afrika

  1. JamiiForums Tanzania Viongozi sita wa Afrika kusuluhisha mgogoro wa Ukraine na Urusi

    Ujumbe wa viongozi hao wa Nchi 6 za Afrika unatarajiwa kufanya mazungumzo na pande mbili wenye lengo la "kuanzisha mchakato wa amani." Rais wa Urusi, Vladimir Putin na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy wote wamekubali kuwa wenyeji wa ujumbe huo kutoka Afrika Kusini, Senegal, Misri, Jamhuri...
  2. JamiiForums Tanzania Ni Muhimu Kupambana na Rushwa Katika Miji ya Afrika Inayokua kwa Kasi

    Rushwa katika mipango ya maendeleo ya mijini inaweza kuwa chanzo cha umaskini, ukosefu wa usawa, na ukosefu wa haki katika miji ya Afrika. Ingawa rushwa katika ngazi ya miji sio jambo jipya, inaonekana kuongezeka kadri viwango vya ukuaji wa mijini vinavyoongezeka duniani. Hii ni dhahiri sana...
  3. JamiiForums Tanzania Dangote afungua kiwanda kikubwa Afrika cha kusafisha mafuta

    Dangote kafungua kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta. Kiwanda hicho kitakuwa na uwezo wa kusafisha mapipa 600,000 kwa siku (600K BPD) Kiwanda hicho kitakuwa kikubwa kuliko vyote Afrika. Kiwanda hicho kitakuwa ni kiwanda kikubwa cha Single Line Duniani. Kiwanda hicho kitatoa zaidi ya Tani...
  4. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zilizofuta Adhabu ya Kifo kwa Makosa yote

    1981 - Cape Verde 1990 - Msumbiji, Namibia, Sao Tome 1992 - Angola 1993 - Guinea-Bissau, Seychelles 1995 - Djibouti, Mauritius 1997 - Afrika Kusini 2000 - Ivory Coast 2004 - Senegal 2007 - Rwanda 2009 - Burundi, Togo 2010 - Gabon 2015 - Congo-Brazzaville, Madagascar 2016 - Benin 2017 - Guinea...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Rekodi za Yanga dhidi ya Timu za Afrika ya Kusini

    Wasalaam. Ninaomba mwenye rekodi za Yanga akicheza na klabu za Afrika Kusini hasa mechi zinazochezwa ugenini Afrika Kusini kama hii ya kesho. Nawasilisha.
  6. JamiiForums Tanzania Hongera Simba SC kupanda viwango vya ubora CAF

    Kwa mujibu wa mtandao wa IFFHS, ambayo imetoa orodha ya vilabu bora kwa bara la Afrika imeonyesha simba ikishikilia nafasi ya 10 huku kinara akiendelea kuwa Al ahly ya nchini Egypt. Hongera kwa kilabu cha Simba na benchi zima la ufundi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tamaduni za kipekee na za ajabu Afrika

    Utamaduni ni jinsi binadamu anavyokabili maisha katika mazingira yake. Hii pamoja na ujuzi, Imani, Sanaa, sheria , mila, desturi, ambavyo mtu anajipatia kama mwanajamii. Inapokuja kwamba mambo fulani yanakubaliwa na jamii fulani kutekelezwa basi huitwa utamaduni wa jamii hiyo. Tutakubaliana...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani yaishutumu Afrika Kusini kuipa Urusi silaha kwa siri

    Balozi wa Marekani Nchini Afrika Kusini, Reuben Brigety ametoa shutuma hizo kwa kudai silaha hizo zilipakiwa kwenye meli ya mizigo ya Urusi iliyotia nanga katika Kambi ya Jeshi la Majini Jijini Cape Town, Desemba 2022. Amesema ana uhakika na anachokisema na kudai hilo jambo halikubaliki kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Utani wa Kweli: Hivi Jamii Forums haiwezi kugeuka kuwa Chama cha Ukombozi kwenye medani ya Siasa ndani ya Afrika Mashariki na kati kwa Ujumla wake?

    Hoja hii ni nzito sana ambayo mimi mwenyewe kama mwanaJF sina mamlaka ya ku-dictate thread hii kwa maana ya unyeti wake, kwa uchache tu ninachoweza kueleza ni kwa nini nimefikia kufikiri hivyo; 1. Jamii Forums ninayoijua mimi ni ile iliyojaa wanazuoni na wabobezi wenye uwezo na weledi wa kila...
  10. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yadaiwa kuisaidia Silaha Urusi kwenye vita ya Ukraine

    Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini ameishutumu nchi hiyo kwa kusambaza silaha kwa Urusi licha ya kudai kutoegemea upande wowote katika vita vya Ukraine. Reuben Brigety alidai kuwa meli ya Urusi ilisheheni risasi na silaha mjini Cape Town Desemba mwaka jana. Ofisi ya Rais Cyril Ramaphosa...
  11. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo Ibada 3 za Kingono zinazofanywa Kimila barani Afrika

    Habari zenu wanakijiji cha Jamii Forums leo bhana nimewasogezea Ibada 3 za kingono zinazofanywa kimila na baadhi ya jamii barani Afrika.. lengo la hii thread si kwa nia ya kuchafua jamii hizo au waafrika bali lengo ni kujifunza tu maana kujifunza hakuna mwisho ..haya twende kazi... 1. IBADA YA...
  12. JamiiForums Tanzania King Charles Coronatiin leo, viongozi wa Afrika hawaendi kupandishwa Coaster?

    Afrika nzima tulisikitika viongozi wetu wote kupandishwa coaster wakati wa maombolezo ya Malkia Elizabeth. Jamani leo King Charles anasimikwa, je, mmewaona kwenye coaster?
  13. JamiiForums Tanzania Maombi ya Rais Samia Yajibiwa, Tanzania Yachaguliwa Kuwa Makao Makao Sekretarieti ya Baraza la Michezo Afrika Kanda ya IV

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana anayofuraha kuwajulisha Watanzania kuwa kikao cha Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya IV Nazi ya Mawaziri kimeichagua Tanzania kuwa Mako Makuu ya Sekretarieti ya Baraza hilo. Aidha, wajumbe wa mkutano wameazimia...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia aipigia chapuo Tanzania kuchaguliwa kuwa Makao Makuu ya Sekretariat ya Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza kwa njia ya "video" na wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Michezo katika Kanda ya IV ya Afrika (AU Sports Council of Ministers Meeting – Region IV) unaofanyika Jijini Arusha hapa Tanzania. Rais Samia amepiga "kimombo" kilichonyooka kwelikweli...
  15. JamiiForums Tanzania Apple yaongoza kwa mauzo ya Simu duniani, Samsung yaongoza Afrika

    Takwimu za mauzo ya Simu zilizotolea na Mtandao wa #StatCounter zimeonesha kampuni ya Kampuni ya #Samsung inaongoza kwa idadi kubwa ya Simu zake kununuliwa kwenye Soko la #Afrika huku ikishi nafasi ya pili kwenye soko la Dunia nzima. Kampuni ya #Apple ikiwa na Simu za iPhone iko nafasi ya 2...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi hii Afrika imelaaniwa au watu wake ndiyo wamelaaniwa?

    JE KUDHIBITI UANZISHAJI HOLELA WA TAASISI ZA KIDINI NI SAWA AU NI KUINGILIA UHURU WA KUABUDU? Tatizo la matumizi maovu ya imani na vitabu vyake hivi sasa lingekuwa gumzo duniani baada ya matukio yanayohusu "manabii" watatu nchini Kenya. Ulimwengu unajiuliza inawezekana vipi watu wafunge kwa nia...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Makampuni 100 yanayokuwa kiuchumi katika Afrika

    Orodha ya hivi majuzi ya kampuni zinazokua kwa kasi barani Afrika na Financial Times na Statista kwa 2023 inadhihirisha kuwa kampuni katika sekta mbalimbali ziliweza kuendeleza biashara zao hata kama dunia ilizimika kutokana na janga hilo. Kiwango hicho, sasa katika mwaka wake wa pili...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Miziki toka nchi za Afrika

    Luanda, Angola Shiny I - E ndege na
  19. JamiiForums Tanzania Mbowe ataka rasilimali watu ikomboe Afrika kiuchumi

    Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na akiwa Afrika ya Kusini, Mbowe Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Vyama vya Demokrasia Afrika (DUA), ametoa wito huo nchini Afrika Kusini, akifungua kongamano la kujadili usalama na ulinzi, demokrasia na biashara barani...
  20. JamiiForums Tanzania Abdallah Kibadeni wa Simba alikuwa mfungaji bora Klabu bingwa Afrika 1974, aliifikisha nusu fainali

    Jedwali hilo la chini linaonyesha wafungaji bora wa kombe la klabu bingwa Afrika mwaka 1974, Abdallah Kibadeni wa Simba SC alikuwa miongone mwa wafungaji bora. Na ndiye alikuwa mchezaji pekee asiye na asili ya kiarabu kuingia kwenye orodha hiyo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…