afrika

  1. JamiiForums Tanzania Hivi tokea afrika iumbwe kumeshawahi kutokea harusi kama hii? Dada zetu wa kitanzania mjitafakari

    Dada zetu mnafeli wapi? Kwanin wasanii wakubwa hawapendi kuoa dada zetu WA hapa tz? Jux Kaenda Nigeria Alikiba alienda Kenya Benpol alienda Kenya Na kuna tetesi kuna safari nyingne ya Nigeria kumsindikiza Simba kwani hana mpango WA kumuoa binti kizimkazi. Hii HARUSI imetikisa, kila siku...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Afrika kama Ulaya mwaka 2070

    Kabla ya haya mambo ya smartphone, vijana wa kipindi hicho wapenda mambo ya siasa na mambo ya dunia tulikuwa hatubanduki DW Swahili, BBC Swahili na VOA. Nakumbuka Jumamosi moja hivi miaka ya 2000-2005 (Nimesahau mwaka kamili, nakumbuka tu nilikuwa sekondari). Siku hiyo nilikuwa nasikiliza dira...
  3. JamiiForums Tanzania WHO Afrika hawana wizi wa kura

    Tusiwe na wasiwasi WHO Wana utaratibu mzuri wa upigaji Kura. Hamna wizi au Kura Mchongo. Prof atashindwa kihalali
  4. B

    JamiiForums Tanzania Thabit kombo: Ireland waichagua tanzania kuwa makao makuu yake ya kibiashara barani Afrika

    14 Mach 2025 Dar es Salaam, Tanzania IRELAND WAICHAGUA TANZANIA KUWA MAKAO MAKUU YAKE YA KIBIASHARA BARANI AFRIKA - MHE. THABIT KOMBO https://m.youtube.com/watch?v=01B057JdTR0 Tanzania na Ireland zimeazimia kuimarisha ushirikiano wao katika nyanja mbalimbali za maendeleo na uchumi ili kukuza...
  5. JamiiForums Tanzania Wanyama na ndege wa Afrika. 3-Kifaru.

    KIFARU KIFARU ni mnyama aliye mkubwa sana na mnene kabisa. Ingawa watu husema kwamba makao yake ni Afrika, wako wengine wa jamii yake Bara Hindi na Java na Sumatra; tena ziko alama za vifaru wa kale karibu kila upande wa Asia. Haya yanaonyesha kwamba zamani vifaru walikuwa wanakaa mahali...
  6. JamiiForums Tanzania Malawi yazuia unga na mchele kutoka Tanzania, Serikali yaitaka nchi hiyo kufungua masoko, yatishia kuzuia bidhaa za kilimo za Malawi

    Waziri wa kilimo Hussein Bashe kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X. ==== Salaam Ndugu zangu Watanzania,Serikali imepokea taarifa kuwa Serikali ya Malawi imezuia kuingia kwa mazao ya kilimo kutoka Tanzania, yakiwemo unga, mchele, tangawizi, ndizi, na mahindi. Hatua hii imeathiri moja kwa moja...
  7. JamiiForums Tanzania Wanyama na ndege wa Afrika. 2-Chui.

    CHUI KATIKA wanyama wote wanaomshabihi paka hapa Afrika hakuna aliye mkubwa kuliko chui ila simba tu. Urefu wake, chui, toka pua yake mpaka ncha ya mkia wake wapata futi saba na uzito wake ni kama ratili mia na hamsini. Anajulikana kwa ajili ya uzuri wa ngozi yake yenye madoa meusi. Madoa...
  8. JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki yarindima, wana Kanda ya ziwa kufurika Mwanza 30 April 2025 Rais Samia akizindua daraja refu kuliko yote Afrika Mashariki

    Kazi iliendelea. Kenya wameandika Afrika Mashariki imetanda habari za uzinduzi wa daraja refu kuliko yote katika ukanda huu. .
  9. JamiiForums Tanzania Wanyama na ndege wa Afrika. 1-Tembo

    Tujifunze habari za Wanyama na ndege kutoka kitabu Wanyama na Ndege wa Afrika. TEMBO TEMBO au ndovu ndiye aliye mkubwa kuliko wanyama wote wa dunia hii. Anakaa katika makontinenti mawili-yupo Bara Hindi na huku kwetu Afrika. Iko tofauti kati ya tembo hawa wawili. Huyu wa Afrika yu mkubwa...
  10. JamiiForums Tanzania Je, jeshi linalolinda mfumo usio wa haki bado ni la wananchi? (mtazamo kutoka Afrika Mashariki hadi Sahel)

    Katika siasa za Afrika, kuna tofauti kubwa kati ya majeshi ya baadhi ya nchi. Wengine hujiona kama watumishi wa dola, wengine kama watumishi wa watawala, na wachache kama wakombozi wa kweli. Nimekuwa nikifuatilia mifano mbalimbali, na hii ndiyo taswira niliyoona: 1. Madikteta wengi huweka watu...
  11. L

    JamiiForums Tanzania "Vita vya ushuru" vya Marekani vinasukuma nchi za Afrika kuongeza kasi ya kutafuta maendeleo kwa kujitegemea

    Wakati Marekani inapoanzisha duru nyingine ya vita vya ushuru na kuvuruga utaratibu wa biashara ya kimataifa, "jinsi ya kujitupia macho na kufanya mambo yenyewe" imezidi kuwa maoni thabiti ya pamoja ya nchi mbalimbali za Afrika. Rais William Ruto wa Kenya hivi karibuni alisema Afrika inaamini...
  12. JamiiForums Tanzania Taasisi za sheria za Afrika na dunia zimeijia juu Tanzania kuhusu Lissu!

    Taasisi za 9 Wanasheria zimeijia juu Serikali ya Tanzania kwa kumbambika kesi ya uwongo ya uhaini Mhe. Lissu na kumtaka Rais Samia kuirudia ahadi yake aliyoitoa alipoapishwa ya kuheshimu demokrasia na kumtaka amuachie huru Lissu bila masharti yeyote. Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni...
  13. JamiiForums Tanzania JWTZ lasaidia huduma tiba na afya Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limechangia huduma tiba na afya kwenye hospitali ya Jiji la Berberati iliyoko nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati tarehe 14 Aprili mwaka 2025. Akizungumza mara baada ya uchangiaji wa huduma hizo kwa niaba ya Kamanda Kikosi cha Nane cha Ulinzi wa Amani nchini...
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani Afrika walioshtakiwa kwa uhaini. Lissu, Bobi Wine wamo

    Mashitaka ya uhaini yanayomkabili kiongozi wa cham kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema Tundu Lissu yamekitikisa chama hicho na kuishitua dunia. Siku ya Alhamis tarehe 10 Aprili, karibu magazeti yote makubwa ya dunia yalikuwa na habari ya kesi hiyo kubwa kabisa ya Lissu. Mwenyekiti wa zamani wa...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Ujio wa waarabu/uislam na wazungu/ukristo ndani ya Afrika

    Uislamu ulianzishwa kwa Afrika katika karne ya 7, mwanzoni kupitia kimbilio la Waislamu wa mapema nchini Ethiopia na ushindi wa baadaye wa Waislamu na biashara katika Afrika Kaskazini. Dini hiyo ilienea kupitia njia za biashara kuvuka Jangwa la Sahara kuingia Afrika Magharibi na pwani ya Afrika...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Hatma ya maendeleo Afrika inategemea zaidi umoja wetu

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) ameeleza kuwa hatma ya maendeleo ya kiuchumi Barani Afrika inategemea umoja ulio imara wa bara hilo. Waziri Kombo ameeleza hayo alipochangia mjadala kuhusu “Kukua kwa Nafasi ya Afrika katika Siasa za...
  17. JamiiForums Tanzania Ukikusanya nchi nane (8) za Afrika Mashariki hazifikii GDP ya nchi ndogo kabisa ka Singapore

    Ukikusanya haya majinga manane(8) ya Afrika Mashariki ●Tanzania ●Kenya ●Uganda ●Rwanda ●Burundi ●Somalia ●D.R.C ●South Sudan Yote kwa pamoja hayafikii GDP ya kanchi kadogo kabisa ka Singapore. Mind you Singapore ina jumla ya ukubwa wa 735km² na population isiyozidi 6Mln wakati haya majinga...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umoja wa Demokrasia wa Afrika: Tunatoa wito Tundu Lissu aachiwe, Umoja wa Afrika na SADC ingilieni

    Umoja wa Demokrasia wa Afrika unatoa wito kwa kuachiliwa mara moja kwa Mhe. Tundu Lissu. Mashtaka ya uhaini kwa kusukuma mageuzi ya uchaguzi? Hili ni janga kwa demokrasia yetu. Tunazihimiza @_AfricanUnion, SADC na asasi za kiraia kuchukua hatua. ======= The Democracy Union of Africa calls for...
  19. JamiiForums Tanzania Rasmi: Yanga yafuzu klabu bingwa Afrika kwa mwaka 2025/2026

    Kufuatia ushindi wake wa mabao 2 kwa 1 dhidi ya Azam FC hivi punde, sasa ni rasmi kuwa Yanga omefuzu kushiriki michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika kwa msimu wa 2025/2026. Ushindi huo wa Yanga unaifanya kufikisha alama 67 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine yoyote, isipokuwa Simba...
  20. JamiiForums Tanzania Siyo kila mwanasiasa ni kiongozi

    Makala ya Kitaaluma Na Alloyce, P.R. Utangulizi Katika historia ya siasa za Afrika na duniani kwa ujumla, mara nyingi jamii imekuwa ikiwachukulia wanasiasa wote kama viongozi. Mwelekeo huu umekuwa na athari mbaya kwa maendeleo ya kidemokrasia, utawala bora, na ustawi wa wananchi. Wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…