afya

  1. JamiiForums Tanzania Jinsi unavyoishi ndiyo matokeo ya afya yako

    Mwezi January maisha yalikuwa tofauti na yalivyo sasa. Covid-19 tuliisikia tu kama hadithi kutoka Wahuan. Nilialikwa kwenye tafrija moja. Nilikutana na mwanaume wa Kitanzania, ni Mhandisi kitaalauma. Yule bwana anavutia sana, hana tumbo na kwa jinsi alivyopangilia mavazi yake, zaidi ya mvi...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Tanzania diplomasia imeshuka awamu hii. Tutatengwa na majirani wakiona hatufuati vigezo vya WHO kupambana na COVID19

    Akihojiwa na DW, waziri wa zamani wa mambo ya nje mheshimiwa Bernard Camilius Membe amesema katika awamu hii ya utawala wa Magufuli, diplomasia imeshuka mno. Membe anaonya kwamba, tanzania awamu hii inajiendeshea mambo kivyakevyake nje ya utaratibu wa jumuia ya kimataifa. Akoingelea suala la...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangalla asema Afya ni swala binafsi kila mtu apambanie afya yake, atoa dawa yake ya majani inayotibu Corona

    Waziri wa maliasili na utalii mh Kigwangalla amesema maisha ya mtu na afya yake ni maswala binafsi hivyo kila binadamu ana wajibu wa kuipambania afya yake yeye mwenyewe. Kadhalika Dr Kigwangalla ameonyesha aina fulani ya majani ya mitishamba yanayotibu Corona na kuwataka wananchi wayachangamkie...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nawahurumia sana waziri wa afya Ummy Mwalimu na waziri wa Sukari Innocent Bashungwa kwa sababu huu ni mwaka wa uchaguzi!

    Unaweza usielewe sasa lakini huko mbele ya safari utaelewa tu, hawa mawaziri wawili wamekalia kuti kavu. Katikati ya Corona sukari imeadimika madukani watu wanalazimika kusongamana bila kupenda wakiitafuta sukari. Sisi tulioishi wakati wa vita vya Kagera tunaamini Corona ni vita na hali ya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ninaota tu: Ubongo wetu unahitaji na habari kama hizi kwa afya yake sio covid -19 twenty four hours

    Wakuu masikio yetu yanahitaji pia kusikia habari tofauti na mambo ya covid-19,bila kupoteza Muda twendeni kwenye mada moja kwa moja. Binafsi ningekuwa Mimi ndio nayeteua watukushika nyadhifa mbalimbali, Kamanda Kova nisingemsahau angekuwa mtu wa Kwanza kumpa kitengo hasa kwenye maeneo...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri wetu wa Afya ametengwa? Kitengo cha kupambana na COVID 19 kimehamishiwa ofisini kwa Waziri Kabudi?

    Kabla Rais hajamuondoa marehemu Dkt. Augustine Mahiga kwenye wizara ya mambo ya nje alianza sana kumtumia tumia Prof. Kabudi hadi akamuwakilisha kuongea na diaspora wa USA. Baadaye tuliona yaliyotokea. Leo nimemshangaa sana Waziri wa Mambo ya Nje kubeba majukumu yote ya Wizara ya Afya hadi...
  7. JamiiForums Tanzania Je Profesa Kabudi ahamishiwe Wizara ya Afya ?

    Kwa weledi aliouonyesha kwenye Mapambano ya Corona , kwa kuhakikisha dawa ya kufubaza virusi vya Corona inafika nchini kwa wakati na wananchi wanatangaziwa huku Wizara ya afya ikiwa imelala usingizi wa pono , kwanini asipewe kuongoza wizara hii ?
  8. JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Kwa sasa Wananchi hawatapewa dawa za kukabiliana na Corona kutoka Madagascar, inafanyiwa utafiti kwanza

    Tumerudi kutoka Madagascar jana usiku ila hatujaja na dawa ya kuanza kugawa leo, tumekuja na dawa za kuanza utafiti na uchambuzi maabara, nimepokea simu nyingi, meseji WhatsApp Watu wanataka niwagaie, jamani sina dawa, sijaja na chupa za dawa”- Waziri Kabudi “Chupa tumepewa mbili tu (control)...
  9. JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. Faustine Ndugulile, Naibu Waziri wa Afya

    Salaam Wana jamvi. Napenda kumpongeza Naibu Waziri wa Afya kwa majibu na maelezo yake kuhusu suala la Covid-19. Dkt. Ndugulile amekuwa akitoa majibu na maelezo ya kitabibu zaidi kama ilivyo taaluma yake. Kuhusu maelezo ya baadhi ya viongozi wa dini na wanasiasa kupinga matumizi ya barakoa...
  10. JamiiForums Tanzania Let let (retreat) ya Rais Magufuli inaweza kuwa na afya kwa Taifa

    Wakatoliki hususan vijana ambao wako msingi na sekindari huwa wanahudhuria mafundisho ya dini kabla ya kupata komunio ya kwanza au kipaimara. Kwa bahati mbaya sana huwa wanayaita let let ila kimsingi hushindwa kutamka retreat. Ni kipindi kifupi kabla hawajapata hizo ekaristi.kimsingi ni...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yaajiri Madaktari wapya 610 ili kuongeza nguvu katika kuboresha huduma za afya

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imetangaza kuajiri madaktari wapya 610, watakaokwenda kutoa huduma kwa wananchi katika maeneo mbalimbali nchini, pamoja na kusaidia kukabiliana na janga la Virusi vya Corona. Akitoa taarifa mbele ya Waandishi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Serikali haitoi taarifa za COVID-19 kutokana na zoezi la uhakiki wa maabara ya Taifa

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema sababu ya kutotangaza mwenendo wa ugonjwa wa Corona ni kutokana na maboresho yanayofanyika kwenye Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, ambapo kuna marekebisho yanafanyika na ndani ya siku chache marekebisho...
  13. JamiiForums Tanzania Shirika la Afya Duniani (WHO) lasema huenda Waafrika 190,000 wakapoteza maisha ndani ya mwaka mmoja kutokana na Corona

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko wa CoronaVirus unaweza kusababisha vifo kwa Waafrika wapatao 190,000 ndani ya mwaka mmoja tangu uanze kama ukishindwa kudhibitiwa Mkurugenzi wa WHO Afrika, Dkt. Matshidiso Moeti amesema kuna uwezekano COVID19 haitosambaa kwa kasi barani humo kama...
  14. JamiiForums Tanzania Wale wote tunaokula milo mitatu kwa siku, hii ndo ratiba inayoendana na afya ya mwili

    Wakati wa asubuhi, hakikisha kifungua kinywa kina range kati ya saa kumi na mbili mpaka saa mbili hapa ni kama hauna familia, au uko kazini. Kama una familia basi isivuke saa nne asubuhi. Wakati wa mchana, hakikisha mlo wa mchana unakuwa kati ya saa sita mpaka saa saba mchana ulivuka hapa we...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya wa Zanzibar amedhibitiwa ? Taarifa za Corona zazimwa !

    Ukimya wa Wizara ya Afya ya Zanzibar kuhusiana na Taarifa za Maambukizi mapya ya corona umeleta mashaka makubwa , hakuna tena taarifa mpya kama Tanganyika wanavyofanya. Wafuatiliaji wa mambo wana hofu kwamba huenda Mh Waziri kapokea maelekezo maalum , haiwezekani Tanganyika na Zanzibar kukosa...
  16. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai atangaza kutambua Ubunge wa Cecil Mwambe aliyejiuzulu Ubunge na uanachama CHADEMA

    Hii nchi ina maajabu sana, pamoja na mbunge tajwa hapo juu aliekuwa akiwakilisha jimbo la Ndanda kupitia CHADEMA kutangaza kujiuzulu ubunge na kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na CCM lakini bado anaendelea kupata stahiki zote kama mbunge na Ndugai bado anamtambua kuwa Cecil Mwambe ni...
  17. JamiiForums Tanzania Fahamu maana ya Herd immunity kwa kiswahili

    Herd immunity (population immunity, herd effect, community immunity or social immunity ) au kwa tafsiri ya kiswahili kinga ya jamii, kinga ya kundi. Nianze kwa mfano: Nyumbani mnaishi watu 10, ikatokea umeingia ugonjwa unaoweza kuambukiza. ukawapata watu sita kati yenu, lakini hawa watu sita...
  18. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Sensitivity na Specificity katika vipimo

    Vipimo vya maabara huwa sahihi kama ukipima kile kinachotakiwa kupimwa. Njia ya upimaji tutasema ni bora pale ambapo kipimo kimoja kitapimwa zaidi ya mara moja na kutupa majibu yanayofanana. Kwa kifupi hapa tunamaanisha usahihi wa kipimo. Sensitivity: Ni ule uwezo wa kipimo kugundua watu walio...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali lugha gongana: Wizara ya Afya inakataza matumizi ya barakoa za nguo kujilinda na COVID-19, Wizara ya Viwanda yahimiza zitengenezwe kwa wingi

    Yaani nchi hii ni pasua kichwa. Makosa yaliyofanywa na kina JK, Oktoba 2015 ni dhambi kubwa sana ambayo sidhani kama Mungu atawasamehe. Pathetic!!
  20. K

    JamiiForums Tanzania VETA na double standard salary

    Pole na kazi Mkuu! Ni imani yangu u mzima wa afya na unaendelea vyema na kuchapa kazi ya kujenga nchi yetu na ni imani yangu pia ujumbe huu utaupata na kuufanyia kazi. Kwa ufahamu wangu mdogo nimeona hii ni platfom nzuri kwangu kuweza kukufikishia malalamiko yangu kama siyo yetu sababu sina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…