afya

  1. JamiiForums Tanzania Nawezaje kuboresha afya ya macho pasi kutumia dawa za hospitali?

    Natumahi mko salama ndugu na rafiki zangu: Naomba kufahamishwa majibu ya jambo ambalo limekuwa likinitatiza kulifahamu kwa kipindi cha muda sasa. Je, naweza kuboresha afya ya macho kwa kutumia vyakula gani bila kutumia dawa za hospitali? maana nimejaribu kutumia Juice ya Karoti lakini sioni...
  2. JamiiForums Tanzania Ukishiriki tendo na mtu usiyeelewa afya yake zingatia mambo haya muhimu

    Ukishiriki tendo na mtu humwelewi afya yake zingatia haya 1. Tumia condom 2. Tumia condom 3. Tumia condom Ikiwa kwa sababu yoyote ile imeshindikana kutumia condom, basi hakikisha unaenda kituo cha afya cha hapo karibu watakupa dawa kinga za kuzuia maambukizi, dawa zinaitwa PEP. Ila lazima...
  3. JamiiForums Tanzania DC Kilindi, Hashim Mgandilwa azindua mfumo wa Centralized GOT-HOMIS kwa Vituo vya Afya vya Serikali

    Mkuu wa wilaya Kilindi Mh Hashim Mgandilwa akiingia katika mfumo wa Centralized GOT-HOMIS ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mfumo huo wa matibabu katika vituo vyote vya huduma za Afya vinavyomilikiwa na serikali. Uzinduzi huo ulifanyika tarehe 17/03/2025 katika kituo Cha Afya Songe na kuhudhuriwa...
  4. JamiiForums Tanzania Vyakula vinavyokuza mwili, akili, na kiroho vina uwezo wa kuboresha hali ya afya kwa ujumla, kuongeza nguvu za ubongo, na kukuza hali ya kiroho. Hapa

    1. Vyakula vya Kuimarisha Mwili Matunda na mboga mboga: Spinachi, broccoli, karoti, parachichi, na berries (blueberries, strawberries). Protini za afya: Maharagwe, choroko, samaki wenye mafuta kama salmoni, na karanga. Vyakula vya nafaka nzima: Uji wa shayiri, quinoa, na mchele wa kahawia...
  5. JamiiForums Tanzania Nauza Kiwanja: Ubungo Kibamba Shule

    wazee na Vijana wa JF Nauza kiwanja kiko Kibamba shule 👉 Ibwegere size mita 20 kwa 20 Kutoka kibamba shule hadi Site ni 1,500 Tsh kwa Boda Bei elekezi 4,000,000 Tsh Simu ziite 0744-033-555
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge ya Afya, UKIMWI yaipongeza Barrick Bulyanhulu kuzingatia kanuni za afya

    Naibu Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa. Mwenyekiti wa Kamati, Hassan Mtenga. Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha akiongea katika kikao cha wajumbe wa Kamati na Uongozi wa Barrick Bulyanhulu. Mkuu wa wilaya ya Kahama Mboni Mhita. Meneja Mkuu wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu Victor...
  7. JamiiForums Tanzania Nahisi nina tatizo kubwa la afya ya akili linaninyemelea. Wataalamu wa mambo ya saikolojia naombeni msaada mda sio mrefu nitadata

    Nina miaka 38...Niko single(nimeachana na mke wangu)....sivuti sigara na wala sinywi pombe...sijaajiliwa nimejiajili kwhy hela ya kula vizuri na matumizi madogo mdogo hainipigi chenga kwa kifupi sina njaa...uhakika wa mbunye upo yani simu moja tu naletewa mbunye mpka mlangoni kwa kifupi japo...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania na Japani kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa kuboresha huduma za afya ya mama na mtoto.

    Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa Yen za Japan bilioni 1.527 sawa na shilingi bilioni 27.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya afya nchini. Mkataba huo umesainiwa katika Ofisi za Hazina Ndogo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Wizara...
  9. JamiiForums Tanzania Utumiaji wa Microwave una madhara kwa afya??

    Wakuu, Kuna madhara yoyote ya kiafya mtu anaweza kupata anapotumia hii Microwave ya kupashia chakula na Mambo mengine, naomba kujuzwa hili. Natanguliza shukrani🙏
  10. M

    JamiiForums Tanzania Usipoamua kufanya mazoezi utaendelea kuwa msukule wa hawa wanaharakati wa afya

    Wakuu lazima tukubaliane kuwa maisha yamebadilika sana kuanzia vijijini hadi mijini. Na mabadiliko yametokea ghafla. Ujio wa bodaboda na mabadiliko makubwa ya teknolojia kama uwepo wa mitandao ya kijamii na mobile money umepunguza ugumu wa kazi nyingi. Urahisi wa kufanya kazi nyingi pia nao...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wafanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, ni ajenda ya kumpigia kampeni Rais Samia

    Wakuu Hii ni kwamba Wananchi wamefanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, wananchi ni kama wamepewa maelekezo ni cha kusema. Hii ni sehemu ya ajenda ya kumpigia kampeni ya mitano tena hakuna la maana. ======= Wananchi wa Kata ya Mtipa, mkoani Singida, wamefanya sherehe kubwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ukiona unachexa na Simba UJUE unapambana na BODI ya LIGI laamaana mjilinde miguu YENU KUFUNGWA akukwepeki ila afya zenu zibaki imaraa

    Mjitahidii kulinda miguuyenu Kwa sasa mnapochexa na Simba mjue mnavhexa na BODI ya LIGI Msijisahau mkajua mnachexa na Simba mtaliwa kiboga mapemaa Otherwise all dbest
  13. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Zimetimia Siku 41 hakuna mgonjwa mpya wa Marburg

    Wizara ya Afya imetoa taarifa kuhusu Ugonjwa wa Marburg kuwa hadi kufikia Machi 10, 2025, zimetimia siku 41 bila kuwa na mgonjwa mpya. Ikumbukwe Januari 20, 2025, Serikali ilitoa tamko kuhusu kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa Virusi vya Marburg Mkoani Kagera ambapo Wizara imeeleza mwenendo wa...
  14. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yathibitisha uwepo wa wagonjwa wawili wa Mpox nchini

    Wakuu, Ila kwenye ile video jamaa alisema wapo wengi hapo hospitali, serikali inasema watu 2!🤔🤔 Pia soma: Huu ni ugonjwa gani? Wizara ya Afya semeni kitu ===== TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UGONJWA WA MPOX NCHINI Tarehe: 10 Machi, 2025, DODOMA Mnamo tarehe 7 Machi, 2025 Wizara ya Afya kupitia...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Milion 600 kujenga kituo kipya cha afya Mahuninga, Iringa

    Kutokana na changamoto ya muda mrefu wanayopitia wananchi wa kata ya Mahuninga halmashauri ya wilaya ya Iringa Mkoani ya kufuata huduma za afya umbali mrefu uenda ikabaki historia mara baada ya kutengwa kiasi cha sh milion 600 kwa ajili ya ujenzi wa kituo kipya cha afya. Kituo hicho kinajengwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ninaomba kupata ushauri kutoka kwa watalaam wa afya kuhusu usalama wa samaki wanaofugwa katika ziwa Victoria

    Kumekuwa na wimbi kubwa la ufugaji wa samaki Kanda ya Ziwa na hasa Jiji la Mwanza. Masoko mengi jijini Mwanza yamejaa hawa samaki wanaofugwa na ndiyo wanauzika kwa wingi. Ninaomba kuelemishwa kama hawa samaki ni salama kwa kuliwa kwa ajili ya afya zetu. Wachina ndo wamejenga viwanda vya...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia asema bima ya afya kwa wote ni jambo zito si jambo jepesi

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema mpango wa kuwa na bima ya afya kwa wote ni mzito na si mwepesi kutokana na umuhimu wake. Pia, kuhusu suala hilo amelishukuru Bunge kwa kulipitisha huku akisema kwa sasa limebaki upande wa Serikali kulifanyia kazi. "Jambo hili ni zito na sio jepesi...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Aeshi Hilaly apongeza Chama cha Wafanyakazi kwa msaada kwa Vituo vya Afya Sumbawanga

    Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly ametoa pongezi kwa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya kutoa msaada katika Kituo cha Afya Mazwi na Zahanati ya Kizwite. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  19. JamiiForums Tanzania Mjadalala:Athari za uonevu kwenye afya ya akili mashuleni

    Shiriki mjadala huu live kuanzia Saa mbili Usiku mpaka saa Tatu , ufahamu athari anazoweza pata mtoto kiakili kufuatia uonevu anaotokea mashuleni .
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri katika kujitolea zahanati au kituo cha afya

    Wakubwa habarini za majukumu, na pia nawapa hongera katika kipindi hiki cha MFUNGO MTAKATIFU( ISLAM& ROMAN CATHOLIC) Mimi ni kijana( me) 25 OLD ambaye nimehitimu ngazi ya diploma in clinical medicine 2024. Hivyo naomba naombeni ushauri katika kada hii hususani kujitolea (volunteer) Katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…