Mabinti wawili,mtu na dada yake walikwenda kutembea kijijini kwao pamoja na wazazi wao. Baada ya kuwasili kijijini pale waliamua kwenda kusalimu ndugu, jamaa na marafiki ambao walikua hawajawaona muda mrefu sana. Walianza safari ya kwenda kwa mama mmoja ambae alimlea dada mkubwa alipokua mdogo...
Nakumbuka Julai mwaka 2021 katika mashindano ya Olimpiki yaliyofanyika Tokyo, Japan mwanadada Simone Ariane Biles kutoka Marekani alizua gumzo bada ya kuamua kujitoa katika timu yake iliyokua imefikia fainali sita. Biles mshindi mara saba wa olimpiki aliamua kung’atuka kwa kile alichoelezea kuwa...
Naitwa Mundu nimezaliwa kwenye familia ya watoto saba. Baba yangu alifukuzwa kazi sababu ya ulevi na upinzani wa kisiasa mwaka 1996, mwaka mmoja tu baada ya mimi kuzaliwa nikiwa mtoto wa nne kati ya watoto saba.
Familia haikuwa na amani sana mwanzoni kwa sababu ya ulevi uliopindukia na msongo...
Utangulizi
Huenda hulijui hili, kwa wewe ambae unalijua basi nakukumbusha. Sionekani ila nipo kila mahali ambapo binadamu huishi. Mataifa makubwa duniani na nchi nyingi zinazoendelea zinatambua umuhimu wa mimi kuwa timamu. Ila nasikitika kuona taifa lililo na watu zaidi ya millioni sitini (60)...
TANZANIA NA CHANGAMOTO ZA AFYA YA AKILI
Utangulizi
Afya ya akili kwa lugha rahisi tunaweza kusema kuwa ni ustawi wa mtu kisaikolojia na kihisia. Mara nyingi miili yetu huwa na afya njema, lakini kuna wakati miili yetu hupata magonjwa mbalimbali na hivyo kuhitaji tiba ili kurudi kwenye hali au...
Afya ya Akili.
Kwa mujibu wa shirika la afya duniani (WHO), afya ya akili ni hali ya kutambua na kuthamini afya ya hisia na mwili kwa ujumla ambavyo vinahusisha ubongo. Afya ya akili katika karne ya 21 imekuwa ni tatizo kubwa kwa jamii zetu hasa kwa upande wa vijana ambao ndio inaaminika kuwa...
Paraphilias
Hii ni tatizo ambalo mtu anapata hisia za KIMAPENZI kwa kupitia vitu ambavyo sio binadamu,kwakuumizwa au kuumiza na kwa watoto
Aina za paraphilias.
1 fetishistic
Hili ni tatizo la kihisia ambalo mtu anapata hisia za KIMAPENZI pale tu kwakutumia vitu ambavyo sio binadamu mfano...
Matatizo ya afya ya akili ni nini?
Ni matatizo ya ubongo ambayo humfanya mtu kuwa na hisia, fikra, na matendo tofauti na yale yanayotarajiwa na jamii na kushindwa kukabiliana na changamoto za maisha. Afya ya akili inaweza kuathiri namna ya kufikiri,na pia inaathiri mfumo mzima wa namna ya...
Hamjambo humu ndani?
Tatizo la upungufu wa akili miongoni mwa wanajamii ya Kitanzania limekuwa kubwa sana.
Vijana kwa wazee. Serikali iboreshe lishe kwa jamii hali ngumu. Nguvu kazi hasa vijana wana ukosefu wa akili na wengine wana upungufu wa akili kichwani.
Vijana wa nchi hii wasomi kwa...
Habari ndugu mwana Jamii Forums,Umewahi kusikia kuhusu Ugonjwa wa Afya ya Akili?,pengine labda ukahisi ni kitu kidogo au Cha kawaida,hapana kina madhara makubwa hasa kwa utendaji kazi kiufanisi.Kwani ugonjwa Afya ya Akili ni nini?,Ugonjwa Afya ya Akili unatafsiriwa kwa maana tofauti kulingana...
Hayo yamesemwa na Daktari bingwa wa Magonjwa ya akili kutoka Hospitali ya Mirembe mkoani Dodoma, Suluma Aslan akizungumza na Waandishi wa Habari leo Agosti 3, 2022
Suluma amesema takwimu zilizofanywa na Hospitali ya Mirembe mwanzoni mwa mwezi Julai 2021 zimebaini Tanzania kuna wagonjwa 6,000...
Habari ndugu zangu mliomo humu. Ningependa leo tutafakari kwa pamoja kuhusu hili suala la "Afya ya akili kwa vijana".
Tuanze na kujiuliza kuwa; Kijana ni nani? Na kwanini afya yake ya akili iathirike zaidi kuliko kundi lingine? Si kwamba watu wazima afya zao za akili haziathiriki, la hasha, ila...
Kama unaishi nyumba za kupanga zenye masharti lukuki hii inakuhusu sana, wataalamu wa afya ya akili na wanasaikolojia wameonya kuwa masharti hayo ni moja ya kichocheo cha mtu kukumbwa na magonjwa ya afya ya akili ikiwemo sonona.
Takwimu za magonjwa ya afya ya akili kwa mwaka jana kutoka Wizara...
Mei ni Mwezi wa Ufahamu wa Afya ya Akili. Mental Health ni muhimu katika kila hatua ya maisha, yaani kuanzia Utoto, Ujana hadi Utu uzima. Afya ya Akili sehemu muhimu za Afya kwa ujumla kama ilivyo Afya ya Mwili
Matatizo ya Afya Ya Akili yanaweza kuwa na athari kubwa katika nyanja zote za maisha...
Wasalaam
Mimi si mwandishi mzuri, lakini twende hivi!
Mbali na kwamba Chadema siipendi hasa kwa tukio la 2015, lakini hawa jamaa wanauongozi wenye watu waliojaliwa kuwa na akili kubwa sana,
Hawa watu, wamepitia mambo magumu mno mbali na kuwa na ushawishi Mkubwa kwa jamii, lakini hakuna...
Nimeangalia hii video kwa umakini Mkubwa na pia nimefatilia mjadala kuhusu mfalme zumaridi nimejikuta nashangaa na kujiuliza vitu vingi sana. Hiyo video hapo chini inamuonesha mfalme Zumaridi akimuamuru Michael Jackson aingie kupitia mtumishi wake atoe show kanisani 😂😂😂, na kuna watu...
Kwasababu ya muda ambao watu hutumia mtandaoni, ni muhimu kuelewa uhusiano kati ya Afya ya Akili na Teknolojia, kwani mbalimbali Tafiti zinaonesha matumizi ya Intaneti kupita kiasi yana madhara.
Mitandao ya Kijamii ni mojawapo ya njia kuu ambazo Intaneti huathiri Afya ya Akili. Hii hutokea...
Uhusiano Imara na wenye nguvu sio tu unakufanya kuwa Binadamu bora bali pia husaidia kukuimarisha Kihisia. Wakati wa kujenga uhusiano na Watoto wako, waambie unawapenda mara kwa mara
Ni muhimu kila Siku utenge muda wa kuzungumza na kumsikiliza Mtoto. Ikiwa mtoto wako anataka kuzungumza nawe...
Kihisia: Kukosa furaha na kuhuzunika sana. Au kuwa na furaha sana kupita kiasi wasiwasi na au woga kupita kiasi. Kupunguza kuongea au kutokuongea kabisa au kuongea sana kupita kiasi. Hasira za haraka haraka hata kufikia kupiga wengine. Kuwa na msongo wa mawazo. Kujitenga na watu na kupenda kukaa...
Wataalamu wa afya ya akili na wanasaikolojia wametaja sababu 10 zinazochangia wanaume kuongoza kuugua magonjwa ya afya ya akili ikilinganishwa na wanawake.
Sababu hizo ni kuzongwa na majukumu, ugumu wa maisha, utafutaji, malezi, usiri, kukua kwa teknolojia, matarajio ya maisha, sonona, matukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.