NCHI za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimepiga marufuku uingizaji, usambazaji na uuzaji wa bidhaa za siagi, zilizotengenezwa kwa karanga kutoka Kenya.
Zimepigwa marufuku kutokana na bidhaa hiyo, kubainika kuwa na vimelea hatarishi kwa afya za walaji.
Kwa mujibu wa Shirika la Viwango...