afrika

  1. JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano TCRA, ruhusuni JamiiForums kwasababu kwa miaka mingi imekuwa ikitatua changamoto za Afrika kupitia habari

    Maendeleo makubwa hayawezi kuja pasipo kufahamu changamoto zinazozuia mafanikio JamiiForums kwa miaka mingi imekuwa ikitatua changamoto za Afrika hasa katika maswala yanayoigusa jamii kwa ujumla kupitia habari, jambo lililokuwa likisaidia Serikali kuona changamoto za Wananchi wake na kutatua...
  2. JamiiForums Tanzania Ongezeko la uwekezaji halimaanishi ongezeko la ushawishi wa Marekani barani Afrika

    Takwimu zilizotolewa katika ripoti ya Mpango wa Utafiti wa China na Afrika iliyotolea na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani zinaonyesha kuwa, mwaka 2023, uwekezaji wa moja kwa moja wa Marekani barani Afrika ulifikia dola bilioni 7.8, ukizidi dola bilioni 4 za China. Hii ni mara ya kwanza...
  3. JamiiForums Tanzania “Mungu Ibariki Afrika” haifai tena kuwa Wimbo wa Taifa la Tanzania 🇹🇿 (na Afrika kwa ujumla)

    “Mungu Ibariki Afrika” ilitungwa kama wimbo wa matumaini. Wito wa umoja, amani, na hekima miongoni mwa Waafrika waliokuwa wakipigania ukombozi. Lakini leo, zaidi ya nusu karne baadaye, maneno hayo hayana uhalisia katika bara letu. Tunaimba “Hekima, Umoja na Amani” huku viongozi wetu wakiongoza...
  4. JamiiForums Tanzania Tazameni hii Video wakuu: Gen Z Mbeya wanasherekea kumzika mwenzao , kwa Afrika Waasi ni Wazalendo waloamua pigania Haki zao

    Najaribu tu kuwazà, Kwa Hawa Vijana wenye Mzuka, wanaofurahia kuzika mwenzao, hawatishiki Tena na Kifo. Ongezea Silaha za Akina Abdul wanazonunua kwa Magendo . Daah wasengee wa CCM wameamua kulipasua Taifa Kwa Gharama ya Damu !!.
  5. JamiiForums Tanzania Afrika Mungu anatajwa sana kuliko Israel, Vatican na Mecca na hili ndo chanzo cha matatizo yote

    Dar ni automatic sauna Niende kwenye mada, ukija Africa utakutana na jamii ya watu wa ajabu kwelikweli wao kila muda Mungu Mungu tu hawajali jitihada zao na mbinu zao wao wanaamini kila kitu ni mipango ya Mungu tu. Mtu kapata kazi halmashaur anasema Mungu kamsaidia lakini jitihada zake hazip...
  6. JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi (CCM) ni kati ya vyama 10 vikubwa duniani - Fahari ya Tanzania na Afrika; Je, mnalijua hili?

    UTANGULIZI Je, unajua kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa vyama vya kisiasa vikubwa duniani? Wengi hawajui, lakini Chama cha Mapinduzi (CCM) chama tawala cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni miongoni mwa vyama vikubwa zaidi duniani kwa idadi ya wanachama. Hii ni heshima kubwa...
  7. JamiiForums Tanzania The United people of Afrika

    #Unitedpeopleofafrika.org Vision Empowering Africa Together as a United Continent. Mission To unite the people of Africa 🌍 Greetings to all good people of Africa 🌍 We are so grateful for what's Unveiling in Africa 🌍 especially in countries that were captured by Dictators I Godfrey Matovu...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu kwa Afrika kuvitoa vyama tawala vikongwe kwa maandamano bali kwa mtutu wa bunduki

    Dawa ya moto ni moto ni ngumu kwa vyama tawala vikongwe Afrika kuondoka madarakani eti kwa maandamano na kelele za mitaani bali kwa mtutu wa bunduki na hujuma dhidi yao. Huwezi ukapambana na mafisadi wachache wenye nguvu na kumiliki jeshi kwa mawe wao wakiwa na bunduki mtakwisha! Ni bora sasa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka vibanda hadi viwanda, maonyesho ya CIIE yamekuwa "chachu" ya ushirikiano wa China na Afrika

    Wakati dunia inapokabiliwa na changamoto za kuongezeka kwa hatua za upande mmoja na kujilinda kibiashara, Maonyesho ya 8 ya Uagizaji Bidhaa ya Kimataifa ya China CIIE yamefunguliwa tarehe 5 kama ilivyopangwa huko Shanghai. Likiwa jukwaa muhimu la kukuza uhusiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya...
  10. JamiiForums Tanzania Ukimya wa Marais na viongozi wa nchi za Afrika kwa kutokutoa salamu za pongezi kwa Rais Samia

    Ukimya wa kushangaza umeikumba Afrika kufuatia uchaguzi wenye utata uliomrejesha Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania, baada ya kutangazwa mshindi kwa karibu asilimia 98 ya kura. Kwa kawaida, ushindi mkubwa kama huu huambatana na salamu nyingi za pongezi kutoka kwa viongozi wa mataifa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waangalizi wa Uchaguzi wa Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika: Serikali ya Tanzania isitishe amri ya kutotoka nje na kurejesha huduma za Intaneti

    TAARIFA YA AWALI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA TAREHE 29 OKTOBA 2025 KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Leo, tarehe 31 Oktoba 2025 - Sambamba na dhamira yake ya kukuza chaguzi za kuaminika, amani, huru, na haki kupitia uangalizi wa kikanda usio na upendeleo na uchambuzi kote Afrika Mashariki na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Umoja wa Afrika (AU) ampongeza Rais Samia kwa ushindi, akumbushia HAKI ZA BINADAMU

    Mwenyekiti wa sasa ni João Manuel Gonçalves Lourenço, wa Angola
  13. JamiiForums Tanzania MAONO: Mauaji ya viongozi na ugaidi kushamiri nchi moja Afrika mashariki 2025-2030 kama kisasi kutoka kwa raia

    kuna scenario 3 endapo protest haitafanikiwa 1.Mauaji ya polisi kushika kasi 2.Mauaji ya viongozi wa chini wa chama tawala wenye viti wa mtaa na wajumbe 3.Matukio ya kigaidi kuihujumu serikali Kwenye Scenerio ya 1&2, kawaida human nature ya binadamu, akishindwa ku-attack wale wanaoonekana ni...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mfuko wa maendeleo wa China na Afrika(CAD-Fund)wahimiza maendeleo ya pande zote barani Afrika

    Mfuko wa Maendeleo wa China na Afrika (CAD-Fund) ulianzishwa kwenye juni mwaka 2007, kwa lengo la kuitikia mahitaji ya ukosefu na fedha na uwekezaji kwenye miradi ya maendeleo katika nchi za Afrika. Katika muda wa miaka 18 tangu kuanzishwa kwake, mfuko huo umetatua changamoto nyingi za kifedha...
  15. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video inaonesha bara la Afrika likigawanyika

    Wakuu nimekutana na hiki kipande cha video kilichoambatanishwa na ujumbe kuwa "Hi Ndiyo Ile Tulisema Bala La Africa litajigawa, naona dalili zimeanza, tuliosoma Civics hii kitu tunaijua kitambo"
  16. JamiiForums Tanzania Kwenye taarifa ya wapiga kura Cameroon, picha moja inayoonekana ya mpiga kura ni ya Mo Salah

    Cameroon Yaani kwa mujibu wa wananchi waliofuatiilia wizi wa kura, waliojiandikisha kupiga kura serikali wameweka wapiga kura hewa na picha moja inayoonekana ya mpiga kura ni ya Mo Salah 😀 jamani kweli? Seriously? Africa
  17. L

    JamiiForums Tanzania “Roho ya Beijing” yatia nguvu katika kuwawezesha wanawake wa Afrika

    Mkutano wa Kimataifa wa Wanawake umefanyika wiki hii mjini Beijing kufuatia wito wa rais Xi Jinping wa China, na kuweka hatua mpya muhimu katika historia ya maendeleo ya wanawake. Miaka 30 iliyopita, Mkutano wa Nne wa Dunia wa Wanawake wa Umoja wa Mataifa pia ulifanyika Beijing, ambapo Azimio...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China barani Afrika wapongezwa kwa kuleta matumaini kwa wagonjwa

    Nchi nyingi za Afrika zimekuwa zikikabiliwa na changamoto kubwa za huduma za afya, ikiwa ni pamoja na uhaba mkubwa wa wataalamu na ukosefu wa miundombinu. Licha ya msaada mkubwa wa kimataifa, juhudi za Timu za Madaktari wa China katika kushughulikia masuala ya afya barani Afrika si jambo la...
  19. JamiiForums Tanzania Historia fupi lakini yenye nguvu, akijulikana kama "Che Guevara wa Afrika."

    Thomas Sankara ni fupi lakini yenye nguvu, akijulikana kama "Che Guevara wa Afrika." Alikuwa rais wa Burkina Faso (hapo awali iliitwa Upper Volta) kuanzia mwaka 1983 hadi 1987. Alikumbukwa kwa harakati zake za kupinga ubeberu, kuunga mkono uhuru wa Afrika, na kwa kuanzisha mabadiliko makubwa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…