afrika

  1. JamiiForums Tanzania Urusi yaituhumu idara ya Ujasusi ya Uingereza MI6 kuunda kikundi cha mauaji kutoka Ukraine dhidi ya viongozi wa Afrika wanaoshirikiana na Russia

    Russia imeituhumu idara ya ujasusi wa nje ya Uingereza ya MI6 kuhusika na mpango wa kuunda kundi la wauaji au "Assassination Squad" ambalo kazi yake kuu itakuwa ni kuharibu miundombinu na kufanya mauaji ya viongozi wa nchi za Afrika ambao watakuwa wakishirikiana na Russia kiuchumi na...
  2. JamiiForums Tanzania Libya Mafuta Lita 1 Tsh. 78 tu, Ndio Nchi yenye Bei ndogo ya Mafuta Afrika, licha ya hali mbaya ya Usalama

    Wakati Watanzania wakipambana na Bei kubwa za Mafuta yenye Wastani wa Bei kati ya 3,000 hadi 3,500 kwa Lita moja, Nchi ya Libya licha ya kuwa na changamoto za Kiusalama bado ndio Nchi yenye bei ndogo ya Mafuta Afrika na ya 3 Duniani. Kwa upande wa Afrika Mashariki, Nchi ya Jamhuri ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Lindi Mjini aungana na wadau kuishauri Afrika kuwekeza katika utafiti mbegu asili

    NCHI za Afrika zimeshauriwa kuwekeza katika utafiti wa mbegu asili kwa kuwa zina lishe bora, uhakika wa chakula na salama kwa afya ya mtumiaji. Ushauri huo umetolewa na wadau mbegu asili kutoka nchi 25 za Bara la Afrika, Marekani na Ulaya ambao wanakutana jijini Dar es Salaam kwa siku tatu...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Bara la Afrika linaongoza kwa mapinduzi ya kijeshi duniani

    Bara la Afrika lilishuhudia ongezeko kubwa la mapinduzi katika mwaka mmoja na nusu uliopita, huku takwimu za kijeshi zikichukua nchi za Burkina Faso, Sudan, Guinea, Chad na Mali. Baada ya mapinduzi ya Sudan mwezi Oktoba 2021, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres alizungumzia "janga"...
  5. JamiiForums Tanzania Mtanzania kutoka Ukraine anaweza kurejeshwa barani Afrika, mahakama inasema

    Majaji wa mahakama ya chini wameamua kwamba baraza la mawaziri linaweza kuamuru mwanamume kutoka Tanzania, aliyefika Uholanzi akiwa na wakimbizi kutoka Ukraini, arejeshwe katika nchi yake. Serikali imewaambia raia wote wa nchi ya tatu waliokuwa wakiishi Ukraine lazima waondoke nchini humo...
  6. P

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Unaweza kupunguza Makali ya UKIMWI kwa kubadilisha damu

    Wakuu mko vyede? Kuna kipindi fulani hili suala lilizuka sana kuwa wanaoishi na HIV hasa matajiri walikuwa wanaenda South Afrika kubadilisha damu ili kupunguza makali ya ugonjwa huo. Hii ilikuwa kweli? Maana mpaka leo naamini walikuwa wanafanya hivyo, ila swali likaja wanabadilishaje...
  7. JamiiForums Tanzania Afrika katika uasi: Je, ukombozi wa pili dhidi ya ukoloni uko kwenye upeo wa macho?

    Baada ya msururu wa mapinduzi, nchi moja baada ya nyingine zinasonga mbele kufukuza mabaki ya madola ya zamani Africa ni chimbuko la ustaarabu wa binadamu na bara tajiri zaidi katika sayari zote upande wa suala la maliasili. Lakini kulingana na Kapteni Ibrahim Traore, rais wa Burkina Faso...
  8. JamiiForums Tanzania Pamoja na hatua nzuri, Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara inahitaji kuziba kabisa Pengo la Kijinsia

    Kufikia usawa wa kijinsia ni lengo muhimu katika maeneo yote duniani kutokana na athari zake chanya kwa jamii, uchumi, na maendeleo kwa ujumla. Usawa wa kijinsia unahusu kutoa fursa sawa na haki kwa watu wa jinsia zote, bila kujali jinsia yao, ili waweze kushiriki kikamilifu katika shughuli za...
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni awajibu Benki ya Dunia: Tutaendelea hata bila Mikopo yenu"

    Rais Yoweri Museveni ametoa kauli hiyo baada ya WB kutangaza kusitisha Ufadhili na Mikopo yote mipya iliyoombwa na Serikali kutokana na Nchi hiyo kupitisha Sheria inayozuia Mapenzi ya Jinsia moja. Museveni amesema "Inasikitisha kuona Benki ya Dunia na wahusika wengine wanathubutu kutulazimisha...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mchango uliotolewa na pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia mmoja” kwa Afrika waendana na wakati

    Katika siku za karibuni Kituo cha mambo ya fedha na maendeleo kwenye sekta zisizosababisha uchafuzi (Green Finance & Development Center) katika chuo Kikuu cha Fudan mjini Shanghai, kilitangaza kuwa thamani ya uwekezaji wa China kwenye miradi ya kupitia pendekezo la “Ukanda mmoja, Njia Moja”...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Afrika ni Bara lililobarikiwa utajiri wa raslimali za kila aina, likalaaniwa viongozi wake

    Afrika ni bara tajiri sana duniani. Lina rasilimali za kila aina kuanzia ardhi nzuri inayofaa kulima mazao ya kila aina, maji, hali nzuri ya hewa, uoto wa asili ikiwemo misitu, madini, mafuta, gesi n.k. Viwanda vingi duniani vinaendeshwa na raw-materials toka Afrika. Cha kustaajabisha, nchi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kwa Marekani kutimiza lengo la kuongeza biashara na Afrika kwa kuilenga China

    Katika siku za karibuni Marekani imekuwa ikiendelea na juhudi zake za kukabiliana na kile inachoita ushawishi wa China barani Afrika, na kutafuta kila njia inayoona kuwa inaweza kusaidia kufanikisha lengo hilo. Hivi karibuni moja kati ya mambo ambayo Marekani imekuwa ikiyataja na kuhimiza kwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu wa ikolojia wa China ni mfano wa kuigwa wa maendeleo ya kijani barani Afrika

    China, ikiwa ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, ustaarabu wake wa ikolojia una mifano mingi ya kuigwa na nchi za Afrika na nchi nyingine zinazoendelea duniani, hususan zile za Kusini. Ustaarabu huu wa ikolojia wa China unaweza kutendeka, una faida, na ni endelevu katika kuleta usasa...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa ajili ya safari ya kitalii Afrika

    Tafadhali naomba mchango wako wa mawazo! Nimekuwa nikitamani sana kuzitembelea baadhi ya nchi za Afrika ambazo bado sijafika. Ninatarajia kutimiza sehemu ya hiyo hiyo ndoto hapo baadaye mwaka huu. Ninatarajia kutembelea alau nchi nne, kama bajeti itaruhusu, nazo ni AFRIKA KUSINI, BOTSWANA...
  15. JamiiForums Tanzania Usemi uliovuma wa "China ni rafiki wa nchi za Afrika" ulipotelea wapi?

    Nakumbuka kuna kipindi hapo miaka si mingi iliyopita watu wengi walikuwa wanaisifia China ndio rafiki wa dhati wa nchi za Africa. Mara ikawa kimya hasifiwi tena, ningependa kujua nini kilisababisha
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kama wananchi na viongozi walifundishwa binadamu alikuwa SOKWE na hawajawahi kulaani huu ushetani wataweza kulinda rasilimali zetu Afrika?

    Kama viongozi wameshindwa kuondoa somo la Historia linalopotosha ukweli wa asili ya binadamu wanaweza kutetea rasilimali zetu? Kama viongozi wetu wanaamini Afrika haiwezi kuendelea bila wazungu na kwao mzungu yoyote ni tajiri na mtu mwema; wataweza kulinda rasilimali zetu mbele ya wazungu...
  17. JamiiForums Tanzania Uhaba wa Mafuta na Dola, nashauri Rais atumie fursa ya Mkutano wa Afrika na Urusi

    Nafikiri tumshauri Rais Samia afanye uamuzi mgumu kunusuru uchumi wa nchi kwa mgogoro huu wa mafuta nchini. Tarehe 27/28 July 2023 nchi za Afrika 49 kati ya 54 zinazotambuliwa na Umoja wa Mataifa zilishiriki Mkutano wa Afrika na Urusi mjini St. Petersburg nchini Urusi na mambo Makuu mawili...
  18. JamiiForums Tanzania Afrika Magharibi inamhitaji Dkt. Samia Suluhu Hassan kusuluhisha mgogoro wa Niger na ECOWAS

    Afrika inahitaji amani kuliko vita. Rais wetu, hebu nenda huko Niger kawasuluhishe kabla hawajaanza kuuana. Ninaamini watakusikiliza kwani wewe ndiye rais mwanamke pekee barani Afrika kwa sasa. Ukifanikisha, utajipatia sifa ya pekee kama Rais mwanamke uliyeweza kuepusha maafa na mauaji ya...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Afrika yenye utajiri mwingi inakuwaje bara maskini zaidi duniani?

    Je, Afrika yenye utajiri mwingi, inakuwaje bara maskini zaidi duniani, anauliza Captain Ibrahim Traore Raisi wa mpito wa Burkina faso. Captain Ibrahim Traore ni Raisi wa mpito wa Burkina Faso baada ya kufanya mapinduzi ya kijeshi akiwa na umri wa miaka 35 tu. Rais huyu wa mpito wa Burkina Faso...
  20. JamiiForums Tanzania Vita vya Urusi na NATO kupanuka mpaka Afrika Magharibi nani atashinda?

    Kumekuwepo na fununu za muda mrefu juu ya kuwepo kwa wapiganaji wa kikundi cha Wagner kilichohusishwa na kiongozi wa Urusi,Vladmir Putin.Hii ilikuwa ni kabla hata ya kuanza kwa vita vinavyoendelea sasa baina ya Ukraine na Urusi. Katika kipindi kifupi fununu hizo ziliongezeka baada ya kutokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…