afrika

  1. Video: Sarafu ipi ya Afrika Mashariki imeshikilia thamani yake vizuri zaidi katika miaka 10?

    https://youtu.be/7XUF3in8wzQ Habari wanajukwaa, Video hii inalinganisha sarafu tano za Afrika Mashariki dhidi ya dola ya Marekani, kuanzia 2016 hadi tarehe 6 Novemba 2026. Zote tano zimepoteza thamani, lakini tofauti ni kubwa: Uganda: takriban -16% Tanzania: takriban -18% Kenya: takriban...
  2. Afrika: Tunaongoza Kwa Kusali Na Kuwa Nyumba Za Ibada Nyingi Lakini Tunaongoza Kwa Umasikini

    Hii imekaaje? Hivi kuna watu wanaongoza kwa kuomba na kusali kama watu kutoka Afrika kweli? Nyumba za ibada kila baada ya mita kadhaa, nadhani bara hili hata kwenye wingi wa nyumba za ibada tunaongoza duniani, huko mitaani makanisa na misikiti vimesongamana mno, nimeona nyumba za ibada...
  3. Wanaojipa vyeo vya Mitume/ Nabii wote ni wahuni ni basi tu Afrika wajinga ni wengi kuliko werevu

    https://www.instagram.com/reel/DfbhYq0NVs4/?exln=MTN1MXlqdnk4YzhiaQ==
  4. Utafiti wangu usio rasmi watu wa KIDINI Afrika wanaogopa sana Wachawi/Majini/Mapepo/Freemasons kwa sababu viongozi wao nao wanaogopa vitu hivyo

    Sikio haliwezi kuzidi kichwa. Ni vigumu kukua kumzidi aliyekuongoza kwenye dini labda kama hapo baadaye umtoe na ubakize Mwenyezi Mungu. Viongozi wengi wa kiroho wanaonekana nje wako siriasi lakini ndani kabisa mambo ya Mungu kwao ni nadharia na mambo ya Giza ni halisi zaidi. Iko hivi...
  5. J

    Free Mandela, hang vorster": balaa lililoibuka katika hukumu ya kesi ya Nelson Mandela kule Afrika Kusini linataka kuibuka tena kwa Tundu Lissu?

    Wakati Bw. Nelson Mandela alipopewa na kubambikiwa Kesi ya uwongo ya ugaidi kule nchini Afrika Kusini enzi hizo za Utawala wa Ubaguzi wa rangi wa Makaburu Bw. Baltazar Johannes Vorster, kwa jina lingine pia alikuwa anajulikana Kama John Vorster au kwa kifupi pia alikuwa anaitwa B.J. Vorster...
  6. O

    Benki ya NCBA Yapata Mmiliki Mpya: Nedbank ya Afrika Kusini Yanunua Asilimia 66 ya Hisa kwa Mabilioni

    Kampuni ya Nedbank Group ya Afrika Kusini imechukua udhibiti wa benki ya NCBA nchini Kenya baada ya kukamilisha ununuzi wa asilimia 66 ya hisa zake, katika makubaliano makubwa yanayotarajiwa kubadilisha mwelekeo wa benki hiyo katika soko la Afrika Mashariki. Katika taarifa iliyotolewa Jumatano...
  7. Wizara ya ardhi yalenga kuwa kinara wa uandaaji ramani Afrika

    DODOMA: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inalenga kuijengea uwezo endelevu Tanzania kuandaa na kuhuisha ramani za msingi, ili kujitegemea katika huduma hizo na hatimaye kuzitoa kwa nchi nyingine za Afrika. Hayo yamesemwa leo Novemba 3, 2026 jijini Dodoma na Kamishna wa Ardhi, Bw...
  8. A

    INSPEKTA SALIM HUSSEIN NG'ANZI, MSHINDI WA TUZO YA KISWAHILI YA SAFAL YA FASIHI YA AFRIKA 2025/ 2026 ALIKOTOKEA, ALIPO SASA, ANAKOKWENDA.

    Anaitwa Salim Hussein Ng'anzi. Jina lake kwa sasa siyo geni barani Afrika hasa ukanda wa nchi zinazozungumza Kiswahili, yaani Tanzania, Kenya, Uganda, Kongo DRC, Rwanda na Burundi. Hii ni mara tu baada ya kutwaa Tuzo ya Kiswahili inayohusisha Bara la Afrika, hususan mataifa hayo tajwa...
  9. Zijue kampuni kubwa za Kichina zinazotengeneza simu maarufu Afrika

    China imekuwa mstari wa mbele duniani kwa utengenezaji wa simu janja (smartphones), ikitoa simu zenye teknolojia ya hali ya juu kwa bei tofauti tofauti (kuanzia za bei nafuu hadi za daraja la juu). Zifuatazo ni brand maarufu zaidi za simu kutoka China zilizogawanyika kulingana na makundi na...
  10. L

    Afrika si Afrika ya zamani tena

    Hivi karibuni, kuna habari tatu zinazostahiki kuangaliwa kwa pamoja. Ingawa zinaonekana hazihusiani, lakini zote zinafichua mabadiliko yanayotokea Afrika katika jukwaa la dunia. Habari ya kwanza ni kwamba michezo ya Olimpiki ya Vijana ya Dakar ilifunguliwa, ikiwa ni mara ya kwanza kwa bara la...
  11. I

    Afrika bado safari ni ndefu sana: Mtoto wa rais Museveni aamuru Kizza Besigye apewe dhamana.

    Katika hali inayoonyesha kwamba mkuu wa majeshi nchini Uganda Jenerali Muhozi Kainerugaba ambaye pia ni mtoto wa rais wa nchi hiyo Bw. Yoweri Museveni, ndiye kwa sasa anaiongoza nchi ya Uganda, ameamua kumpatia dhamana kiongozi mkongwe wa upinzani wa Uganda Bw. Kizza Besigye. Juhudi za kutafuta...
  12. H

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
  13. H

    Kiswahili siyo tu kwamba ni lugha rasmi ya kazi katika mikutano ya Umoja wa Afrika, Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC, UNESCO na taasisi nyingine kubw

    Kiswahili siyo tu kwamba ni lugha rasmi ya kazi katika mikutano ya Umoja wa Afrika, Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC, UNESCO na taasisi nyingine kubwa za kimataifa bali kwa miongo kadhaa, imekuwa ikifundishwa kwa ufahari katika taasisi za kitaaluma za hapa Urusi - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
  14. A

    Inspekta wa jeshi la polisi aliyeshinda tuzo ya uandishi wa fasihi ya kiswahili Afrika, amtaja Shigongo

    Siku kadhaa zimepita tangu Inspekta wa Polisi Salim Hussein Ng'anzi ashinde Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika 2025/2026, afande huyo amemtaja Mbunge wa Buchosa (CCM), Mkurugenzi wa Global Group na Mwamasishaji, Eric James Shigongo kwamba, amechangia yeye kufika alipo sasa. Afande...
  15. O

    Viongozi wa Afrika Wapanga Foleni Kupokea Aiskrimu Kutoka kwa Putin Katika Mkutano wa Russia–Africa

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin, aliwapa viongozi wa Afrika na wajumbe waliohudhuria mkutano wa Russia–Africa aiskrimu ya Urusi. Katika video inayosambaa mitandaoni, viongozi na wajumbe wanaonekana wakipanga foleni kupokea aiskrimu zilizokuwa zimewekwa kwenye vikapu mezani. Putin pia anaonekana...
  16. Mpango wa urusi kutaka kuhamishia baadhi ya viwanda vyake afrika je una lengo jema?

    Russian factories could soon be heading to Africa. That's the message Vladimir Putin delivered in Moscow on Thursday. Speaking on the second day of the Russia–Africa Summit, Putin said Russian companies are interested in shifting some of their production to African countries. He linked the idea...
  17. A

    Je, kipi kimefanyika kwa inspekta wa Polisi aliyeshinda tuzo ya fasihi Afrika?

    Kumekuwa na ukimya tangu Inspelta wa Jeshi la Polisi, Salim Hussein Ngazi aliposhinda Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika 2025/2026. Hatujaona kwenye vyombo vya habari, polisi ikitangaza ushindi wake na kumpa tuzo, pongezi na hata cheo kama walivyofanyiwa akina Ibrahim Bacca na...
  18. Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ashiriki Mkutano wa Pamoja wa Urusi na Afrika

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, jana Oktoba 28, 2026, ameshiriki katika kutembelea maonesho wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi uliofanyika Moscow Nchini Urusi. Matembezo hayo yaliyoongozwa na Rais wa Urusi Vladimir Pitin yana...
  19. Waziri Masauni ashiriki mkutano wa mawaziri wa Mazingira wa Afrika nchini Armenia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati) ameshiriki Mkutano wa Mawaziri kutoka Barani Afrika waliokutana kujadili msimamo wa Afrika na vipaumbele vyake ikiwa ni maandalizi ya mkutano wa ngazi ya juu wa Mkutano wa 17 wa Nchi...
  20. Tanzania Namba 5 Kwa Utawala Bora Afrika Ikitanguliwa na Mauritius,Botswana, Morocco na Rwanda.

    My Take Watakaoumia sana baada ya hii ripoti ni Chadomo na wale Jamaa wa Kanisa la Mitume wa Kirumi 😂😂👇👇 https://www.instagram.com/p/De84fu_gl6I/?dlrf=aTl4bXhodmk0MXdw
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…