afrika

  1. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kwanza wa Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao Kusini mwa Afrika Wafanyika Tanzania

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa ujio wa Mkutano wa Jukwaa la Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao kwa Nchi za Kusini mwa Afrika unadhihirisha namna Tanzania chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia ilivyokuwa na mahusiano mazuri ambayo yamefungua milango...
  2. E

    JamiiForums Tanzania TBC mmedanganya. Nyerere hakuwa wa kwanza Afrika kustaafu kwa hiari

    MHESHIMIWA Léopold Sédar Senghor Rais kwa kwanza wa Senegal Alistaafu kwa hiari December 1980 MHESHIMIWA Ahmadou Babatoura Ahidjo Rais wa kwanza wa Cameroon Alistaafu kwa hiari November 1982
  3. JamiiForums Tanzania Vijana hawa Wakiafrika wametengeneza video kuonesha mnyororo wa upigaji wa pesa za miradi Afrika. Its funny but depressing 🤣😠

    https://youtube.com/shorts/5lm6tYWIaAk?si=ljz2wml3yqs92TuF
  4. JamiiForums Tanzania Busara za Mwalimu Nyerere katika kudumisha na kulinda umoja wa Afrika

    Januari 1976,huko Ethiopia,Addis Ababa, mkutano maalumu wa wakuu wa nchi za OAU uliitishwa Ili kupata suluhu ya mgogoro mzito na wa kutisha uliotaka kuligawa bara la Afrika vipande vipande. Mgogoro huo ulikuwa baina ya nchi zilizokuwa zinaiunga mkono serikali ya MPLA chini ya Antonio Agostino...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Afrika inaonesha hekima na uamuzi bora zaidi kuhusu magari ya umeme ya China

    Hivi majuzi, Klabu ya Magari ya Ujerumani ADAC ilitoa ripoti ya utafiti ikionyesha kuwa karibu 60% ya watu waliohojiwa wa Ujerumani wanafikiria kununua magari ya chapa ya China, huku asilimia 72 ya watu wenye umri wa miaka 18 hadi 39 wakipendelea magari hayo. Kuhusu magari ya umeme, asilimia 80%...
  6. JamiiForums Tanzania Waafrika tujitambue kwenye hizi dini Uislam na Ukristo

    Waafrika dini zetu kuu ni 2, Uislam na Ukristo. Japo dini mbili hizi zinatofautiana ila misingi yake mikuu ni kuleta amani na upendo baina ya watu na si vingine. So kimsingi mifumo yetu ya kiibada ni tofauti ila sababu ya ibada zetu ni kumjua Mungu na kuhubiri amani na upendo baina yetu sisi...
  7. JamiiForums Tanzania Understanding Africa’s Position in Global Diplomacy and Economics

    1/ 🧵 African leaders often engage in high-level diplomacy with global powers like China, receiving symbolic honors such as 21-gun salutes. These ceremonies are important for fostering mutual respect, but behind the pageantry, the economic disparities are stark. 2/ 💡 For example, Tanzania’s GDP...
  8. JamiiForums Tanzania Mwaka 2022, Nchi 10 tu Afrika ikiwemo Tanzania zilipokea 46.4% ya Misaada yote ya Maendeleo kutoka nchi 24 za nje

    Ripoti ya Taasisi ya Mo Ibrahim Foundation (MIF) imeonesha kwa kipindi cha mwaka 2022, nchi 10 tu za Afrika zilipokea karibu nusu ya Misaada yote ya Kimaendeleo kutoka kwa Wafadhili wa Nje iliyokadiriwa kufikia zaidi ya Tsh. Trilioni 103.34. Aidha, kwa mujibu wa takwimu za Shirika la...
  9. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika ni washirika wanaohitajiana na sio wa kunyonyana kama zilivyofanya nchi za magharibi

    China na nchi za Afrika zinaendelea kufurahia ushirikiano na urafiki wao wa kudumu ambao uliwekewa jiwe la msingi na mwasisi wa China Mwenyekiti Mao Zedong na viongozi wengine waasisi wa Afrika. Katika kipindi chote cha zaidi ya miongo sita China na Afrika siku zote zimekuwa zikiheshimiana...
  10. JamiiForums Tanzania Kati ya Hersi kuwa Rais wa vilabu Afrika na Simba kuwa Pot 1, lipi ni jambo la heshima Kwa Mpira wa Tanzania?

    Kama sielewi hivi watu wa Mpira wanapoona Simba kuwa Pot 1 ni jambo dogo kuliko Rais wa Yanga Hersi Saidi kuwa Mwenyekiti wa vilabu Afrika. Hivi kati ya hayo mambo mawili ni lipi watanzania wanatakiwa kujivuna nalo???
  11. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz aweka rekodi, awa msanii wa kwanza Afrika Mashariki kuwania Tuzo za MTV Europe Music Awards kwa Mihula Mitano

    Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amekuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kuchaguliwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards kwa mihula mitano, akiwania vipengele sita, ikiwa ni pamoja na Best African Act mara tano na Best Worldwide Act mara moja. Katika mihula minne...
  12. JamiiForums Tanzania Rais wa Ethiopia aondolewa, Samia abakia Rais Pekee Mwanamke Afrika

    Aliyekuwa Rais wa Ethipia Sahle-Work Zewde (kushoto) na Rais mpya wa nchi hiyo Taye Atske Selassie (kulia) Taye Atske Selassie, aliyekuwa Waziri wa mambo ya nje tangu Februari, 2024, ameapishwa mbele ya Bunge kuwa Rais wa Nchi hiyo huku mamlaka ya kisiasa ikiwa kww Waziri Mkuu, Abiy Ahmed...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Tanzania itaendelea kuunga mkono juhudi za kuleta amani Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesisitiza kuwa Tanzania itaendelea kuunga mkono juhudi za kurejesha hali ya amani na usalama zinazoendelea kufanywa sehemu mbalimbali barani Afrika ikiwemo Ukanda wa Afrika Magharibi, Pembe ya Afrika na...
  14. JamiiForums Tanzania Kauli ya Ahmed Ally baada ya droo Kombe la Shirikisho Afrika

    Wajue Wapinzani wa Simba SC Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika Katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba SC inakutana na wapinzani wenye historia kubwa katika michuano hii. Wapinzani hao ni CS Sfaxien na CS Constantine. 1. CS Sfaxien: Huyu ni bingwa mara tatu wa Kombe la...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Ni Nchi Tano tu zinatengeneza nusu ya Pato la Taifa la Afrika

    Pato la Taifa la Afrika linafikia dola trilioni 2.8 mwaka 2024, pato la kiuchumi la watu bilioni 1.4. Lakini sio tija yote hiyo inasambazwa kwa usawa. Ramani hii inaangazia nchi tano ambazo pato lao la kiuchumi kwa pamoja ni sawa na lile la bara zima. Data imetolewa kutoka Shirika la Fedha la...
  16. JamiiForums Tanzania Yanga Imekuwa Gumzo Afrika

    Klabu Ya Yanga SC imeendelea kuzungumza kwa namna tofauti katika ushiriki wake wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika. Hii inatokea kwa sababu ya ushindani wake ambao wameuonyesha katika misimu miwili iliyopita. Kesho ndiyo siku ya makundi kufahamu Yanga atapangwa na nani katika hatua ya makundi...
  17. JamiiForums Tanzania Usimamizi Thabiti wa Madini Mkakati Utakuza Uchumi wa Afrika - Waziri Mavunde

    - Awapongeza Rais Samia na Museveni kwa msimamo wa uongezaji thamani madini - Azitaka nchi za Afrika kuwa na mkakati wa pamoja wa uvunaji wa rasilimali Madini - Uganda yavutiwa na maendeleo ya sekta ya madini nchini Tanzania 📍Kampala, Uganda Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amezitaka...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jana tu wananchi walikuwa wanalisema "Rutto Must Go" leo wabunge wanaimba "Gachagua must Go. Kuna haja ya siasa za Afrika kudhibitiwa na dola

    Nathan ni sahihi siasa za gulioni zikadhibitiwa ili zisiathiri usalama na utengamano wa nchi. Ndio maana China, Urusi, Tanzania zina siasa zenye mtangamano. Mambo ya siasa za gulioni (demokrasia iliyopitiliza) yakiruhusiwa, yanaitoa nchi kwenye mstari. Ndio kinachotokea Kenya, wananchi...
  19. JamiiForums Tanzania "Congo syndrome" ugonjwa unaoitesa Afrika

    Pamoja nauwepo maji ya kutosha lakini watuwanakosa maji safi na salama ya kutumia Hivi karibuni, katika Jiji la Nairobi nchini Kenya, ilizinduliwa Taarifa kuhusu Hali ya Mazingira ya Afrika kwa mwaka 2024, ikiangazia zaidi suala la upatikanaji maji salama barani humu. Kikubwa katika uzinduzi...
  20. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mzungu aliwaua wanawake wawili weusi na miili yao kupewa nguruwe waile

    Kisa cha wanawake wawili weusi wanaodaiwa kupigwa risasi na mzungu na miili yao kupewa nguruwe waile kimezua taharuki nchini Afrika Kusini. Maria Makgato, 45, na Lucia Ndlovu, 34, inadaiwa walikuwa wakitafuta chakula katika shamba la mzungu huyo karibu na Polokwane katika jimbo la Limpopo mwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…