afrika

  1. P

    Waafrika acheni kudandia watu, tengenezeni vya kwenu ili waone fahari kuwa sehemu ya Afrika

    Huyu dogo ameteka mioyo ya watu wengi baada ya kuonesha kiwango kizuri cha kusakata soka. Kama ilivyo kawaida ya Waafrika, Wazimbabwe tayari wameanza kelele nyingi na kumkaribisha team ya taifa na tayari wameshampa uraia 😂😂😂. Mitandaoni huko dogo anatukanwa sana baada ya kusema ukweli kuwa...
  2. K

    Hongera CCM: Umelijenga Taifa imara Kwa vizazi vijavyo

    Leo Tanzania ni Mwalimu katika mambo mengi, inaaminiwa katika mengi na inatambulika Kwa mengi sio tu Afrika bali duniani Kwa ujumla. Licha ya kwamba wanasema Nabii hakubaliki kwao lakini anayeifanya Tanzania kuwa hivi alivyo Leo ni Nabii anayekubalika ndio maana nataka hongera kwake, HONGERA...
  3. Kuongezeka kwa uhalifu wa kifedha na utapeli bara la Afrika

    CHANGAMOTO ZA MAENDELEO BARANI AFRIKA Uhalifu na utapeli ni changamoto zinazokumba jamii duniani kote, na nchi za Kiafrika haziko nyuma katika kukabiliana na matatizo haya. Hata hivyo, tofauti kubwa inajitokeza katika njia ambazo viongozi na watendaji wa Kiafrika wanavyochagua kushughulikia...
  4. Mauaji ya AKA: Washukiwa sita wakamatwa kwa mauaji ya rapper wa Afrika Kusini

    Watu sita wanashikiliwa na Vyombo vya Usalama wakituhumiwa kuhusika na vifo vya Kiernan Forbes maarufu kwa jina la AKA pamoja na rafiki yake, Tebello "Tibz" Motshoane waliopoteza maisha kwa kupigwa risasi nje ya mgahawa Jijini Durban, Februari 10, 2023. Polisi wamesema watuhumiwa walilipwa ili...
  5. Kabla ya kuitwa South Afrika iliitwa Azania

    Azania (Kigiriki cha Kale: Ἀζανία) ni jina ambalo limetumika kwa sehemu mbalimbali za Afrika ya kusini-mashariki ya tropiki .Katika kipindi cha Warumi na pengine hapo awali, jina la juu limekisiwa kuwa lilirejelea sehemu ya pwani ya Kusini-mashariki mwa Afrika inayoenea kutoka kusini mwa Somalia...
  6. L

    Ongezeko la asilimia 5.2 la uchumi wa China kwa mwaka 2023 ni habari njema kwa Afrika na dunia

    Serikali ya China imetangaza kuwa uchumi wa China kwa mwaka 2023 ulikuwa na ongezeko la asilimia 5.2. Habari ambayo wachambuzi wa maswala ya kiuchumi duniani wanaiona kuwa ni habari inayoleta ahueni kwa dunia, hasa ikizingatiwa kuwa hali ya uchumi wa dunia kwa ujumla bado haijatengemaa. Kwenye...
  7. L

    Afrika inanufaika na ujenzi wa China yenye nguvu katika mtandao wa internet

    Tarehe 27, Februari, mwaka 2014, rais Xi Jinping wa China alitoa dira ya "kujenga nchi kuwa na nguvu katika sekta ya mtandao wa internet". Katika muongo mmoja uliopita, China imejizatiti katika utekelezaji wa dira hiyo na kupata mafanikio makubwa, iwe katika upatikanaji wa huduma za internet au...
  8. Marekani yaanza mazoezi yake makubwa zaidi ya kijeshi Afrika Mashariki

    Mazoezi ya kijeshi yanayoongozwa na Marekani kwa jina "Justified Accord" yanaanza nchini Kenya Jumatatu, huku zaidi ya mataifa 20 yakishiriki katika tukio ambalo limetajwa kuwa kubwa zaidi la aina yake katika Afrika Mashariki. Zoezi hilo la siku 11, ambalo litakamilika Alhamisi ijayo, linalenga...
  9. G

    RECORD: Yanga yaweka Rekodi nyingine Afrika

    Young Africans SC imekuwa Klabu ya kwanza Afrika mashariki na kati pamoja na kusini mwa Jangwa la Sahara kufikisha watazamaji Milioni 100 na wafuasi Laki 5.7 kwenye mtandao wa YouTube (YangaTV) #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
  10. Tanzania inahitaji CHADEMA ili iweze kujirejeshea heshima kama taifa huru na imara barani Afrika

    Tanzania kama taifa licha ya ukongwe wake toka tupate uhuru ni dhahiri kwamba mifumo ya utawala imekuwa ikibidi kuwa mibovu kila kukicha. Hii hali imekuwa ikichangiwa sana sana na uchu wa viongozi waliowahi kushika nyadhifa kubwa serikalini kutaka uzao wao urithi nafasi na kufuata nyayo zao...
  11. Tanzania yatajwa kati ya Nchi 4 za Afrika zitakazokuwa na Uchumi mkubwa Duniani ifikapo mwaka 2100

    #UCHUMI: Kwa mujibu wa chapisho la #YahooFinance kutoka katika Ripoti ya 'Economics in The Year 2100', ya Mtando wa #FathomConsulting, Tanzania imetajwa kuwa kati ya Nchi 4 kutoka #Afrika zitakazokuwa katika orodha ya Nchi 25 zenye Uchumi mkubwa duniani ifikapo mwaka 2100. Ripoti hiyo imeonesha...
  12. Ripoti AfDB: Gharama kubwa za maisha zinaweza kuamsha machafuko zaidi Afrika

    UCHUMI: Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) imesema kuendelea kupanda kwa gharama za maisha hasa mahitaji muhimu kama Chakula, Nishati na bidhaa nyingine kunaweza kuibua hasira za Wananchi na kusababisha vurugu katika baadhi ya Mataifa ya Afrika. AfDB imezitaja baadhi ya Nchi zinazopaswa kuchukua...
  13. Tanzania yawa miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri kiuchumi Afrika 2024. Yazipiku Kenya na Uganda

    Nchi 3 za Afrika Mashariki zimetajwa katika orodha hiyo ambapo zitaongozwa na Rwanda inayotarajiwa kupata Ukuaji wa 7.2% ikifuatiwa na Tanzania 6.1% na Uganda itakayokua na Ukuaji wa Uchumia wa 6%. Afrika itachangia uchumi wa nchi kumi na moja kati ya 20 zinazokuwa kwa kasi zaidi duniani...
  14. Afrika Kusini kufanya Uchaguzi Mkuu Mei 29, 2024

    AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa ametangaza tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa Kitaifa na Majimbo na kueleza kuwa utafanyika Mei 29, 2024 ambapo ameitisha Kikao na Wakuu wa Mikoa pamoja na viongozi wa Tume kwaajili ya kujadili utekelezaji wa Uchaguzi. Wachambuzi wa Siasa wameonya kuwa Chama Tawala...
  15. Mtaalamu wa Akili Mnemba (AI) atoa onyo la 'ukoloni wa kidijitali' barani Afrika

    Bwana Ndiaye akizungumza na UN News kuhusu mazingira yajayo, akijenga juu ya uzoefu wake wa kusaidia kukuza mageuzi ya kidijitali nchini Senegal katika elimu ya juu, kutoa huduma kama mtaalam kwa Umoja wa Afrika katika kutunga Mkakati wa Pan-Afriican kuhusu akili mnemba, na kuchangia kwenye...
  16. Vita vya wenyewe kwa wenyewe Afrika ni matokeo ya viongozi waliokosa utu na hekima

    Mmeshindaje wanaJF wenzangu? Tukiangalia kona nyingi ama nchi nyingi za Afrika zipo ndani ya vita vya ndani ambapo wahanga wakuu ni wananchi ambao kila anayepigana anataka kuwwtawala. Riek Machari na Salva Kiir ni mfano wa kuangalia namna ambavyo kiongozi na aliyekuwa makamu wake wanavyoiona...
  17. Hakuna Kocha Aliemdharau Mchezaji kutoka Afrika na mizimu ya Kiafrika ikamuacha salama, TUCHEL waulize Pep na Klopp

    Tuchel anachopitia ni Adhabu kutoka kwa Mizimu ya Mababu wa Sadio Mane na Mizimu ya Kiafrika. Huwez ukaamua ugomvi ule wa SANE na MANE kwa dharau Vile,.. Muulize Klopp alimdharau MANE hakufuzu UEFA yupo huko anapigania kombe na Team kama MACCABI HAIFA Pep Alimdharau YAYA TOURE kahangaika na...
  18. Maombi maalumu kufanywa na raia wa Afrika Kusini kwa ajili ya Israel

    Mungu wa Israel ana nguvu kuzidi hao wengine, sio mara ya kwanza amedhihirisha ukuu wake, kila ambaye hujaribu kuwafuta hufutwa yeye, hili tumelishuhudia juzi, magaidi walioingiwa mzuka wa maelekezo ya 'mungu' wao wa kuifuta Israel wamethubutu, kilichowakuta imebidi wakimbilie kulilia ICJ...
  19. Vyuo Vikuu 2 vya Tanzania ndani ya Top 10 kwa Ubora wa Elimu Kusini mwa Jangwa la Sahara. UDSM haimo

    Ni Vyuo Vikuu maarufu zaidi barani Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara? Vigezo vifuatavyo vya uteuzi: Kukodishwa, kupewa Leseni au Kuidhinishwa na Shirika linalotambulika linalohusiana na Elimu ya Juu katika kila nchi. Kutoa angalau Digrii za miaka mitatu au Digrii za Uzamili au za Udaktari...
  20. Kikosi cha Afrika Kusini kinacholinda amani DRC chapata pigo la kwanza

    Kikosi cha Wanajeshi wa Afrika Kusini kilichopo DR Congo kimepata pigo la kwanza kwa kupoteza Wanajeshi wawili na wengine Watatu kujeruhiwa baada ya bomu kutua katika kambi yao. Kikosi hicho ambacho kilipelekwa DRC, hivi karibuni kusaidia kulinda amani kupitia mgongo wa Jumuiya ya Maendeleo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…