afrika

  1. L

    CHIVAYO Na Mkewe Kuzikwa Kesho. Pichani Haya Ndio Majeneza yaliyobeba Miili Yao. Bara Zima La Afrika Laomboleza Vifo Vyao. Marais Kutua Zimbabwe.

    Ndugu zangu Watanzania, Mfanyabiashara na Tajiri wa Kiafrika Marehemu CHIVAYO na Mkewe wanatarajiwa kuzikwa kesho . Ambapo baada ya ibada wawili hao watazikwa Eneo moja . Ambapo viongozi mbalimbali na Wananchi mbalimbali wameanza na wanaendelea kumiminika katika kumsindikiza Tajiri huyo wa...
  2. I

    MUNGU, SIASA ZA DUNIA NA MKAKATI WA MUDA MREFU: KWA NINI URUSI INAJENGA MAKANISA AFRIKA?

    Urusi inapojenga makanisa Afrika, inaleta dini tu, au pia inajenga ushawishi wa muda mrefu? Swali hili limeanza kupata uzito kutokana na kasi ambayo Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi (ROC) limepanua shughuli zake barani Afrika katika miaka ya hivi karibuni. Desemba 2021, ROC ilianzisha...
  3. B

    Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF) 2026 / The Southern and Eastern African Chief Justices Forum (SEACJF)

    05 October 2026 Unguja, Zanzibar Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF) umeanza leo Zanzibar , Oktoba 5 hadi 9, 2026 . The Southern and Eastern African Chief Justices Forum (SEACJF) Annual General Meeting 2026 Zanzibar Maelezo Muhimu...
  4. Marathon ya petroleum refineries Afrika mashariki na hatma ya Jumuiya yetu..

    Ninawaza kwa sauti, hivi ni kweli kabisa Rais Samia atakuwa hajamnunia Rais Ruto kwa kuchepusha uwekezaji wa refinery kutoka Tanga kwenda Lamu? Nasema hivi kwakuwa mazingira ya namna mradi huu ulipotangazwa kwa mara ya kwanza kuwa utatekelezwa Tanga, ni kama kulikuwa na consensus baina ya...
  5. Tafakari:Hivi hawa waliotuzudi kila kitu wakasema nyie mje kwao alafu wao waje afrika.

    Nasikiliza nyimbo ya DJ yusufu :"maisha mazuri yako mbele kwa mbele". Tumepewa kila kitu afrika lakini tumeishia kuwa maskini
  6. Hadi leo waafrika lukuki wanajiuliza kazi kubwa iliyokuwa inamfanya biggy kukutana na viongozi wa juu afrika ni ipi?

    jamaaa alikuwa muwekezaji kama dangote au alikuwa ni mtu wa tenda na supply za kimataifa?
  7. N

    Uchawi, ushirikina, ulozi, wivu ,roho mbaya nk, ndio sababu ya nchi za afrika kuendelea kuwa masikini.

    Habari wa kuu, kimsingi Kuna vitu vingi vya ajabu sana nchi za Africa hasa ukijiuliza nakutafakari kwa kina, watu wazito kwa kila kitu hasa kifikra na kutambua kusudio la binadamu kuwepo kwenye uso wa dunia, Kwa upande wangu sijawai na sitokuja kuwalaumu watu wanao jazana kwa wanao jiita...
  8. Matajiri wadogo Afrika wanaowika kwa muda mfupi sana wanakufa mapema. Je ni ule uganga wa punje?

    Biggy wa zimbabwe Mme wa zamani wa zari wa uganda Ginimbi wa zimbabwe
  9. TANGA VS LAMU: VITA YA REFINERY NI VITA YA CORRIDOR YA AFRIKA MASHARIKI

    Na: Dr. Zack, Mtaalam wa Masuala ya Uchumi Duniani 01.10.2026 Kuzinduliwa kwa mradi wa Dangote wa US$16 bilioni huko Lamu, Kenya, jana si habari ndogo kwa Afrika Mashariki. Refinery hiyo imepangwa kuwa na uwezo wa kuchakata mapipa 700,000 ya mafuta kwa siku, ikiambatana na mtambo wa umeme wa MW...
  10. Bandari ya Dar es Salaam Kinara Afrika Mashariki Yaipiku Mombasa kwa Ufanisi Duniani!

    Bandari ya Dar es Salaam imefankiwa kuwa kinara Afrika Mashariki ikiipita rasmi Bandari ya Mombasa ya nchini Kenya katika viwango vipya vya ufanisi wa makontena duniani. Kulingana na ripoti mpya ya Benki ya Dunia (Container Port Performance Index), lango hili kuu la bahari la Tanzania limepiga...
  11. Madhara yake ni mfano tosha tu south afrika waliotengeneza makaburu wakati wakiwa madarakani kwa wananchi wake.

    Tunapo kemea na kutaka sheria na haki kufatwa linaonekana jambo la wapinzani na si la wangine. Mambo yanayotengenezwa na kuwa na baraka kama utekaji,ufisadi,uchawa,unyamazishaji,ubabe,kejeli na n.k ndio yalifanywa south afrika ili watawala wabaki kwa njia yoyote japo walitoka. Historia ya...
  12. Afrika na adhabu ya kifo

  13. Silaha ya Kisaikolojia: Jinsi Plato, Nyerere na Brass Bands za Majeshi ya Afrika Zinavyotumia Muziki Kulinda na Kuendesha Dola

    Wakuu, jioni ya leo mtanisamehe kwa kuandika uzi mrefu kidogo, lakini naamini utakuwa na manufaa makubwa kwa wale wanaopenda kufuatilia jinsi mifumo ya madaraka (State Machineries) inavyofanya kazi nyuma ya pazia.Mara nyingi tukifikiria kuhusu "Zana za Kuendesha Dola," vichwa vyetu vinakimbilia...
  14. Unafahamu katikati ya wewe na kitu unachokiona kuna nafasi (space) na nafasi hiyo ikiondolewa hutaona?

    Nafasi iliyopo kati ya unachokiona na na kitu chenyewe ndipo mchezo wa kiumbaji na upotoshaji wote unapofanyikia. Katikati ya maisha yako na matokeo unayoyaona katika maisha yako kuna nafasi. Hali ingekuwaje kama nafasi hiyo isingekuwepo kabisa, yaani wewe na unachokiona mnakuwa mmeshikamana...
  15. Rais Samia aongoza dhamira ya Afrika kutokomeza vifo vya mama na mtoto

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa uongozi wake mahiri katika kusukuma mbele ajenda ya Afrika ya kutokomeza vifo vinavyoweza kuzuilika vya mama na mtoto, huku bara hilo likikabiliwa na karibu asilimia 70 ya vifo vya akina mama duniani na takribani...
  16. Afrika inachekesha sana, mtu anamcheka mwenzake kumuita Yesu mwana wa Mungu alafu yeye anachangisha hela aende akabusu jiwe

    Jitathmini watu weusi Afrika inachekesha sana, mtu anamcheka mwenzake kumuita Yesu mwana wa Mungu alafu yeye anachangisha hela aende akabusu jiwe
  17. Nchi 22 za Afrika zakutana Tanzania kubadilishana uzoefu wa Mtaala unaozingatia umahiri – Prof. Shemdoe

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema nchi 22 za Afrika zimekutana nchini katika Mkutano wa Sita wa Jumuiya ya Taasisi za Mitaala Afrika kwa ajili ya kubadilishana uzoefu kuhusu namna mabadiliko ya mitaala...
  18. Nchi za Afrika bila mapinduzi msitegemee democracy mpaka mwisho wa duniani

    Ukizoea vya kunyonga uwezi vya kuchinja. Hakuna muovu anaweza kunyanyua mikono juu kisha kukubari haki na sheria zitendeke. Ingekuwa mnaweza kupata nafasi hata koridoni na kusikiliza maongezi yao hawa watawala basi mkitoka hapo mtaweza kukubari utawala wa democracy ambao wanajisifu nao. Hata...
  19. Rais Samia kuongoza Ajenda ya Afya ya Uzazi Afrika UNGA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kinara wa Umoja wa Afrika wa Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwaongoza Viongozi wakuu wa nchi Barani Afrika na Wadau wa Maendeleo kujadili na kuhamasisha uwekezaji katika afya ya uzazi, mama, mtoto...
  20. O

    Mwanamke wa Nigeria amsimamisha Rais William Ruto New York, amshukuru kwa hatua zake kwa Afrika

    Rais William Ruto akiwa New York, Marekani, alipata wakati wa kukutana na mwanamke kutoka Nigeria aliyemkaribia na kumshukuru kwa kile alichosema ni mchango wake kwa Afrika. Katika video hiyo, mwanamke huyo anamwambia Ruto, “Your Excellency, we want to thank you…”, huku akieleza shukrani zake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…