afrika

  1. Waziri Masauni ashiriki mkutano wa mawaziri wa Mazingira wa Afrika nchini Armenia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) ameshiriki Mkutano wa Mawaziri kutoka Barani Afrika waliokutana kujadili msimamo wa Afrika na vipaumbele vyake ikiwa ni maandalizi ya mkutano wa ngazi ya juu wa Mkutano wa 17 wa Nchi...
  2. Tanzania Namba 5 Kwa Utawala Bora Afrika Ikitanguliwa na Mauritius,Botswana, Morocco na Rwanda.

    My Take Watakaoumia sana baada ya hii ripoti ni Chadomo na wale Jamaa wa Kanisa la Mitume wa Kirumi 😂😂👇👇 https://www.instagram.com/p/De84fu_gl6I/?dlrf=aTl4bXhodmk0MXdw
  3. M

    Kama Kenya nayo imepoteza sifa ya safe haven, wanaharakati wa kisiasa Afrika Mashariki wakimbilie wapi ? Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC ?

    Kenya ilikuwa ikionekana kama safe haven, kimbilio la wale wanaharakati wa siasa waliotafuta uhuru na usalama nje ya nchi zao matukio yanayohusisha wanaharakati wa kisiasa, akiwemo Kizza Besigye wa Uganda, Maria Sarungi na Twaha Mwaipaya, kukamatwa yameibua hofu kubwa kuhusu usalama wa...
  4. Kwa nini post za nje ikihusisha Tz inapata engagement kubwa kubwa ya wabongo mitandaoni kuliko nchi nyingine za Afrika ?

    Moja kwa moja .. Hili nimefuatilia sana ; 1. Kipindi Samata kajiunga Aston Villa , page ya Aston Villa ilijaa wabongo mpaka na aliponyimwa pasi wabongo walimshambulia sana Grealish 2 . Aziz Ki ; alipojiunga Wydad page ya Wydad waarabu walikimbia walijaa wabongo kupiga stori na kumtaka Admin...
  5. South Korea inazalisha chuma kingi kuliko Afrika ya watu bilioni 1.5!!

    Hii ni sababu moja kubwa ya umasikini wa sisi Waafrika. South Korea ina kama watu milioni 52 lakini inazalisha tani milioni 62 za chuma kila mwaka. Afrika ina watu bilioni 1.6 lakini inazalisha tani milioni 22 tu kwa mwaka. Kati ya hizo, tani milioni kumi zinazalishwa na Misri na tani milioni...
  6. Kafulia usijichetue, India na Wachina Wana watu zaidi ya B Moja, ila wanamiliki Chumi kubwa, Afrika haiendelei sababu ya Viongozi wa ovyo ovyo

    MAREKAN Ina watu zaidi ya Milion 300, na wameendelea . Kafulila usione Haya kusema kua "Afrika tuna uçhumi mdogo licha ya Idadi kubwa ya watu kwa sababu ,Ni Afrika tu ndo Mtu anatafuta Urais kama Sifa, Wizi, Ufisadi
  7. Masandawana waumaliza mwendo Klabu Bingwa Afrika, Simba na Yanga washindwe wao tu

    Bingwa mtetezi wa Klabu Bingwa barani Afrika, Mamelodi Sundowns aka Masandawana ya Afrika ya Kusini wametupwa nje ya michuano hiyo baada ya sare ya 1-1 nyumbani kwake dhidi ya Williete ya Angola. Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Angola, timu hizo zilitoka 0-0. Kwa matokeo ya leo, Masandawana...
  8. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ANG’ARA AFRIKA KWA DIPLOMASIA YA AMANI

    Uwezo wa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika diplomasia na mahusiano ya kimataifa unaifanya Tanzania kuendelea kuwa sehemu muhimu ya juhudi za kukuza amani na mshikamano barani Afrika. Kupitia mazungumzo, ushirikiano na maridhiano, diplomasia inakuwa daraja la kutatua migogoro na kujenga mahusiano...
  9. Operesheni ya Interpol: Zaidi ya Bilioni 280 za kitanzania, za uhalifu wa mtandaoni zanaswa Afrika, washukiwa 1,462 mbaroni, Tanzania imo.

    Shirika la Kimataifa la Polisi wa Jinai (Interpol) limesema kuwa operesheni yake ya hivi karibuni barani Afrika imesababisha kukamatwa kwa watu 1,462 na kupatikana kwa zaidi ya dola milioni 105 za Kimarekani za fedha haramu. Operesheni hio iliyofanywa katika nchi 21, ililenga utapeli wa...
  10. L

    Mwanafunzi wa Afrika atimiza ndoto yake ya kushinda lugha ya Kichina

    Huko Kibera, ambako ni maarufu sana kwa jina la mtaa wa mabanda jijini Nairobi, kukatika umeme ni jambo la kawaida. Miriam Achieng Kenyatta, mwenye umri wa miaka 23, huwa anasoma akitumia taa ndogo na mishumaa. Kwa kuwa hakuwa na uwezo wa kulipia madarasa ya Kichina, alibadilisha nyumba yake...
  11. E

    Masauni: Tanzania yalenga kuwa kitovu cha soko la kaboni Afrika

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, akizungumza wakati akifungua Jukwaa la Soko la Kaboni na Uwekezaji Tanzania 2026, lililofanyika Jijini Dar es Salaam, Oktoba 22, 2026. Dar es Salaam. Tanzania inalenga kuwa kitovu cha biashara ya...
  12. Dkt. Mwigulu: Wakulima wetu wakinufaika, Afrika inastawi

    Asema wingi wa mavuno ulete maisha bora kwa wakulima WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema mafanikio ya mageuzi ya kilimo yanapaswa kupimwa kwa ongezeko la kipato na ustawi wa wakulima na kuangalia zaidi suala la masoko ya uhakika, bei zenye tija na miundombinu ya kuhifadhi na kuchakata...
  13. L

    Viwanda vilivyowekezwa na China vyaongeza ujuzi na uzalishaji barani Afrika

    Wakati Nuhu Peter Changawa alipojiunga na Twyford Tanzania mwaka 2017, alikuwa ni mtaalamu wa ghala mwenye ujuzi mdogo wa usimamizi wa maghala ya kisasa. Hii leo, anasimamia operesheni za ghala katika kiwanda cha kusindika glasi, akipanda cheo kutoka mtaalamu hadi msimamizi na meneja wa ghala...
  14. MAONO YA DKT. SAMIA KUKUZA UCHUMI AFRIKA

    Sekta ya madini yawekewa mkazo katika kukuza uchumi, kupunguza utegemezi wa ufadhili wa utafiti na kuhakikisha matumizi sahihi ya asilimia 10 za mapato ya mauzo kwa maendeleo yenye tija.
  15. Z

    Kosa la Afrika ni Kuamini Kwamba Wanasiasa Watabadilika Waone Aibu Kuiba au Kuuwa Raia

    Viongozi wa TZ walianzisha mauaji yakiongozwa na serikali. Nimesikia tena wapinzani wa Rwanda wanaendelea kuuwawa kishenzi tu! Mauji imekuwa ni kawaida ya Afrika. Afrika tuna tunawapigia kelele wanaoshikilia serikali tukiamini wataona aibu. HAPANA! Hawana aibu na hata wakiondoka madarakani bado...
  16. Malipo ya moja kwa moja kwa RMB kurahisisha Biashara kati ya China na Afrika

    Tangu mwezi Mei mwaka huu, China imetekeleza sera ya ushuru sifuri kwa nchi 53 za Afrika ambazo zina uhusiano wa kibalozi nayo, na kuondoa kabisa kizuizi cha ushuru kwa bidhaa za Afrika zinazoingia katika soko la China. Matokeo ya sera hii yalionekana mara moja. Katika miezi ya Mei na Juni...
  17. Serengeti kuwa kitovu cha utalii wa michezo Afrika, uzinduzi wa uwanja wa gofu Fort Ikoma wafungua fursa mpya za kiuchumi

    Na. Edmund Salaho - FORT IKOMA, SERENGETI Serikali ya Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuimarisha utalii wa michezo nchini kupitia uzinduzi rasmi wa Uwanja wa Golf wa Hifadhi ya Taifa Serengeti, uliopo Fort Ikoma, Wilaya ya Serengeti, mkoani Mara, ikiwa na lengo la kuongeza ushindani wa...
  18. L

    Moyo wa Safari Ndefu haumo China pekee, pia unatoa hamasa kwa nchi za Afrika kujiendeleza kwa uhuru

    Mwaka 2026 ni mwaka wa 105 wa kuzaliwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC, na pia mwaka wa 90 wa ushindi wa Safari Ndefu “Long March”. Safari hii ngumu iliweka msingi wa ushindi wa mapinduzi ya China, na kuacha hazina ya moyo unaovuka mipaka ya nchi. Tovuti ya Capital FM ya Kenya hivi...
  19. R

    Tumelogwa na nani? Rais wa Camerron Anategemea kuitembelea Caméroon kutoka Geneva anakoishi!

    Rais wa Cameroon Paul Biya, anategemea kuitembelea Cameroon kwa ziara ya wiki mbili kabla ya kurejea Geneva anakoishi.
  20. Umoja wa ulaya hawalioni kundu lao, Afrika tuwaonyeshe lilipo ili waache kutunyooshea vidole.

    Jumuiya ya Ulaya (EU) ni wepesi kuinyooshea vidole Afrika inapopambana kutatua masuala yake, iko kimya kunyoosha vidole yanapotokea kwa wanachama wao mambo kama yaleyale ya Afrika. Msikilize Macron nae anavyotatua masuala ya nchi yake kama vilevile tunavyotatua sisi huku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…