afrika

  1. JamiiForums Tanzania Sababu kuu za Mmarekani kuhamasisha kwa nguvu sana ushoga Afrika na siyo mabara mengine

    Ni muda sasa suala la ushoga na habari zake zimeendelea kuchoma na kuumiza masikio na macho ya waafrika na wengi wetu kukerwa na wengine kuhuzunishwa. "kwanini Afrika kwa sana"?. "Kwanini Mmarekani ndiye anaongoza kwa kuhamasisha na je una manufaa gani kwake kama siyo udhalimu tu dhidi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Afrika ianze kugomea kupokea fedha toka Marekani ili ijitegemee

    Afrika walipe tu madeni wanayodaiwa sasa na Marekani kisha nchi zote ziache kupokea fedha na misaada toka Marekani. Afrika ianze kufanya biashara kati ya nchi na nchi ndani ya Afrika na nchi nyingine zile za BRICS na nyinginezo. Afrika ili iendelee ihakikishe teknolojia yoyote toka Marekani...
  3. JamiiForums Tanzania Wababe wa dunia wanaiparamia Afrika, Waafrika wenyewe wanashangilia!!

    Ukiangalia kwa undani utaona kuwa mataifa yaliyoendelea kiuchumi na yale yenye uchumi wa Kati, yote kwa pamoja yanapigana vikumbo kuigombania Afrika. Siyo kama mshirika wa kimaendeleo bali kama soko na chanzo cha malighafi katika kuendeleza chumi zao. Wakati wababe hao wa Dunia wakipigana...
  4. JamiiForums Tanzania Eric Djemba Djemba: Mashine kutoka Afrika Magharibi na Siri ya Alex Ferguson kuhusu wachezaji wa Afrika

    Unakumbuka nini ukisikia jina Djemba Djemba. M Cameroon aliye lamba deal la kusajiliwa Manchester united na Alex Ferguson at his age of 21 Alisajiliwa akitokea Nandes ya ufaransa. Alipo sign deal na Manchester united akaenda kununua magari matano Kwa mkupuo. Inasemekana Sir Alex Ferguson...
  5. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Nabii hakubaliki kwao? Raia wa Afrika Kusini wataka Jeshi la Polisi Tanzania kwenda kuzuia uhalifu nchini kwao

    Moja ya changamoto kubwa sana tuliyokuwa nayo Tanzania, ni kuona kila kitu tulichokuwa nacho hakifai. Wakati nchini Tanzania hadi tume ya kupitia mfumo wa Haki Jinai ikiwa imeundwa na tayari ipo kazini, raia wa Afrika Kusini wameonyeshwa kuvutiwa sana na utendaji kazi wa Jeshi la Polisi la...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yapaka matope China katika suala la madeni barani Afrika

    Hivi karibuni, tatizo la madeni barani Afrika limefuatiliwa sana na jumuiya ya kimataifa. Marekani imetumia fursa hii kuikashifu China kuwa kikwazo cha utatuzi wa madeni ya nchi za Afrika. Lakini ukweli ni kwamba, China imetoa mchangao zaidi katika suala la madeni ya nchi za Afrika, jambo ambalo...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wengi wa Afrika ni wanene wakati Ulaya, Amerika na Asia ni Wembamba?

    Ndg wasomaji kwanini maraisi wengi wa Afrika ni wanene wakati Marais karibu wote wa Ulaya, Amerika na Asia ni wembamba? Najiuliza Nini kinasababisha hayo! Je, Waafrika ndivyo tulivyoumbwa? Au ni kula pasipo kipimo. Au ni utaahira maana wengine wanahusisha unene na tatizo la akili, akili...
  8. L

    JamiiForums Tanzania “Ni upuuzi tu!” Wanamtandao wa Afrika wakasirika baada ya Taasisi ya Marekani kuja kupaka matope tena

    Wiki iliyopita, Wizara ya Mambo ya Nje ya China ilitangaza kuiwekea vikwazo Taasisi ya Hudson ya Marekani inayounga mkono vitendo vya kuitenganisha Taiwan na China. Kwa muda mrefu, taasisi hiyo ya washauri bingwa ya Marekani imekuwa ikiishambulia China, na watafiti wake wametoa tafiti na ripoti...
  9. JamiiForums Tanzania Kichekesho: Yanga ndio timu kubwa Afrika Mashariki

    Champion League ndio kilele cha mafanikio ya mpira. Asante mzee wa jambia kwa kuweka kumbukumbu klia. Tuendelee na pasaka
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania yatembeza kichapo kwa Morocco na kutwaa ubingwa fainali za Mashindano ya Shule za Sekondari barani Afrika

    Wawakilishi pekee wa Tanzania na Afrika Mashariki katika mashindano ya shule za Sekondari Afrika "Fountain Gate Dodoma High School" wamefanikiwa kushinda mchezo wa Fainali dhidi ya timu ya wasichana ya "Ecole Omar IBN Khatab" kutoka Morocco kwa magoli 3-0. Timu ya Fountain Gate imetwaa taji...
  11. JamiiForums Tanzania Tamko la chama cha upinzani Afrika Kusini kuhusu kukamatwa kwa Thabo Bester nchini Tanzania

    Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini EFF kimepokea kwa mikono miwili hatua ya kukamatwa kwa Raia watatu wa Afrika Kusini ambao mmoja wa ni Thabo Bester maarufu kwa jina la ‘Mbakaji wa Facebook’, pamoja na Mpenzi wake Dr. Nandipa Magumana na mtu mwingine mmoja aliyetajwa kwa jina la...
  12. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu. Kuonyesha maumbo ya KIBANTU ya MWANAMKE WA AFRIKA

    Naaamu achana na hawa slim body,tupia picha ya mwanamke halisi wa kibantu.
  13. JamiiForums Tanzania Mfahamu Omar Bongo, Rais aliyetawala muda mrefu kuliko wote Afrika

    Leo katika pita pita zangu za kusoma vitabu, nakutana na historia iliyojaa maajabu, vichekesho, hatamu na mafunzo. Historia ambayo iligusa moyo wangu na kuamua kuiandika angalau wengi wao waifahamu na kuisikia. Mimi na wewe, tunarudi miaka 88 kutoka hii leo, tunaenda kupata stori katika mkoa wa...
  14. JamiiForums Tanzania Simba ilishawahi kucheza Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika

    Katoka fuatilia yangu ya hivi karibuni, nimegundua historia fulani ya mafanikio ya Simba ama imesahaulika au inafichwa kwa maksudi. Wengi wamejikita kwenye mafanikio ya mfululizo ya kufika robo fainali katika mashindano ya klabu bingwa na yale ya shirikisho na wengine hado wanafikia kukejeli...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna raia au kiongozi wa Serikali mweusi(asili ya Afrika) nchi za Urusi na China..?

    Maana siamini km hakuna watu weusi katika NCHI hizo km hawajaolewa au kuoa na wenyeji wa hizi nchi.. Huwa wanaishia wapi? Pia naamini wapo watu weusi wamezaliwa hizi nchi MIAKA na MIAKA na hawahi kuishi nchi nyingine kuishi zaidi ya hizi, Hawa nao huishia wapi? Yasije tokea Yale ya...
  16. JamiiForums Tanzania Yanga yapanda viwango vya Afrika, yaingia 30 Bora

    CAF's TOP 5️⃣0️⃣ Ranked Clubs in Africa after the group stage of the 2022/23 CAF interclub competitions: Based on the 5-year RANKING! 1. 🇪🇬 Al Ahly 2. 🇲🇦 Wydad Casablanca 3. 🇲🇦 Raja Casablanca 4. 🇹🇳 Espérance 5. 🇿🇦 Mamelodi Sundowns 6. 🇪🇬 Zamalek 7. 🇲🇦 RS Berkane 8. 🇩🇿 CR Belouizdad 9. 🇹🇿...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Afrika Mashirika kwa kasi kubwa kuhamia kwenye magari ya umeme

    Kwa mujibu wa ripoti ya E-Mobility Alliance, ambayo ilitolewa mwezi uliopita, inaonyesha kuwa kuna angalau magari 5,000 ya umeme (EVs) nchini Tanzania Ingawa uagizaji na utumiaji wa magari ya umeme yana changamoto nyingi kwa nchi Tanzania serikali imeanza kuweka nguvu kutanua wigo wa watumiaji...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa kwetu Waafrika, Yaani nchi 50 kutoa club moja ya Simba

    Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali, Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan...
  19. JamiiForums Tanzania Historia ndefu ya Afrika kwa ufupi

    MAARIFA NI NGUVU!!!!!! ✊🏽 ~ MUDA WA HISTORIA YA AFRIKA (SIMULIZI ZETU ZA UKWELI) - 100,000 BC - Wanadamu wanahama kutoka Afrika kwenda sehemu zingine za ulimwengu. - 3,118 KK - Mfalme Menes anaunganisha falme za Kemet ya Juu na ya Chini. - 2,600 BC - Piramidi ya kwanza imejengwa huko...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya South Afrika imetuma maafisa wake Urusi kujadiliana namna ya kurekebisha 'global order' ili kuwe na multipolar world

    Chama tawala cha South Africa cha ANC kimesema kuwa kimewatuma maafisa wake kwenda Russia ku-discuss na chamade tawala cha Urusi juu ya kurekebisha 'global order' ili mataifa yawe huru kufuata tamaduni zao, tusilazimishane kufuata tamaduni za kimagharibi (ndoa za mashoga na wasagaji) na pia kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…