afya

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nilishauri kuwa kabla ya maandamano ya NRNE muandamanie bima ya afya hamkunielewa!!

    Nilipotoa wazo hili watu walijibu kwa kejeli sana sasa leo mmeandamana kwaajili ya NRNE na mmekosa matibabu kwa haraka na kwa kiwategemea walewale waliowapiga risasi kuwatibu ambapo mngekuwa na bima labda mngeweza kutibiwa kwa haraka hata hospitali binafsi kwani watu wengi wamekufa kwa kukosa...
  2. JamiiForums Tanzania USHAURI: Nifanyeje kupata mkopo wa HESLB ili nianze kusoma diploma ya afya mwaka huu 2025 ?

    Pole kwetu wote kwa msiba mzito uliolipata Taifa letu mwaka huu, mwenyezi Mungu awarehemu ndugu zetu waliotangulia mbele za haki, Amina 🙏. Enyi viongozi, muwe na hekima, madaraka ni ya kupita tuu, tutakufa tunaacha vyote hapa duniani tupendane tuu ndugu. Sasa, nilifanya mtihani wa kidato cha...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Maji ya DAWASCO yanatiwa sumu kudhoofisha afya ya wananchi Dsm

    Kuna tetesi za kuwawekea sumu wananchi kupitia mabomba ya maji kuanzia kesho, Nimepokea hii taarifa kutoka kwa ndugu zangu walio Magomeni. Na watu wengine wanne tofauti, kwakuwa ni jambo linalohusiana na afya ya watu Tunaomba liangaliwe kwa upana zaidi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuwe na balance kwenye idara za ulinzi vya Tanzania, itapendeza kuona nusu ya idara zinaongozwa na Wabara na nusu nyingine Wazanzibari

    Kila baada ya miaka kama 8 kuwe kuna swap, idara iliyoongozwa na Mzanzibar awekwe wa Bara na vice versa. Mfano UPANDE A Jeshi la wananchi wa Tanzania Jeshi la Magereza Idara ya Uhamiaji Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) UPANDE B Jeshi la Polisi Tanzania Usalama wa Taifa...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Ni changamoto ya afya ya akili?

    Mfano mdogo ni hawa watu humu ambao kila kukicha wanaunga mkono serikali hii yenye makandokando, Serikali hii waiungayo mkono imeifungia JF, Lakini wao wanatumia VPN kuendelea kubangaiza humu.... Sasa unajiuliza huyu mtu gani ambae anashindwa kuitii hata serikali anayoiunga mkono!!? Mtandao...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Marekani aibua madai mapya ya kutahiri kuchochea usonji(autism)

    RFK Jr adai vijana wanaotahiriwa hasa wakiwa wadogo wengi wanakuwa katika hatari ya kupata usonji.
  7. JamiiForums Tanzania Chuo cha Afya Mac Wish kinakwama kwenye Marekting bila kufahamu

    Ni jambo la kushangaza kuona taasisi ya elimu kama Chuo cha Afya Mac Wish ikishindwa kunufaika na fursa ya kujitangaza ipasavyo. Badala ya kuwa na kitengo cha masoko chenye ubunifu na mvuto, kimeonekana kutochukua hatua madhubuti – na matokeo yake, majukumu nyeti ya marketing yameachwa mikononi...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Je waTanzania waandamane kutaka bima ya Afya kwa wote au kupinga uchaguzini?

    Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana. Je,tuandamane kugomea uchaguzi au tuandamane kudai bima ya afya kwa wote!! Tujitafakari!
  9. H

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha waTanzania kuwa kuandamana bila bima ya Afya kwa wote ni hatari sana!!

    Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana. Tujitafakari!
  10. E

    JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere ni mgonjwa wa afya ya akili, asaidiwe kwa maombi

    ANDREW NYERERE NI MGONJWA WA AFYA YA AKILI , ASAIDIWE MAOMBI. Familia ya mwalimu Nyerere ilipata bahati mbaya sana na haikuwa bahati kwa huyu mtoto wake Andrew Nyerere ambaye ni mtoto mkubwa wa Baba wa Taifa ana matatizo ya akili na wendawazimu ambao kwa kweli anatakiwa apewe matibabu na...
  11. JamiiForums Tanzania Padre Aliyejiteka ana changamoto ya Afya ya akili

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemfutia kesi ya kujiteka na kutoa taarifa ya uwongo mtandaoni iliyokuwa ikimkabili Padre Jodan Kibiki wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyololo, Jimbo la Mafinga baada ya uchunguzi wa kitabibu kugundua Padre huyo ana changamoto ya afya ya akili. Akitoa taarifa hiyo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ewe kijana linda sana afya yako, epuka vitu hivi kwasababu hata uje kubadilika huko mbeleni kwa kufanya mazoezi na kula vizuri vitaendelea kukutesa

    Kifo ni kitu kisichokwepeka, lakini baadhi ya tabia ukiendekeza zinaweza kuzidisha hatari ya kupata matatizo ya kiafya ambayo yanaweza kukutesa ukiwa bado hai, hasa kuanzia miaka 45. Kunywa pombe kupitiliza - hata uje kubadilika risk ya matatizo ya ini, figo na kibofu ni kubwa Kuvuta sigara...
  13. JamiiForums Tanzania Taasisi za afya za utafiti za Tanzania zinaendeshwa kiudalali, kiujanja-ujanja na kimchongo

    Sitazitaja majina hizi taasisi zetu., nyingi sana nimeshawahi kuzipelekea proposal za project wengi walikuwa wanashangaa proposal nilizokuwa nawapelekea, wengine unaambiwa appointment ndo imetoka hiyo ni full ubabishaji naandika haya nikiwa ni mtu ambaye nina-uzoefu wa kukataliwa na hizi taasisi...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aahidi kutoa ajira mpya elfu kumi na mbili sekta za afya na elimu

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa endapo ataendelea kupewa ridhaa ya kuongoza katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Serikali yake itatoa ajira mpya 12,000 katika sekta za afya na elimu. Akihutubia maelfu ya...
  15. JamiiForums Tanzania Video: Waziri wa Afya wa Sweden aanguka live akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari

    Hii kitu nimewaza kama ingekuwa bongo nadhani leo kuna baa zingeuza sana pombe maana watu wangefanya sherehe Sasa hapa nimeshindwa kuelewa shida ni nini? Au alikuwa ana changamoto gani ya afya Kuna mbaba mmoja badala ya kumsaidia mgonjwa kawahi kamera yake kupiga picha
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Haya ndiyo madudu yanayofanywa na Vigogo wa Afya Halmashauri ya Mji Korogwe, Tanga, Serikali ichukue hatua

    1. Kuna mazingira ya Rushwa ya ngono kwa Watumishi wao, wakati ambao watumishi wakidai stahiki zao. 2. Kuchepusha dawa za Serikali kupeleka kwenye maduka yao ya dawa, na hivyo kusababisha uhaba wa dawa katika Hospitali ya Mji Korogwe. 3. Kudai 10% pindi Mtumishi anapohamishwa kutoka kituo...
  17. JamiiForums Tanzania Tukubali tukatae, kutoshiriki mapenzi ni chanzo kikubwa Cha ugonjwa wa Afya akili

    Wagonjwa wengi wa maradhi ya Afya ya akili chanzo kikubwa kinaletwa na kutoshiriki tendo la ndoa kwa walio na umri wa kufanya ilo tendo. Wenye maradhi haya wengi ni wale WALIOKUWA wanandoa au walikuwa kwenye mahusiano lakini Sasa yamevunjika ghafla. Tukubaliane waanga wengi ni wao Muhimbili...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Serikali itaajiri wahudumu wa afya 5000 ndani ya siku 100

    Dkt. Samia Suluhu Hassan mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema Serikali itaajiri wahudumu wa afya 5000 ndani ya siku 100 ili kuboresha utoaji wa huduma za afya nchini. Dkt. Samia amesema hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29...
  19. JamiiForums Tanzania Kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara kwa mwanamke huimarisha afya yake

    Mwanamke asiposhiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu anaweza kukumbana na mabadiliko ya kimwili kama vile ukavu wa uke, kupungua kwa uimara wa sakafu ya fupanyonga, na kupungua kwa ulainishaji asilia, na mabadiliko ya kihisia kama vile kuongezeka kwa mfadhaiko, hasira, wasiwasi, upweke, na...
  20. JamiiForums Tanzania Hili la kuzuia kuruhusu maiti kuchukuliwa bure mbona linakinzana na sheria ya bima ya afya kwa wote? Kina nani hao watatozwa pesa za matibabu?

    Serikali imeanzisha utaratibu wa kodi ili kugharamia maswala ya bima ya afya kwa wote. Kwanini mgombea urais wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi ameahidi kuruhusu wanaofariki na kushindwa kulipia gharama za matibabu ndugu zao wataruhusiwa kuchukua maiti bure! Swali ni kina nani hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…