afrika

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu, Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  2. JamiiForums Tanzania Marais wa Afrika waliofariki wakiwa bado Madarakani

    Ni kumbukizi ya miaka miwili tangu Kifo cha aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, maarufu kama JPM au Chuma. Aliyekuwa Makamu wa Rais wakati huo, ambaye sasa ni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alitangaza kifo cha Hayati Maguli Machi...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia yupo Afrika Kusini, kapotezea kumbukizi ya Hayati Magufuli?

    Kesho Machi 17 ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli. Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake? Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa nishani ya heshima nchini Afrika Kusini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu ametunukiwa nishani ya Heshima ya nchi ya Afrika ya Kusini (National order of South Africa) na Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa katika kutambua nafasi ya Tanzania katika kuisaidia Afrika Kusini kupambana na ubaguzi wa rangi...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Lowassa anapigania uhai wake nchini Afrika Kusini

    Hali ya kiafya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa, inaelezwa kuwa ya kutoridhisha katika siku za karibuni na kwamba sasa “anapigania uhai wake”, Gazeti la Dunia linaweza kuthibitisha. Lowassa anayetarajiwa kutimiza umri wa miaka 70 Agosti 26 mwaka huu, amelazwa nchini Afrika Kusini...
  6. JamiiForums Tanzania Utashangaa baada ya Afrika sasa Kuingiza Timu 10 Kombe la Dunia 2026 kwa Kulaanika Kwetu bado tutatoka Kapa tu

    Nawalaumu mno FIFA kwa Kuamua hivi kwani kwa Waafrika tunavyojijua na tunavyojuana pamoja na Kuingiza Timu (Nchi) Kumi (10) kutoka Bara la Afrika bado tutatoka tu Kapa / Peupe. Kwangu Mimi GENTAMYCINE naona ni Kheri (Bora) hawa FIFA wangeongeza idadi ya Timu / Nchi kwa Mabara yaliyo Serious...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia aanza ziara nchini Afrika Kusini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Waterkloof Air Force Base Pretoria kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya Kiserikali nchini Afrika Kusini tarehe 15 Machi, 2023.
  8. JamiiForums Tanzania Madaraka ni laana kubwa Afrika kuliko tunavyochukulia!

    Mifano iko mingi sana! Marehemu Sankara wa Burkina Faso alipinduliwa na kuuwawa na aliekiwa Rafikie wa karibu na msiri wake Bless Compaore. Marehemu Patrce Emely Lumumba alipinduliwa na mtu wake wa karibu Joseph Kasavubu kwa ushirikiano wa wabelgiji na Mobutu Sese Seko. Na mfano wa hivi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania mwenyeji mkutano mkubwa wa Kilimo Afrika, Rais Samia kuuzindua Ijumaa

    Bwanku M Bwanku. Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa Afrika wa masuala ya chakula na kilimo utakaofanyika Septemba 5 mpaka 8 mwaka huu. Ijumaa wiki hii (Machi 17), Rais Samia Suluhu Hassan atazindua maandalizi ya mkutano huo Ikulu, Dar es Salaam, hii ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yaanza kutumia 'soft power' yake kuzuia moto wa kukataa ushoga kushika kasi Afrika

    Baada ya Vladmir Putin kutangaza kuwa Taifa hilo linapinga ndoa za jinsia moja, ilipelekea watu wengi sana wa dunia ya tatu kumuunga mkono licha ya udhalimu wake wa kupeleka majeshi Ukraine kuivamia ardhi ya nchi hiyo ili kupora baadhi ya maeneo. Uungwaji mkono huu wa Vladmir Putin kutoka kwa...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Umasikini ni Kikwazo cha Ukuaji Demokrasia Afrika

    Kuna mtazamo duniani kuwa wasio na kazi ya kipato ndiyo hutengeneza hadhira kwa wanasiasa majukwaani na pia hufanyika ama wateja au abiria wa difenda na karandinga. Umaskini wa kipato unakwaza ukuaji wa demokrasia barani Afrika: 1. Chaguzi za Afrika zimeghubikwa na rushwa hatarishi kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tukate mahusiano na Israel kama walivyofanya Afrika ya kusini

    Binafsi nimefarijika na kufurahi Afrika ya Kusini kushusha hadhi ya ubalozi wa Israel kutoka mahusiano ya ubalozi kamili na kuwa mahudiano ya kiwango cha chini. Ukweli kinachoendelea Israel ni utawala kama ule uliokuwepo Afrika ya Kusini enzi ya Makaburu. Walowezi wa Kiyahudi kwenye maeneo...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Utimiaji wa Mambo ya Kisasa kwa Njia ya Kichina na Fursa kwa Afrika lafanyika

    Kongamano la Utimiaji wa Mambo ya Kisasa kwa Njia ya Kichina na Fursa kwa Afrika lililoandaliwa na Idara ya Asia na Afrika ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) limefanyika kwa njia ya mtandao, na kuwashirikisha wahariri na wanahabari wa vyombo muhimu vya habari vya nchi za Afrika...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu madeni ya Afrika, kurudia uongo hakubadilishi ukweli

    Shirika la Fedha la Kimataifa, Benki ya Dunia, na nchi mwenyekiti wa zamu wa G20 hivi karibuni zilifanya mkutano wa kimataifa kuhusu masuala ya madeni. Baadhi ya wanasiasa na vyombo vya habari vya Marekani na nchi Magharibi wamechukua fursa hiyo kuipaka matope China kuhusu madeni yake kwa nchi...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia asitisha hotuba ghafla, sikiliza kwa umakini alichokisema baada ya kuweka mic pembeni, Machi 8, 2023

    Rais Samia asitisha hotuba ili azungumze na simu ya Rais wa Afrika Kusini, hiyo imetokea Mkoani Kilimanjaro wakati akiwasalimia Wana CCM nje ya Ofisi za Ccm Mkoa wa Kilimanjaro
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika inafuatilia Mikutano Miwili ya China?

    “Serikali mpya ya China itaongeza msukumo mpya katika uhusiano kati ya China na Afrika.” Makala iliyochapishwa kwenye tovuti ya Shirika la Utangazaji la Kenya KBC iliripoti kwamba mabalozi na wageni kutoka nchi za Afrika hapa Beijing walishuhudia kuanza rasmi kwa Mikutano Miwili ya China, yaani...
  17. JamiiForums Tanzania Baraza la Biashara Afrika Mashariki lamshukuru Rais Samia kwa kuwapa ardhi

    Baraza la Biashara la Afrika Mashariki limemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukabidhi ardhi kwa baraza hilo yenye ukubwa wa hekta tatu. Hati miliki ya ardhi hiyo namba 4/2 iliyopo eneo la Mateves mkoani Arusha, ilipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa EABC, John Bosco Kalisa. Kwa mujibu...
  18. JamiiForums Tanzania Stephen Byabato awahamasisha wadau wa nishati kushiriki mkutano na maonesho ya petroli ya Afrika Mashariki

    MHE. STEPHEN BYABATO AWAHAMASISHWA WADAU WA NISHATI KUSHIRIKI MKUTANO NA MAONESHO YA PETROLI YA AFRIKA MASHARIKI Wadau mbalimbali katika Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia nchini wamehamasishwa kushiriki katika Mkutano na Maonesho ya 10 Petroli yanayotarajiwa kufanyika nchini Uganda mwezi Mei mwaka...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Ulaya, Marekani, Asia na Middle East Wakosoaji na Watu Werevu wanaheshimika, ila kwa Afrika Wanauliwa Kikatili?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu juu ya kwanini Wakosoaji ( Critics ) na Watu Werevu ( Intelligent ) kwa Afrika huwa Wanauliwa Kikatili ila kwa Wenzetu wa Ulaya, Marekani, Asia na Middle East husikilizwa, huheshimiwa, hulindwa na hukumbatiwa na hutumika kama Washauri...
  20. JamiiForums Tanzania Marais na wananchi wa Afrika Mashariki waungane kukataa ushoga

    Hali ilipofika sasa kuhusiana na juhudi za wazungu kutuletea ushoga kwa maraisi wetu wakutane na kutoa tamko la pamoja kuwa mambo ya ushoga hatuyataki na wote wanaojaribu kwa siri na kwa dhahiri kuuleta wakome mara moja. Tayari tumewasikia Rais Museveni wa Uganda na Ruto wa Kenya wakitoa kauli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…