afrika

  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: M23 yawakamata Hackers kutoka Afrika Kusini

    Taarifa zinazotoka mjini Goma, ni kukamatwa kwa watu kutoka Afrika kusini, waliosafiria Passport za Tanzania, kuelekea Goma. Inasemekana, lengo lilikuwa kudukuwa mifumo ya ulinzi inayolinda anga la Rwanda. Kupitia picha zinazosambaa, inasemekana walipofika Goma, walitumia magari ya MONUSCO...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Sisi sio Wabunifu?: Afrika Dhidi ya Maeneo Mengine ya Dunia

    Utangulizi Ubunifu ni kiini cha maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kiteknolojia katika karne ya 21. Makala hii inachambua hali ya ubunifu barani Afrika na kuilinganisha na maeneo yenye mafanikio makubwa kama Ulaya, Amerika, na Asia. Kupitia uchambuzi wa mafanikio, changamoto, na fursa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Mwafrika Hana Maajabu kokote aendako? Kifo cha Ndoto ya South Afrika kutoka Nuru ya Bara mpaka kuwa taifa linaloenda kufeli

    Kwa muda mfupi, ulimwengu ulitumaini. Ubaguzi wa rangi ulikuwa umekwisha. Afrika Kusini ilikuwa huru. Historia ndefu ya nchi hiyo ilijikita katika mifumo miwili iliyoshindana—moja ya wazungu waliokuwa wakimiliki utajiri wa taifa na kuishi maisha ya kiwango cha Ulaya, na nyingine ya weusi...
  4. JamiiForums Tanzania Ni nchi gani Afrika ya Mashariki inayoongozwa kwa kufuata Sheria na Katiba?

    Afrika ya mashariki inaundwa na nchi zifuatazo:; Kenya Tanzania Uganda Burundi Sudan Kusini Somalia Kati ya nchi hizi za Afrika ya mashariki ipi unadhani inaongozwa kwa kufuata Sheria na Katiba ya nchi yao?
  5. JamiiForums Tanzania Badhi ya wanajeshi wa Afrika Kusini kurudi kwao leo.

    Pichani, ni maandalizi ya jeshi la Polisi nchini Rwanda,mpakani mwa Rwanda na DRC. Eneo hili ndo watapitabadhi ya wanajeshi wa Afrika Kusini, na kupekuliwa, ili waendelee na safari yao,kuelekea uwanja wa ndege wa Kanombe huko Kigali.
  6. JamiiForums Tanzania Ifikie hatua Yanga iheshimiwe kama ndio klabu bora ya soka afrika mashariki na kati

    Ukiiona yanga inacheza hata kama wewe sio mpenzi wa yanga na pengine labda bado unasumbulia na ule ushabiki maandazi lakini hata kimoyomoyo utakubali kua yanga ndio timu inayocheza kandanda la kuvutia..pira la kitabuni...pira la kideoni...yani zike pattern za soka unaziona na hata zile B tatu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Afrika na Ujinga wa Kujidanganya: Kwa Nini Hatuna Miradi Mikubwa ya Kisayansi?

    Kila siku tunasikia kauli kama “Afrika inaweza,” “Sisi ni watu wa nguvu,” “Tuna rasilimali nyingi kuliko Ulaya na Marekani.” Lakini, je, kweli tunaweza? Ikiwa Afrika inaweza, mbona hatujawahi kushirikiana kujenga mradi wowote mkubwa wa kisayansi? Dunia inaendelea na miradi mikubwa kama Apollo...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Wazo la ‘Upatu’ la Wachekeshaji laweza kuwa na manufaa kwa SADC

    Katika hali ya utani, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wazo lililotolewa na wachekeshaji la kucheza mchezo wa ‘upatu’ linaweza kuwa zuri endapo likibadilishwa na kutafutiwa namna bora ili kusaidia masuala ya kifedha ya nchi za Kiafrika. Rais Samia amesema wazo hilo likichukuliwa...
  9. JamiiForums Tanzania Orodha ya wachezaji bora Afrika Mashariki wa muda wote

    Katika orodha hii tunatarajia kuorodhesha wachezaji nguli katika ukanda huu wa CECAFA. [Kenya , Uganda , Tanzania, Rwanda na Burundi] Orodha hii itazingatia mafanikio ya mchezaji katika soka, ukubwa wa ligI. Alizocheza, Timu ya taifa , miongoni mwa maswala mengine ya soka 1. MacDonald Mariga...
  10. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kahawa Barani Afrika Februari 21–22, 2025 Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam

    Kutakua na mkutano mkubwa wa kahawa barani Afrika utakaofanyika tarehe 21–22 Februari 2025 katika Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huu unaongozwa na Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mkutano una lengo...
  11. JamiiForums Tanzania Jeshi la Afrika Kusini, halina kazi tena DRC, liondoke tu

    Msemaji mkuu wa kisiasa wa AFC/M23, Lawrence Kanyuka, ametangaza kwamba, wanajeshi wa Afrika Kusini waliopewa hifadhi katika kambi ya MONUSCO huko Goma, walitakiwa kuwa kwao kwa sasa, kwa sababu haoni wanachokifanya huko. Na aliongezea kuwa, muda ndo sasa, na AFC/M23 wapo tayari kuwapa njia ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kutofanikiwa kwa mfumo wa ubepari katika nchi zetu za afrika,tumeshindwa kufata mfumo au mfumo unatutema?

    Market Economy/Free market economy Globalization Individualism Tunakosea wapi?
  13. JamiiForums Tanzania Mkijijua kuwa Mmeoa Watoto wa Wakubwa (Viongozi) Barani Afrika kuweni makini mno kwani mkikengeuka tu Mnatumbuliwa na Kukomolewa

    Ninaomba kujua ni Vivutio gani vikubwa na vizuri naweza kuvikuta Rufiji kwani GENTAMYCINE nataka kwenda Kutalii huko.
  14. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Msigwa amesema Tanzania inaongoza Afrika katika kuzalisha umeme

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zimeifanya Tanzania kuwa kinara barani Afrika katika uzalishaji na usambazaji wa umeme. Akizungumza na wanahabari katika Mradi...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gerson Msigwa: Hali ya upatikanaji wa umeme nchini imeimarika na kufikia 78.4%

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zimeifanya Tanzania kuwa kinara barani Afrika katika uzalishaji na usambazaji wa umeme. Akizungumza na wanahabari katika Mradi...
  16. JamiiForums Tanzania Shigongo katika Mkutano wa Mabunge ya Dunia, aelezea umuhimu wa Afrika kutumia maliasili

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameshiriki Mkutano wa Mabunge ya Dunia (Interparliamentary Union) unaofanyika katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, New York Nchini Marekani. Mkutano huo unajadili jinsi dunia, ikiwemo Tanzania, itakavyotimiza malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) kama kuondoa...
  17. JamiiForums Tanzania Kesi baina ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na Rwanda kusikilizwa Leo 12 na 13 Februari katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

    Kesi baina ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC na Rwanda kuanza kusikilizwa leo Februari 12 na 13, 2025 katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu. Kesi hiyo iliwasilishwa mahakamani hapo Agosti 21, 2023 dhidi ya Rwanda kwa madai ya ukiukwaji wa haki. Tuhuma za Congo dhidi ya Rwanda...
  18. JamiiForums Tanzania Zifahamu Nchi za Afrika zinazopokea misaada mikubwa zaidi kutoka Marekani

    Marekani imekuwa mfadhili mkubwa wa misaada ya kifedha kwa mataifa mbalimbali barani Afrika, ikilenga sekta za afya, elimu, usalama na maendeleo ya kiuchumi. Kwa mwaka wa fedha wa 2023, nchi zifuatazo zilipokea msaada mkubwa zaidi kutoka Marekani: 1️⃣ Misri – Dola bilioni 1.5 (nafasi ya 4...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Ntuli Kaporogwe Kuwania Uongozi wa Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini

    Mkurugenzi wa Huduma za Kinga kutoka Wizara ya Afya Tanzania Dkt. Ntuli Kaporogwe anatarajiwa kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki, Kati, na Kusini (ECSA – HC). Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika leo Februari 11, 2025 kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Bunge la Afrika mashariki lifutwe haraka sana, halina tija wala mantiki, linachezea pesa tu

    Kufuatia taarifa iliyotolewa rasmi leo (pia kuletwa humu JF) kuhusu kushindwa kufanyika kwa vikao vya bunge la Afrika mashariki (EALA) kwa sababu za ukata uliotokana na baadhi ya nchi wanachama kushindwa kuleta michango yake kwa wakati, nimetafakari na kuwaza kwa kina ilo kuona tija na mantiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…