

  12. JamiiForums Tanzania Afya ya papa Francs inaendelea kuwa mbaya

    HALI YA AFYA YA BABA MTAKATIFU Hali ya Baba Mtakatifu inaendelea kuwa mbaya; hata hivyo, tangu usiku uliopita hakujakuwa na shida ya kupumua. Alifanyiwa upasuaji wa kuongezewa damu yenye chembe nyekundu zilizokolezwa, kwa manufaa na kurudi kwa kiwango cha hemoglobini. Upungufu wake wa chembe...
  13. JamiiForums Tanzania Patandi maalum shule ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu wasiopatiwa lishe stahiki. Wanakula vyakula visivyoendana na afya zao serikali iimulike!!

    Shule hii ilijengwa ama ilianzishwa na rais john pombe magufuli ! Ni shule iliyobeba wanafunzi wenye ulemavu mchanganyiko ! Ukipata bahati ya kuitembelea unaweza kuangua kilio kulingana na Hali ya wanafunzi ilivyo ! Wako wasio sikia viziwi)wasioona vipofu) walemavu wa viungo wanaotembea kwa...
  14. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Kwa mujibu wa Moody's na FITCH Tanzania inaongoza kwa afya bora ya Uchumi Ukanda mzima wa Africa Mashariki

    David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki. "Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest"...
  15. JamiiForums Tanzania Toto afya

    Wakuu,naskia toto afya imerudi kwa gharama yetu maskini,ni kweli? Tupeane info wazee.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya kati vya Afya

    Wapendwa habari ya uzima wetu. Samahani naomba msaada Nahitaji kufanya maombi ya nafasi kwa vyuo vya afya vya kati lakini sielewi dirisha linafunguliwa lini. Tafadhali naomba msaada kwa aliyewahi kufanya maombi vyuo vya afya vya kati maombi yanafanyika lini na kwa utaratibu gani?? Nisaidieni wandugu
  17. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Mwinyi aishukuru Benki ya Dunia kwa Dola Milioni 100 Kuboresha Sekta ya Afya

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Benki ya Dunia kwa Msaada wa kiasi cha Dola Milioni 100 kwa ajili kuimarisha Miundombinu ya Sekta ya Afya hapa nchini. Rais Dkt.Mwinyi ameyasema hayo alipozungumza na Mkurugenzi Muendeshaji wa Benki hiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Haya ndio mapenzi bhana, Ayo ya kwenu mbwembwe tu🤣

    Haya ndio mapenzi bhana, Ayo ya kwenu mbwembwe tu🤣
  19. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuishi karibu na palipo mnara ni hatari kwa afya ?

    Kumekua na maneno/minong'ono ya watu kuwa kwa mfano una kiwanja au shamba lako unakoishi alafu haya makampuni ya mitandao ya cm ikataka kuweka mnara kwenye eneo lako karibu na nyumba ni hatari kwa afya eti kwa sababu kwenye mnara kuna mionzi mikali sana ya mawasiliano inaadhiri baadhi ya seli...
  20. JamiiForums Tanzania Nimetoka kumzika mshauri wangu wa afya alieniambia nitakufa muda mfupi kwa kumix energy drink na K Vant

    Habari Wakuu. Binafsi sijaleta mada hapa kama njia ya kutetea watu kuishi maisha yanayohatarisha afya zao. Ila nakumbusha tu kwamba hapa JF kufikia 20100, wote hatutakuwepo pasipo kujali wanaolinda Afya na wasiolinda. Binafsi mimi napenda kuishi katika maisha yanayonipa furaha ila licha ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…