afrika

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ya Afrika Kusini yaomba rasmi hati ya kukamatwa kwa Putin

    Getty ImagesCopyright: Getty Images Serikali ya Afrika Kusini imetuma maombi rasmi kwa mahakama kutoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Urusi Vladimir Putin iwapo atawasili nchini humo. Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini, Democratic Alliance, kinasema kuwa haya ni makubaliano ya matakwa...
  2. JamiiForums Tanzania Angalia jinsi Afrika inavyoitegemea Ukraine na Urusi kwenye mahitaji ya ngano.

    Hii ni picha ya kueleza utegemezi wa nchi za kiafrika kwa Ukraine na Urusi kwenye mahitaji ya Ngano. Ukraine nchi yenye watu milioni 30 inalisha Afrika nzima bara lwnye watu Bilioni 1 na ushee.
  3. JamiiForums Tanzania HAKI JINAI: Inachohitaji Afrika ni viongozi waaminifu na sheria zisizopendelea

    Hakuna demokrasia inayoweza kuletwa kwa magunia kutoka sehemu nyingine kwenda sehemu nyingine. Hakuna demokrasia inayopatikana kwa mazungumzo bali kwa uhalisia wa mambo. Mfano, China wako karibia watu bilioni 2 chini ya matawala mmoja, serikali moja na nchi moja, ni demokrasia gani inafaa kwenye...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kimataifa wa mambo ya kifedha wakosolewa na nchi za Afrika

    Mkutano wa kilele wa katikati ya mwaka wa Umoja wa Afrika ulifanyika hivi karibuni mjini Nairobi, mji mkuu wa Kenya. Viongozi wa nchi za Afrika walioshiriki kwenye mkutano huo kwa mara nyingine tena walitoa wito wa mageuzi ya mfumo wa kimataifa wa mambo ya kifedha. Rais William Ruto wa Kenya...
  5. JamiiForums Tanzania Prigozhin asema hataki tena kupigana Ukraine, anakuja Afrika

    Baada ya utata wa muda mrefu wa mahali alipo kiongozi wa kikundi cha askari wa kukodiwa cha Wagner leo ameonekana hadharani nchini Belarus alikohamishia shughuli zake baada ya jaribio la kutaka kuipindua serikali ya Urusi kuzimwa. Katika video iliyomuonesha akisalimiana na askari wake...
  6. JamiiForums Tanzania Kampuni ya ICTE kutoka Ufilipino imeshinda tenda kuendesha bandari ya Darbun, SA kwa miaka 25

    Kampuni ya uendeshaji wa shughuli za bandari ya International Container Terminal Services kutoka Ufilipino imeshinda kandarasi ya kuendesha bandari ya Durban nchini Afrika Kusini kwa kandarasi ya miaka 25. Swali, kwa nini sisi DP World hatuambiwi watafanya kazi kwa muda gani? =======...
  7. JamiiForums Tanzania Skudu Makudubela angekuwa mzuri hivyo angekuwa hapati nafasi katika Vilabu Vikubwa Afrika Kusini?

    Tembeleeni mitandao ya Michezo ya Afrika Kusini muone jinsi nyie mlivyompamba kwa mwezi mzima hadi jana mlivyompokea lakini mnavyochekwa na kudharauliwa na South Africa Football Pundits kwa kukurupuka kwenu kumsajili. Yaani Mchezaji awe mzuri Afrika Kusini halafu giants kama Mamelodi Sundowns...
  8. JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania yashika nafasi ya 17 kwa nchi zenye amani Afrika

    Ripoti mpya ya Taasisi ya Uchumi na Amani (IEP) ya mwaka 2023 toleo la 17 imetoa takwimu ya nchi zenye amani zaidi barani Afrika ambapo utafiti huo unaonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya 17 kwa amani na kushika nafasi ya 91 kidunia. IEP imesema Tanzania imeshika nafasi hiyo kwa kupata alama...
  9. JamiiForums Tanzania Nchi zilizoelimika sana Afrika; Tanzania tuko wapi?

    Nimeangalia video hii kuhusu nchi zilzoelimika sana Afrika na kugundua kwa nini Tanzania inapata mikataba mobovu miaka nenda rudi na kuishia kukamatwa ndege zake kama swala wanavyokamatwa na chui. Hata kama video imeskewa data, ukweli ni kuwa elimu ya Tanzania sasa hivi ni dhaifu sana. Wakati...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini BRICS inavutia sana nchi za Afrika?

    Mkutano wa 15 wa wakuu wa nchi za BRICS utafanyika Johannesburg, Afrika Kusini kuanzia tarehe 22 hadi 24 mwezi ujao. Ukiwa chini ya kaulimbiu ya "BRICS na Afrika: Ushirikiano wa Wenzi wa Ukuaji wa Kasi ya Pamoja, Maendeleo Endelevu na Utaratibu Shirikishi wa Pande Nyingi", mkutano huo utaangalia...
  11. JamiiForums Tanzania Treni yenye Watalii 60 yatoka Afrika Kusini hadi Tanzania

    TRENI YA WATALII YA ROVOS YAPOKELEWA Wizara ya Maliasili na Utalii, kupitia Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), imepokea treni ya Kitalii Kampuni ya ROVOS yenye Watalii 60 kutoka nchini Afrika Kusini. Treni hiyo ilianza safari yake mwezi Juni 30, 2023 na imepita katika nchi za Botswana, Zimbabwe...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Burna Boy hazina Mvuto lakini eti ndio anafunika Afrika nzima

    Najiulizi huyu mwamba ana trend Africa nzima na nje ya Africa anapagawisha sana watu, mimi nimejaribu kusikiliza nyimbo zake naona hata hazina mvuto kabisa lakini amepanda kuwa ndiye Giant kuliko wote. Nikiangalia nyimbo za Bugati - let me see ololo , who is ur guy na ile ya I wanna see with...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuongoza Marais wa Afrika katika Kongamano la Jukwaa la Mifúmo ya Chakula Afrika (AGRF)

    Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Kongamano la Jukwaa la Mifúmo ya Chakula Afrika (AGRF) unaotarajiwa kufanyika Septemba mwaka huu ambapo marais zaidi ya 15 wamealikwa kushiriki. Katika kongamano hilo linalofanyika kwa mara ya nchini, mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dk. Samia Suluhu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa China na Afrika watafuta njia za kushirikiana na kutekeleza majukumu makubwa zaidi katika jamii

    Maonesho makubwa ya tatu ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yalifungwa mwishoni mwa mwezi uliopita katika mji wa Changsha, mkoani Hunan, hapa nchini China. Mbali na maonesho ya bidhaa mbalimbali, makongamano kadhaa pia yalifanyika likiwemo ‘Kongamano la Wanawake la China na Afrika’...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania na Kenya zinaongoza kwa Kodi kubwa kwenye Mafuta Afrika Mashariki

    Kenya imejiunga na ligi ya nchi zinazokusanya ushuru wa juu zaidi wa mafuta na kuyapita mataifa makubwa kiuchumi kama vile Marekani na Afrika Kusini. Uchambuzi wa gazeti la Business Daily unaonesha kuwa ushuru nchini Kenya sasa unachukua asilimia 40 ya gharama ya kila lita ya Petroli ya juu na...
  16. JamiiForums Tanzania Burna Boy awa msanii wa kwanza kutoka Afrika kujaza Uwanja Marekani

    Mshindi huyo wa Tuzo ya Grammy amefanikiwa kuweka rekodi hiyo kwa kuuza Tiketi zote 41,000 za onesho lake katika Uwanja wa Citi Field ulioko jijini New York, Marekani . Show hiyo ilihudhuriwa pia na Mastaa wakubwa kutoka Marekani wakiwemo Busta Rhymes, SZA, Jorja Smith na rapa Santan Dave...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Zijue nchi sita tajiri katika Afrika wakati Pato la jimbo la California linazidi pato lote la Afrika

    Hii ni orodha ya nchi sita zenye pato kubwa katika Afrika na nchi maskini sana katika Afrika. https://a-z-animals.com/blog/richest-countries-in-africa-today-ranked/ Did you know that the highest state Gross Domestic Product (GDP) in the United States measures greater than the highest country...
  18. JamiiForums Tanzania #FIFAfrica23: Muongo mmoja wa kujenga jumuiya ya Kuchagiza Haki za Kidigitali Barani Afrika!

    Jukwaa la kila mwaka ya Uhuru wa Mtandao(internet) Barani Afrika (FIFAfrica) iliyoandaliwa na Ushirikiano wa Sera za Kimataifa za Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kwa Afrika Mashariki na Kusini (CIPESA) itafanyika Dar es Salaam, Tanzania kuanzia tarehe 27 hadi 29 Septemba 2023. Mwaka huu...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ripoti KNBS: Uzito Uliopitiliza ni tishio kwa Wanawake wa Afrika Mashariki

    Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya Kenya kwa kushirikiana na Benki ya Dunia na Umoja wa Mataifa, umeonesha kuna ongezeko kubwa la Wanawake wenye Vitambi na Uzito Uliopita Kiasi. Ripoti imeonesha 45% ya Wanawake wenye kati ya miaka 20-49 wana Viriba Tumbo ikiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Faida yoyote ya Jeshi lolote la Afrika Kuficha Taarifa za Kuuwawa kwa 'Ambush' kwa Wanajeshi wake

    Majeshi ya Bara la Ulaya, America, Mashariki ya Kati na Mashariki ya mbali huwa hayana Upuuzi wa Kuficha au Kuwaficha Wananchi wa Nchi zao Taarifa za Kuuwawa kwa Wanajeshi wake katika Ambush wakiwa Vitani au katika Misheni za AU au UN. Ila kwa Bara la la Afrika Majeshi yao hupenda sana kuficha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…