afrika

  1. JamiiForums Tanzania Vita ya Kibiashara kati ya Marekani na Uchina na Athari Zake kwa Tanzania na Afrika

    SOMA: Markets mixed as investors brace for Trump tariffs Vita ya kibiashara kati ya Marekani na Uchina imekuwa gumzo kubwa kwenye anga za uchumi wa kimataifa tangu mwaka 2018. Rais wa wakati huo wa Marekani, Donald Trump, alianza kuweka ushuru mkubwa kwa bidhaa zinazotoka Uchina, hatua...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Demokrasi or Domokrasi ina AFRIKA?

    Democracy is not good for Africa, Qatar doesn't have a democratic system of governance. One leader one vision for economic transformation. In Africa we have to just say no to neocolonialism and emancipate ourselves from mental slavery and start thinking to do things on our own. The country...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ulaya na Amerika majina kama"Bush",""Liver", "Crew" na "Langstone" yamefanikiwa lakini Afrika majina ya Mohamad, John, Abdala,nk ni masikini?

    Ukitafakari kwa kinahuko ulaya na Amerika wanatumia majina yasikuwa kwenye biblia/quruan na yasiyo na maana kabisa kama"bush",""liver", "crew" na "langstone" wenye majina hayo wanafanikiwa lakini Afrika majina ya kibiblia/quruan yenye asili ya kiarabu na kizungu waliyoaninishwa kuwa ni ya Mungu...
  4. JamiiForums Tanzania Wazulu nje ya Afrika kusini

    Hii ni picha ya Wazulu wa Malawi, inayoitwa "Ngoni." Wanazungumza na kutekeleza lugha na utamaduni wa Kizulu na kufuatilia asili yao hadi KwaZulu. Sote tunawafahamu Wandebele (Wazulu wa Zimbabwe), lakini Wazulu wanapatikana kote Afrika Mashariki, katika nchi kama Malawi, Zambia, Msumbiji, hata...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Bilionea wa Kiafrika anatarajia kujenga AI data centre ya kwanza barani Afrika

    Bilionea wa Zimbabwe Strive Masiyiwa anayemiliki Cassava Technologies ametangaza kushirikiana na Nvidia kujenga data centre ya kwanza barani Afrika. Cassava Technologies inapanga kutumia teknolojia ya kisasa ya AI ya Nvidia ifikapo Juni 2025 nchini Afrika Kusini. Pia wamepanga kujenga data...
  6. JamiiForums Tanzania Maandamano dhidi ya uhamiaji haramu huko Afrika Kusini!

    Kumbe hata Afrika wapo watu wenye mitazamo ya ki-MAGA, kama ile ya Rais Donald Trump 🤣. Huyo mdada ukimsikiliza hoja zake dhidi ya huo uhamiaji haramu, unaweza kudhani naye ni MAGA, lakini kumbe wapi! Yeye ni Mwafrika Kusini aliyechoshwa na uhamiaji haramu nchini humo. Halafu kuna hii hoja ya...
  7. JamiiForums Tanzania Nchi masikini, ina wabunge wa viti maalumu 100+ Afrika tumelaaniwa vibaya! Nini kinazuia katiba isirekebishwe?

  8. JamiiForums Tanzania Kenya yaongoza Afrika kuingiza mitumba nyuma ya Nigeria yenye idadi ya raia mara 4 zaidi yake : JPM alitutaka tuwe nchi ya viwanda !

    Japokuwa Tanzania ni nchi yenye idadi ya raia zaidi ya Kenya lakini hatuingizi mitumba mingi. Tafiti iliyofanyika chuo kikuu cha Massachusetts (MIST) nchini Marekani imelinganisha idadi ya raia wa Nigeria kuwa ni mara 4 zaidi ya Kenya lakini nchi hiyo imekuwa ya pili kuingiza MITUMBA nyuma ya...
  9. JamiiForums Tanzania Afrika: Bara Tajiri kwa Rasilimali, lakini Maskini Kiuchumi

    Na Elly Maduhu Nkonya Afrika ni bara lenye utajiri wa rasilimali za asili, ikiwa na dhahabu, almasi, mafuta, gesi asilia, cobalt, madini adimu, ardhi yenye rutuba, na rasilimali watu yenye nguvu kazi kubwa. Hata hivyo, licha ya utajiri huu wa asili, bara hili limeendelea kuwa maskini kiuchumi...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Wavumbuzi bora wa Afrika wanaowania Tuzo za Uhandisi 2025. Tanzania tunakwama wapi?

    Wavumbuzi 16 kutoka nchi saba za Afrika wanawania Tuzo ya Ubunifu katika masuala ya Uhandisi Afrika kwa mwaka 2025 ambapo nchi 30 zilituma maombi. Tuzo hii ilianzishwa mwaka 2014, na ni tuzo kubwa zaidi ya ubunifu wa uhandisi barani Afrika, ikitoa ufadhili, uongozi, na mafunzo ili kuwasaidia...
  11. JamiiForums Tanzania Maana halisi ya mziki ambao umeunganisha afrika

    Mwenye vibao kama hivyo vyenye ujumbe pamoja na melodies kali naziomba
  12. R

    JamiiForums Tanzania Sikiliza long term effects za mjazano wa wachina Tanzania na Afrika in general ambazo huwezi kuzigundua kwa sasa

    sikiliza clip hii kama hitafutwa..... kuna maafa makubwa yanakuja huko mbeleni hali hii isipodhibitiwa mapema
  13. JamiiForums Tanzania Fursa ya Kusoma: Master ya Uongozi wa Ubunifu Afrika

    Fursa ya Kusoma: Master ya Uongozi wa Ubunifu Afrika!
  14. JamiiForums Tanzania Arikana Chihombori-Quao asema Viongozi wa Afrika wamejivika Mavazi ya Umasikini kwa kutegemea USAID, wakati rasimali za nchi zipo mikononi mwao

    Arikana Chihombori-Quao, balozi wa zamani wa Umoja wa Afrika nchini Marekani. Ngoja nikwambie, tunahitaji kuangalia kinachoendelea huko Burkina Faso, Niger na Mali. Rais Traoré amesimama kidete. Anasema rasilimali za asili za Burkina Faso ni mali ya watu wa Burkina Faso. Niger nao wanafanya...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi za kusini mwa jangwa la Sahara waanze kutafuta uhuru wao hatua ya 2 kama wenzao wa Afrika ya Magharibi

    Nchi za kusini mwa jangwa la Sahar mpaka sasa ndio zimebaki chini ya ukoloni mamboleo na hawajaonesha dhamira ya kuachana na ukoloni huo. Eneo hilo lenye utajiri mkubwa unaokodolewa macho na mataifa yote duniani ndizo kila siku zinazoshikilia mkia katika takwimu za maendeleo na ndio za mwanzo...
  16. JamiiForums Tanzania Kenya yaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na furaha. Congo DR na Tanzania hazina furaha kabisa.

    https://worldpopulationreview.com/country-rankings/happiest-countries-in-the-world
  17. JamiiForums Tanzania “The Year 2000” .Kitabu kilichotoka mwaka 1967.

    Kitabu “The Year 2000” (1967) cha Herman Kahn na Anthony J. Wiener ni jaribio la kutabiri hali ya dunia ifikapo mwaka 2000 kwa kutumia mbinu za kisayansi na mifano ya uchambuzi wa siku za usoni. Katika kitabu hiki, waandishi walitoa makadirio kuhusu maendeleo ya teknolojia, uchumi, na...
  18. JamiiForums Tanzania Wazungu wote waje afrika bila chochote na sisi wa afrika twende na pesa zetu hata na vitu vyetu kwao ndani ya miaka mitano itakuwaje.

    Najaribu kutafakari hawa wazungu ijalishi ni wachina,wazungu wenyewe mpaka waarabu wa saudia na wahindi. Vuta picha wakija afrika bila chochote na sisi twende kule kwao na vyote vyetu itakuwaje
  19. I

    JamiiForums Tanzania Karibu wazungu 70,000 wa Afrika Kusini wajiandikisha tayari kuhamia nchini Marekani

    Wazungu karibu 70,000 wa Afrika Kusini wamejiandikisha tayari kuhamia nchini Marekani kufuatia tangazo lililotolewa na na rais Donald Trump. Hivi karibuni rais Donald Trump wa Marekani alisaini "Amri ya Kiutendaji" inayowaruhusu wazungu wa Afrika Kusini ambao wangependa kuhamia nchini Marekani...
  20. JamiiForums Tanzania Hofu ya kufa imeifanya Afrika itumikishwe?

    Nimewaza tangu enzi za utumwa mpaka Sasa, katika vitu waafrika wanaogopa Sana ni kifo. Ukichunguza kwa makini waafrika tunawaza zaidi kufa na baada ya kifo kuliko kuishi kabla ya kifo. Tunawaza tukifa kitatokea nini badala ya kuwaza tunavyoishi kabla ya kufa maisha yetu yana thamani ipi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…