afrika

  1. JamiiForums Tanzania Nchi zilizohalalisha ushoga Afrika: Historia na takwimu za maktaba

    Takwimu za Human Rights Watch zinaonesha kuwa, nchi 23 katika bara la Afrika zimehalalisha ushoga. Baadhi kati ya hizo, ushoga haukuwahi kuwa kosa la jinai tokea mwanzo. Mwaka 1998, South Africa ndiyo iliyokuwa nchi ya kwanza kuhalalisha ushoga barani Afrika kupitia Kesi ya Kikatiba Nambari 8...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania ya 5 kwa wingi wa watu Afrika

    Countries In Africa By Population: 1. Nigeria 🇳🇬 223,804,632 2. Ethiopia 🇪🇹 126,527,060 3. Egypt 🇪🇬 112,716,598 4. Democratic Republic of Congo 🇨🇩 102,262,808 5. Tanzania 🇹🇿 67,438,106 6. South Africa 🇿🇦 60,414,495 7. Kenya 🇰🇪 55,100,586 8. Sudan 🇸🇩 48,109,006 9. Uganda 🇺🇬...
  3. JamiiForums Tanzania Majeshi yangu bora ya Afrika 2024

    Ni kazi kubwa sana kupima uwezo wa kijeshi wa nchi, kuna vigezo vingi hutumika na pengine kwa malengo tofauti. Kuna vyanzo ranking huzingatia namba kwamba idadi ya zana na wanajeshi, hii ni rahisi kufanya na hutumiwa pale mtu asipotaka mambo mengi ila sio sahihi. Hakuna ranking inayoweza kutoa...
  4. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yalalamika kwamba Israel haijatekeleza hukumu ya ICJ

    Waziri mkuu wa Afrika Kusini ametoa angalizo kuwa Israel inaendelea kupingana na hukumu iliyotolewa na mahakama ya kimataifa juu ya jinai za kivita iliyotolewa hivi karibuni. Katika maelezo yake waziri huyo, Naledi Pandor amesema katika siku chache tu tangu hukumu hiyo itolewe Israel imeendelea...
  5. JamiiForums Tanzania Sales Manager – Explorer at Elewana Afrika (T) Ltd January, 2024

    Role: Sales Manager – Explorer Department: Central Sales & Reservations Office (CSRO) Reporting to: Business Development Manager – Regional DMC’s & Agents (BDM) Key Responsibilities: Sales Strategy Development & Delivery: Expand the reach of Explorer Brand and ensure there is a solid and deep...
  6. JamiiForums Tanzania Tazama kiwango cha Madeni ya Nchi za Afrika Mashariki kilichokopwa IMF

    Kwa mujibu wa taarifa za Manunuzi na Mikopo ambayo haijalipwa (OPL) kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), hadi kufikia Desemba 2023, Nchi 8 za Afrika Mashariki zilikuwa na Deni la Tsh. 16,805,982,380,014 kutoka kwa Mkopeshaji huyo (IMF). Kenya imetajwa kuwa na Deni kubwa zaidi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Waafrika ni wamoja ushahidi majina ya wachezaji wa Afrika magharibi AFCON

    Nilianza kumsikia Ibrahim Bakayoko akiwa mchezaji wa Ivory Coast akitamba Ulaya miaka kama 18 iliyopita. Nikamsikia Camara akitamba pale Liverpool miaka zaidi ya 22 iliyopita, alikuwa akirudi afrika anachezea timu ya Taifa ya Guinea. Nikamsikia Souleymane Sane akichezea Ivory Coast miaka 30...
  8. JamiiForums Tanzania CPI Ripori: Tanzania ni kati ya Nchi zenye kiwango kidogo cha Rushwa Afrika, unakubaliana na hilo?

    Ripoti ya Mtazamo Kuhusu Rushwa ya 2023 (CPI) imeonesha Rushwa na Ufisadi unazidi kushamiri ambapo Theluthi 2 ya Nchi zimepata alama chini ya ya 50 kati ya 100, hali inayodhihirisha kuwa bado zina matatizo makubwa ya Rushwa. Pia, Ripoti hiyo imeitaja Tanzania kwenye nafasi ya 13 katika Nchi...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania standard za kuitwa genius au akili kubwa ziko chini sana

    Tanzania ni moja ya nchi mtu anaweza fanya jambo la kawaida sana akaitwa genius au akili kubwa Mtu anaweza copy kitu wikipedia au kitabu chochote alafu akaongeza ongeza na kingereza chenye misamiati isiyokua na formula basi akaitwa genius Tanzania na afrika kwa ujumla standard zetu za mambo...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania yachaguliwa kuwa moja ya nchi 8 za Afrika zitakazopewa kipaumbele kupitia mpango mpya wa Mattei Plan

    Tanzania imechaguliwa kuwa moja ya nchi nane za Afrika zitakazopewa kipaumbele na Italia kupitia mpango mpya wa kimkakati wa Mattei (Mattei Plan) ambapo kiasi cha Euro bilioni 5 za awali kimetengwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi hiyo. Miradi hiyo ya kipaumbele kupitia Mpango mpya wa...
  11. JamiiForums Tanzania Ligi bora Afrika msimu wa 2023/2024

    Hii hapa chini ni orodha ya ligi 10 bora barani Afrika kwa mwaka 2023/2024. Tanzania imeshika nafasi ya 7. 1. Moroccan Botola Pro 2. Egyptian Premier League 3. Algerian Ligue 1 4. South African PSL 5. Tunisian Ligue 1 6. DR Congo’s Linafoot 7. Tanzanian Premier League 8. Angola’s Girabola 9...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Marais wa Afrika kufanya Promotions za Birthday Parties zao Redioni na Runingani huku nchi zao zikiwa ni Maskini na Wananchi wao?

    Nasisitiza tena hapa nawaongelea Marais wote tu wa Afrika, sasa Wewe jitutumue kuja Kukurupuka namsema wako nikupe ulichokuwa ukikitafuta kwa huko Kuwashwawashwa Kwako.
  13. M

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Mahakama ya ICJ yaitaka Israel kuepusha Mauaji ya Raia katika eneo la Gaza

    Kwa wale ambao wana nafasi leo ndiyo siku ya hukumu ya kesi ambayo Afrika ya kusini ilifungua kuishitaki Israel katika mahakama ya kimataifa kuwa inafanya Genocide huko Gaza. kwa wale walio katika mitandao, muda wa hukumu unakaribia , siyo vibaya kuifuatilia hukumu hii LIVE ili kujua argument...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Sarafu mbadala zahitajika barani Afrika

    Mwanzoni mwa mwaka huu benki ya Tanzania BOT ilitangaza kuwa itachukua hatua mbalimbali ili kutatua suala la uhaba wa dola ya Marekani uliotokana na upungufu wa sarafu hiyo kwenye akiba ya taifa. Uhaba huo umekuwa changamoto kwa biashara ya kimataifa kwa Tanzania, na kuifanya Tanzania ionje...
  15. JamiiForums Tanzania Lulu ya muziki wa Afrika imelala usingizi mzito

    Wengi tunamfahamu kama Zahara ila majina yake ni Bulelwa Mkutukana, alikuwa ni mwimbaji wa nyimbo kutoka Afrika Kusini, mtunzi wa nyimbo, na mpiga gita mzuri sana. Katika Kijiji cha Phumlani, alizaliwa Novemba 9, 1987, mtoto wa kike, ni katika jimbo la Eastern Cape nchini Afrika Kusini, huyu ni...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinaendelea kuunga mkono sera ya kuwepo kwa China moja

    Kwa muda mrefu sasa jumuiya ya kimataifa imeendelea hatua kwa hatua kuitambua sera ya kuwepo kwa China moja kama ilivyo kwenye sheria ya kimataifa, sera inayosema kuwa kuna China moja tu duniani, na Taiwan ni sehemu isiyotengeka ya China. Nchi mbalimbali duniani ambazo kwa sababu moja au...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Bw. Wang Yi barani Afrika na Latin Amerika yaonesha kuwa China inaendelea kupanua ushirikiano wa kunufaishana duniani

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bwana Wang Yi, amemaliza ziara ya kidiplomasia ya mwaka huu kwa kuzitembelea Misri, Tunisia, Togo na Cote d'Ivoire, ikiwa ni sehemu ya desturi ya zaidi ya miongo mitatu kwa waziri wa mambo ya nje wa China kufanya ziara ya kwanza barani Afrika. Lakini safari hii...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Wang Yi barani Afrika na Amerika ya Kusini yaonyesha uhusiano wa kirafiki wa China na nchi nyingine za Kusini

    Hivi karibuni, Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, alifanya ziara barani Afrika na Amerika ya Kusini, ikiwa ni ziara yake ya kwanza nje ya nchi kwa mwaka 2024. Imekuwa ni desturi kwa Waziri wa Mambo ya Nje ya China kufanya ziara yake ya kwanza ya mwaka mpya katika bara la Afrika, desturi...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Mataifa kumi yenye nguvu nyingi za kijeshi katika Afrika

    Ifuatayo ni orodha ya mataifa 10 zenye nguvu nyingi za kijeshi katika Afrika. --- The military stands as one of the most relevant institutions in the world, serving as a foundation for security and stability at the global, regional, and national levels. A recent index by Global Firepower's...
  20. JamiiForums Tanzania Orodha mpya Mabilionea Afrika 2024

    Forbes imetangaza orodha mpya ya Mabilionea wa Afrika kwa mwaka 2024, ambapo mabilionea 20 kwenye orodha hiyo wanakadiriwa kuwa na utajiri wa jumla ya dola bilioni 82.4. Hii ni ongezeko la dola milioni 900 ikilinganishwa na mwaka uliopita. Hii ndio orodha mpya ya Mabilionea wa Afrika; 1. Aliko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…