afrika

  1. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa mashabiki wa Afrika Al Ahly kwa Palestina

    Kwa roho na Damu Tunakufidia Palestina (Mashabiki wa Timu ya Al Ahly ya Misri) Watu wenye huruma na utu, ningefurahi sana kuona pia timu zetu zikifanya kama ilivyo kwa al ahly, Allah awajaze kheri hao ndugu zetu waislamu. Nilitamani sana muibuke na ushindi dhidi ya mamelodi, lakini kwa bahati...
  2. L

    JamiiForums Tanzania CIIE yasaidia bidhaa za kilimo za Afrika kuingia katika soko kubwa la China

    Alfajiri na mapema kwa saa za Kenya, wakulima wa maua nchini humo walichuma waridi katika mashamba yao yaliyoko Naivaisha. Kutokana na ndege za moja kwa moja kati ya Kenya na China na njia maalumu ya forodha nchini China kwa bidhaa za Afrika, maua hayo yanaweza kufika mikononi mwa wateja wa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi Afrika, Jijini Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi ya Afrika, Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=SJN3jOLB9G8 === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...
  4. L

    JamiiForums Tanzania CIIE ni jukwaa bora kwa nchi za Afrika zilizojiunga na BRI kuingia kwenye soko la China

    Kutoka mpunga chotara hadi nyasi za juncao, kutoka maeneo ya kielelezo ya kilimo hadi vijiji vya kielelezo vya kuondokana na umaskini... katika miaka ya hivi karibuni, China na Afrika zimeendelea kuimarisha ushirikiano wa kilimo kutokana na msukumo wa mifumo mbalimbali kama vile Pendekezo la...
  5. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kuwaondoa Wanadiplomasia kutoka Israel

    Afrika Kusini inasema utawarejesha nyumbani Wanadiplomasia wake wote kutoka Tel Aviv kufuatia mashambulizi makali yanayofanywa na Israel kuelekea Gaza. Shambulio la bomi lililotokea Novemba 5, 2023 lilikuwa moja ya shambulizi zito zaidi kwa Israel tangu vita baina ya pande hizo ianze mwezi...
  6. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya MTV Msanii Bora Afrika, amgaragaza Burnaboy

    Msanii Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya Msanii Bora kutoka Afrika kwa mara ya 3 katika mashindano ya MTV Europe Music Award 2023 ( MTVEMA2023 ) diamond amewashinda Asake, BurnaBoy   (Nigeria) Libianca (Cameroon) na TylerICU (Dj wa Afrika Kusini). Hongera sana sisi wanaJF tunathamini...
  7. JamiiForums Tanzania Afrika akili za washika madaraka remoti ipo Ulaya

    Viongozi wa afrika kuwa wajinga sijui sababu ni akili ndogo,uvivu wa kufikiri au ubinafsi inafika wakati unashangaa umetawalia miongo kadhaa alafu anayekutawala bado anakuchongea ya kupita stil they are obeying order. Hatuna hata uthubutu wala utajiri hata kwenye lugha yetu licha kupata...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Kagame: Ni Ruksa wa Raia wa Nchi yoyote ya Afrika kuingia Rwanda bila Viza

    Siku chache baada ya Rais William Ruto kutangaza kuwa Kenya itafuta utaratibu unawalazimu Raia wa Nchi zote Afrika kuingia nchini humo kwa kutumia Viza hadi kufikia mwishoni mwaka 2023, Rais Paul Kagame wa Rwanda ametangaza kuwa Raia wa Nchi zote za Afrika hawahitaji tena kuwa na Viza kuingia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sijaona Jeshi Bora kwa sasa Afrika nzima kama letu la JWTZ, pongezi nyingi mno Kwao

    Nimebahatika Kukutana mahala na Wakufunzi Watatu wa Angola, Rwanda na Misri pamoja Wanajeshi wa Afrika Kusini na kwa Mshangao mkubwa wakaniambia MINOCYCLINE kuwa bado kwa sasa hawajaona Jeshi lolote la nchi za Bara la Afrika ( zikiwemo zao Wanazotoka ) lenye Ubavu wa Kupambana na Jeshi la...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa uwekezaji kati ya China na Afrika ni wa kunufaishana

    “Ripoti ya Mwaka 2023 ya Uwekezaji wa Kampuni za China barani Afrika” imetolewa hivi karibuni. Katika miaka ya hivi karibuni, uwekezaji wa China barani Afrika umeongezeka kwa mfululizo, na mafanikio ya ushirikiano wa uwekezaji kati ya pande hizo mbili yamezidi kudhihirika. Ripoti hiyo...
  11. T

    JamiiForums Tanzania DP World nchini Tanzania: Kampuni ya UAE kuchukua bandari za Afrika

    DP World nchini Tanzania: Kampuni ya UAE kuchukua bandari za Afrika CHANZO CHA PICHA,AFP Maelezo kuhusu taarifa Author,Na Beverly Ochieng Nafasi,BBC Monitoring, Nairobi 24 Oktoba 2023 Mkataba wa mamilioni ya dola uliotiwa saini kati ya kampuni kubwa ya baharini ya Emirati DP World na Tanzania...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Korea ya Kaskazini Yafunga Balozi Zake za Nje Katika Nchi Kadhaa

    01 November 2023 Seoul, South Korea Korea ya Kaskazini yafunga balozi zake kadhaa ikiwemo ya nchini Spain, Angola na Uganda. Hii ni kufuatia hali mbaya ya kifedha kufuatia vikwanzo vya kiuchumi ambavyo vimeikaba nchi hiyo ikiyokaidi kufunga mradi wake wa kuwa na silaha kali za nuclear, ambapo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Huko dunia ya Ulaya kuna jambo gani kuhusu Afrika?

    Mfalme Charles wa Uingereza Kaingia Kenya Kwa ziara ambayo ilijulikana kabla. Lakini tukasikia na Rais wa Ujerumani naye Kaingia Tanzania kwa ziara ya kikazi. Kule Kenya Mfalme huyo amejutia yale yaliyowasibu wakenya wakati wa Kupigania uhuru wao na huku Tanzania tunaambiwa Rais huyo...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga ni Klabu Bora Afrika kwa Mwaka 2022/2023 ndio maana imeingia kwenye Tuzo za CAF!

    CAF wanathibitisha ubora wa Yanga kivitendo ndio maana wameiteua kuingia kwenye tuzo zao za kuchagua Timu Bora barani Africa kwa mwaka 2023. Yanga ni timu pekee kwa Ukanda wa Africa Mashariki iliyoingia kugombania tuzo hizo! Yanga hawakuingia kwa bahati mbaya bali wamebebwa kwa mafanikio yao...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani yatangaza kuzifuta Uganda, Afrika ya Kati, Gabon na Niger kwenye Mpango wa Biashara na Afrika (AGOA)

    Rais Joe Biden amesema Nchi hizo zitaondolewa katika Mpango wa Ukuaji na Fursa Afrika (AGOA) ulioanzishwa mwaka 2000 kutokana na ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu pamoja na Kutopiga Hatua za kuelekea katika Utawala wa Kidemokrasia. Biden amesema "Licha ya majadiliano makubwa kati ya Marekani...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la“Ukanda Mmoja, Njia Moja” ni chachu ya maendeleo ya nchi za Afrika

    Mwaka 2023 utakuwa muhimu sana kwa nchi zinazojali ushirikiano wa kimataifa, na mwaka huu utaandikwa katika vitabu vya historia kwasababu nchi zote duniani zilizojiunga na Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” (BRI) lililotolewa na rais Xi Jinping wa China zinaadhimisha kumbukumbu ya miaka kumi...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Tanzania ya 4 kwa usalama wa anga Afrika

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania imefanikiwa kushika nafasi ya nne barani Afrika kwenye masuala ya usalama wa anga kwa kupata alama 86.7 ikitanguliwa na Nigeria, Kenya na Ivory Coast katika ukaguzi uliofanyika Mei, 2023. “Kwenye ukaguzi mwingine wa uwezo wa nchi kiusalama uliofanywa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nimempigia kura Yeriko Nyerere kuwa mwandishi bora wa vitabu Afrika; wewe unasubiri nini?

    Mzee wa ujasusi napenda kukinukisha kwamba pamoja na tofauti za itikadi baina yetu wawili ila natambua uwezo wako mkubwa wa kusoma na kuandika. Unastahili tuzo hata kama ukikosa basi tambua wewe ni mshindi. Niwaombe watanzania wenzangu tumpigie kura ndugu yetu may be akipata tuzo ataachana na...
  19. JamiiForums Tanzania Timu 5 kubwa Afrika zinazodhaminiwa jezi na makampuni makubwa

    AL AHLY (ADIDAS) Wanadhaminiwa na kampuni ya kijerumani iitwayo ADIDAS ikumbukwe kuwa Adidas pia wanadhamini FC BAYERN MUNICH, FC SCHALKE 04, MAN UNITED, ARSENAL, LEICESTER CITY, JUVENTUS, REAL MADRID na timu KUBWA zingine nyingi WYDAD AC(MACRON) Wanadhaminiwa na kampuni ya kitaliano iitwayo...
  20. JamiiForums Tanzania Wanasimba, Derby ya Afrika ni kati ya Mamelodi Sundowns vs Al Ahly

    Nimeona Wanasimba wengi wakiongozwa na yule mshereheshaji wao wa kule mtandao wa X wakijifariji kuwa wapo kiwango kimoja na Al Ahly. MC wao wa Twitter Ndugu Micky Jr anawapamba kuwa mechi ya Simba vs Al Ahly iwe African Derby, ahaa! Derby ambayo kabla ya mechi unakuwa ushajua nani anashinda na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…