afrika

  1. JamiiForums Tanzania Maandamano ya amani! takwimu zinaonyesha yaweza kuishia kwenye machafuko

    Armed Conflict Location & Event Data Project (ACLED) provides that while a majority of the events analysed did not feature contestation by competing sides, roughly 7 per cent involved some sort of interaction. The police or military were deployed in 5 per cent of events, a substantial number at...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Afrika inaunda wakati muhimu mmoja baada ya mwingine wa “Dunia ya Kusini”

    Mkutano wa 19 wa kilele wa Harakati ya Kutofungamana na Upande Wowote NAM umemalizika huku Mkutano wa 3 wa wakuu wa Nchi za Kusini ukitarajiwa kufanyika mjini Kampala, Uganda. Huu ni wakati mwingine muhimu unaomilikiwa na "Nchi ya Kusini" unaotengenezwa na bara la Afrika baada ya Misri na...
  3. JamiiForums Tanzania BBC wamechelewa sana kumchafua T.B Joshua, Afrika imekua sana kiroho

    Documentary iliyoachiliwa na Shirika la habari Duniani (BBC) ikionesha mashahidi wanaoonesha maovu dhidi ya Mtumishi wa Mungu mwendazake T.B Joshua ni ishara tosha kuwa nguvu ya Imani na ukuaji wa kiroho Afrika ni tishio Kwa kikundi fulani cha watu kutekeleza ajenda zao. Ukweli ni kwamba Afrika...
  4. JamiiForums Tanzania Urithi wa Bendi ya Soul Brothers katika Muziki wa Afrika

    Afrika imepata baraka kubwa ya kuwa na wanamuziki wengi, wapo watakaosema kuwa bendi bora ni Ladysmith Black Mambazo, au Mahotella Queens ya dada watatu Hilda Tloubatla, Nobesuthu Mbadu, pamoja na Amanda Nkosi. Au bendi ya Msondo Ngoma kutoka nyumbani Tanzania ya kina Marehemu TX Moshi. Msondo...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na Afrika kwa mwaka 2024 unatarajiwa kuimarika

    Katika kipindi cha miongo miwili iliyopita, China imejenga uhusiano wa kina wa kiuchumi na nchi za Afrika, na kuifanya kuwa mshirika mkubwa zaidi wa biashara wa nchi hizo, na chanzo muhimu cha uwekezaji wa moja kwa moja. Katika kipindi cha miaka miwili hadi minne iliyopita, kutokana na...
  6. JamiiForums Tanzania Waalimu wa South Afrika wanamudu vipi haya majaribu

    Hivi ndo baadhi ya wasichana wa shule za upili wanavyovaa shuleni.
  7. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi AFCON inavyokwenda, sitashangaa underdog team kunyakua taji hilo la Afrika mwaka huu

    Yaani nchi ndogo zimewaonesha wanaojiona miamba ya soka Afrika kuwa hakuna mwamba wa milele wote ni wachumba tu mbele ya underdog (team ndogo zisizo maarufu au kuonekana na uwezo wa soka). Timu kubwa kama Misri, Ghana, Tunisia, Cameroon zimegaragazwa na underdogs kama Namibia, Guinea, Msumbiji...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Mwarabu kafunga njia Red Sea, meli zinazungukia Afrika, watawala wa dunia wamekwama

    Hakatishi mtu. Kwa amri na utekelezaji wa wanamgambo wa Houthi wa Yemen. Nia na madhumuni wamesema ni kuzuia usafirishaji kwenda Israel. Lakini kwa sababu baharini huwa ni vurugu mechi, li meli la Ukraine lina bendera ya Tanzania, wafanyakazi wa Uturuki, waendeshaji wa Ufaransa, na mzigo wa...
  9. JamiiForums Tanzania DAVOS, Switzerland: Rais wa Ukraine Zelensky akutana na kufanya mazungumzo na Rais Kagame wa Rwanda

    Tunaomba utulivu, huyu wakala wa mabeberu yuko na Kagame President Kagame met with President Volodymyr Zelensky and discussed the ongoing situation in Ukraine and efforts to resolve the conflict
  10. JamiiForums Tanzania Uislamu ulifika Afrika na kukubalika vyema kabla ya mji wa Makka (Saudia)

    Katika mwezi Mei 614 CE, Muhammad (s.a.w) aliwashauri idadi fulani ya wanafunzi wake wa kwanza, waliokuwa wakikabiliwa na mateso kutoka kwa wakaaji washirikina wa Mji wa Makka (Saudia), kutafuta kimbilio ng'ambo ya Bahari Nyekundu huko Axum. Katika utamaduni wa Kiislamu, tukio hili...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa aina hii ya uwekezaji kamwe Afrika haitasonga mbele

    Leo mtandaoni nimeona kumepostiwa picha za jengo jipya la kimataifa la kuabudia (International worship centre) huko jimbo la Ikwa Ibom, Nigeria. Ni jengo linalotajwa kugharimu zaidi ya naira bilioni 20. Kwangu mimi huu ni uwendawazimu. Afrika inahitaji viwanda, vyuo vya ufundi, hospitali na...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa hili la red sea nchi zote za afrika tunatakiwa kuungana na UK, USA, kuichakaza Yemen. Afrika ndio muathirika mkuu wa ufedhuli huu!

    Naipongeza sana uk,na usa ,kwa uamuzi sahihi wa kuidhibu Yemen kwa sababu ya upuuzi wanaoufanya red sea ! Yemen inaweza kuwa imejificha nyuma ya hili kundi la houth! Yemen ndio imetoa baraka zote kwa hili kundi la kigaidi kuzuia misafara ya meli zenye bidhaa mbalimbali kutoka ulaya kuja afrika...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania ni kati ya Nchi 25 za Afrika zilizopoteza takriban Tsh. Trilioni 22.6 kwa kuzima Mitandao

    RIPOTI: Nchi za Tanzania, Kenya, Sudan na Ethiopia zimetajwa katika Nchi 25 ambazo zilipoteza jumla ya Tsh. Trilioni 22.6 kutokana na kuzimwa kwa Mitandao ya Kijamii na Intaneti kulikodumu kwa zaidi ya Saa 79,238 mwaka 2023. NetBlocks imeripoti kuwa Kenya pekee ilipoteza takriban Tsh. Bilioni...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Wang Yi barani Afrika italeta uhakika katika dunia inayojaa sintofahamu

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi anatarajiwa kufanya ziara katika nchi za Misri, Tunisia, Togo na Cote d'Ivoire kuanzia tarehe 13 hadi 18 mwezi huu. Huu ni mwaka wa 34 mfululizo kwa waziri wa mambo ya nje wa China kufanya ziara barani Afrika kila mwanzoni mwa mwaka mpya. Mwaka 2023...
  15. JamiiForums Tanzania Makampuni ya China yasaidia Afrika kuendeleza uchumi wa kidijitali

    Katika msimu uliopita wa ununuzi wa Krismasi na mwaka mpya, Kilimall imekuwa jukwaa la biashara la mtandaoni linalopendedwa zaidi na wateja wengi nchini Kenya, kutokana na bidhaa zake bora na zenye bei nafuu, pamoja na huduma nzuri ya kupeleka vifurushi. Kilimall iliyoanzishwa na mfanyabiashara...
  16. JamiiForums Tanzania LIVE: Kusikizwa kwa kesi ya mauaji ya halaiki iliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya Israel

    Wanaukumbi. https://x.com/qudsnen/status/1745379031334437068?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw 🇿🇦🇮🇱 KESI YA ICJ - NCHI ZINAZOUNGA MKONO KUWAFIKISHA ISRAEL Leo, Afrika Kusini inawasilisha madai ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika mahakama ya ICJ. Inasaidia...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kwenye mabadiliko ya tabia nchi kuzinufaisha nchi za Afrika kwenye pande mbalimbali

    Mwishoni mwa mwezi Desemba Balozi wa China nchini Botswana Bwana Wang Xue aliikabidhi Botswana kituo cha utabiri wa hali ya hewa kinachohamishika. Huu ni moja ya misaada inayotolewa na China kwa nchi za Afrika kwenye eneo la mabadiliko ya tabia nchi, msaada ambao kwa sasa unaonekana kuwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Tunisia nchi tajiri Afrika, hairuhusu hijab, kwanini?

    Tunisia ni nchi iliyoendelea zaidi Afrika in terms of economic competivenes, na kama hilo halitoshi Tunisia ni majority waislamu hivyo unaweza hata kuuita an islamic republic kama uwingi wa waislamu ni kigezo but there is a catch, Tunisia hairuhusu wanawake kuvaa hijab shuleni, ofisini au sehemu...
  19. JamiiForums Tanzania Ukuaji wa pato la ndani unaotazamiwa kutokea kwa nchi za Afrika Mwaka 2024, Tanzania yashika nafsi ya tatu

    On one side of the coin, the depreciation of African currencies against major currencies, particularly the US dollar, turned into a major headache affecting trade balances, inflation rates, and what people could buy with their money. Countries like Nigeria, Kenya, and Zambia saw their currencies...
  20. JamiiForums Tanzania James Kabarebe anaaminiwa na Kagame na anatajwa kuwa mrithi wake

    Ni Kamanda la vita mda wote ambaye kwa jina ni James Kabarebe. Kwa msiofahamu, bwana James ndiye Kamanda aliyepata kuhudumu akiwa CDF wa Nchi mbili tofauti ambazo ni Congo na Rwanda. Kabarebe, ni mtu anayeaminiwa mno na Rais wa Rwanda na anatajwa ndiye mrithi wa baadae wa Paul Kagame bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…