afrika

  1. JamiiForums Tanzania Uimara wa CCM Afrika unatokana na mchanganyiko wake.

    CCM ni kati ya vyama vikongwe na imara sana Afrika chenye uwezo wa kuongoza miaka 50 mingine bila kutetereka. Kinaweza kuhimili changamoto ndogo na kubwa za ndani na nje ya chama bila kupiga chafya nyingi. Uimara wa CCM unatokana na usawa katika mchanganyiko wake wa wanachama na viongozi ambao...
  2. JamiiForums Tanzania EACOP: Bomba la mafuta la Afrika Mashariki

    Thamani: USD Bilioni 3.5+ | Urefu: Km 1,443 Kwa Tanzania ni fursa ya ajira, biashara, mapato, uwekezaji na kuimarisha nafasi yetu kama lango la nishati Afrika Mashariki.
  3. JamiiForums Tanzania Kuelekea safari yangu ya mziki, jana nikakutana na mchambuzi mkubwa Afrika, Hopetyga tz

    Kwa wanao mfahamu HOPETYGA TZ ni mchambuzi wa mambo ya BURUDANI, Jana nika fanikiwa kukutana nae maeneo ya jaws corner, zenji lakini hatukuzungumza chochote, niliona kama ana mgeni japo nilifarijika sana, nilimtafta insta akadai ndio yeye. Kuelekea safari yangu ya mziki inahitaji promo, online...
  4. JamiiForums Tanzania Balozi Ahmed Haggag: Bara la Afrika linahitaji kuacha utegemezi wa nje na kujiamini

    CAIRO, Misri: Balozi Ahmed Haggag, Mshauri wa Umoja wa Waandishi wa Afrika, amewataka Waandishi wa Habari kuongoza kampeni ya kuitangaza Afrika na kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali zake wenyewe. Akizungumza na Waandishi wa nchi mbalimbali za Afrika Jijini Cairo, Balozi Haggag amesema ni...
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania 173 waliokuwa Afrika Kusini warejea nchini

    Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu-Natal, Afrika Kusini, wamewasili nchini baada ya kuamua kurejea nyumbani kwa hiari kufuatia vuguvugu la kupinga wageni linaloendelea nchini humo. Zoezi la kuwarejesha raia hao limefanyika kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Afrika Inatishwa na Historia Yake Yenyewe

    Mzungumzaji anaeleza kuwa viongozi waliopo madarakani wanataka kuandika historia inayowatukuza wao pekee badala ya mashujaa wa kweli: "Afrika inaogopa historia yake yenyewe Hili limekuwa tatizo kubwa sana." "...viongozi wa leo hawa waliokuja kuchukua madaraka baada ya uhuru wao wanataka...
  7. JamiiForums Tanzania 'Uwezo wa kupita kiasi au fursa?' Afrika yatoa jibu tofauti na nchi za Magharibi

    Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Gazeti la South China Morning Post la Singapore inasema, kutokana na bei ya magari ya umeme, betri, na vipuri vilivyotengenezwa nchini China kuendelea kushuka, nchi nyingi za Afrika zinatumai kutumia fursa hii kupunguza gharama za mchakato wao wa nishati ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Afrika kuna mambo ya ajabu sana. Mtu mwenye cheo kama hicho anashikiwa bastola na kulazimishwa kwa nguvu!

    Yaani Wafrika kwa kujali matumbo yao na maslahi yao ni noma. Mtu anashikiwa chuma kisa tu maslahi yao yabaki kuwa salama. Afrika sio mahala salama pa kuishi.
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi Wataka Ushiriki Mkubwa wa Vijana katika Ubunifu wa Kidijitali Afrika

    Viongozi wa Serikali, sekta sekta binafsi na wadau wa teknolojia wametoa wito wa kuongeza uwekezaji kwa vijana katika ubunifu na ujuzi wa kidijitali ili kuiwezesha Afrika kutoka katika utegemezi wa teknolojia na kuwa mzalishaji wa suluhu za kidijitali zinazoendana na changamoto za maendeleo ya...
  10. JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Narudia tena, Kuna Rais Afrika Mashariki atajiudhuru na sio Makamu wake.

  11. JamiiForums Tanzania MPYA Je? ni kweli kuwa makampuni ya Bill gates yanaingiza matunda yasiyokuwa na mbegu Afrika.

    Kumekuwa na madai kwamba Bill Gates na baadhi ya mabilionea pamoja na wanasayansi wanaingiza kwa makusudi katika mfumo wa chakula matunda yasiyo na mbegu au yasiyoweza kuzaliana, kwa lengo la kuwafanya watu wategemee mbegu zinazodhibitiwa na makampuni yao. Katika chapisho hilo, mdai anasema...
  12. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari Afrika Waanza Kozi ya 63 Cairo Kudumisha Ushirikiano wa Kimedia

    Shughuli za Kozi ya 63 ya Ufundishaji ya Umoja wa Waandishi wa Habari wa Afrika iliyopewa jina la "Mahfouz El-Ansary" zimezinduliwa rasmi leo asubuhi mjini Cairo kwa ushirikiano wa Baraza Kuu la Udhibiti wa Vyombo vya Habari na Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri, Kozi hiyo inashirikisha waandishi...
  13. JamiiForums Tanzania Wabongo bwana, eti huyu alikua anamtumia hela baba yake amjengee NYUMBA, akiwa afrika kusini

    Video imepatikana kijana wetu aloewauwa baba yake na baba yake mdogo kisa walikula hela zake za kumjengea NYUMBA alipo kua afrika kusini, huyu kijana ndio yule wa mwananyamala. Hivi huyu niwakutuma kweli hela Kwa unavo muona
  14. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zajivunia matunda ya ushirikiano wake kwenye vyombo vya habari

    Kuanzia Agosti 19 hadi 21, Beijing ilipokea ugeni mzito kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Ugeni huu ulikuja kuhudhuria Mkutano wa 7 wa Ushirikiano wa Vyombo vya Habari kati ya China na Afrika, ambao uliandaliwa na Idara ya Taifa ya Redio na Televisheni, Serikali ya Manispaa ya Mji wa Beijing, na...
  15. JamiiForums Tanzania Ukatili Afrika kwa nini? Ufunguzi wa KFC (kentucky fried chicken) ghana angalia mwenyewe!

    wakati rais wa communist ghana akizurura dunia nzima kudai fidia kwa utumwa uliofanyika miaka 400 iliyopita, nchini kwake ghana watu wake wanataka kuuwana sababu ya kuku wa kfc, watu wake wanaishi kama wanyama, hata wanyama wana imani na huruma kwa kiasi fulani, karibu ...
  16. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa JNHPP: Tanzania Kilele cha Nishati Afrika

    Tanzania inasimama tena kwenye kilele cha mafanikio makubwa ya kiuchumi na kiufundi barani Afrika huku taifa likijiandaa kwa ajili ya uzinduzi rasmi wa mradi mkubwa wa kimkakati wa kuzalisha umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP) huko Rufiji Jumamosi hii. Kila Mtanzania mwenye uzalendo...
  17. JamiiForums Tanzania Huyu kijana wa Afrika ya Kusini sijui ana tatizo gani, anahangaika kuongeza makalio ingawa si kawaida kwa wanaume kufanya hivyo

    Katika utu uzima wangu sikuwahi kuona mwanaume akifikiri kuwa makalio yake ni tija Lakini kwa huyu kijana imekuwa tofauti sana Sijui anafanya haya kwa lengo gani kwasababu kama ni mazoezi hatujazoea haya anayofanya
  18. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini imezindua kiwanda kipya cha kutengeneza maroboti walimu aina ya IRIS

    Afrika Kusini imezindua kiwanda kipya cha kutengeneza roboti walimu aina ya IRIS, ikiwa na lengo la muda mrefu la kupeleka teknolojia hiyo katika shule 23,000 nchini humo. Mbunifu wa IRIS, Thando Gumede, amesema lengo ni hatimaye kuhakikisha kila shule nchini Afrika Kusini inakuwa na roboti...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea kama South Afrika na Ulaya huwezi kukuta mabasi yanapewa amri kama hizi za kupakilia Magufuli stand .

    Sisi tuliotembea nchi kama South Afrika na Ulaya tunafahamu haya Ukiwa na safari na basi unaweza ukapandia popote. Unaweza ukapandia kwenye ofisi za basi unalotaka kusafiri nalo, ukapandia hata kwenye mgahawa linapopita. Hii ya Mkuu wa mkoa wa Dar kusema daladala zitakosa wateja ni pointless...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ameongeza Ushawishi Wa Tanzania Barani Afrika na Duniani Kote Kwa Ujumla wake. Ingekuwa Ni Nchi Ndiye Angekuwa Rais Wake

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Kwa sasa Tanzania ndio Habari ya Mjini Barani Afrika,Ndio Jina linalotamkika midomoni Mwa Wa Afrika. Ndio Nchi ambayo kila mtu anatamani kuitembelea na kufika na ndio sababu ya kuona ongezeko kubwa sana la idadi ya watalii wanaokuja kutalii na na hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…