afrika kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Harambee Stars Yavunja Rekodi ya Bafana Bafana kwa Sare ya 2-2 Afrika Kusini

    Timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars, imeonyesha mchezo wa ushindani baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Afrika Kusini, Bafana Bafana, katika mechi ya kufuzu kwa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027. Katika mechi hiyo iliyochezwa Ijumaa, Novemba 13, 2026, katika uwanja wa...
  2. L

    Mafunzo ya China yafungua ukurasa mpya kwa wanawake wajasiriamali wa Afrika Kusini

    Baada ya karibu miongo miwili katika biashara na safari kadhaa zinazohusiana na kazi nchini China, mjasiriamali wa Afrika Kusini Beauty Sonny, mkurugenzi wa kampuni ya Miradi na Utengenezaji ya Monenebe, inayojihusisha na ukodishaji wa vifaa, amejikuta tena darasani, akijifunza jinsi ya kufanya...
  3. E

    Anguko la ANC kutoka asilimia 69.7 hadi 30.76 linamaanisha nini?

    Chama kilichotawala Afrika Kusini kwa zaidi ya miaka 30 chazidi kupoteza uungwaji mkono; takwimu za chaguzi za Serikali za Mitaa na uchaguzi mkuu zaonesha kuporomoka kwa nguvu yake ya kisiasa. DA yaimarisha nguvu katika miji mikubwa, chama cha Zuma cha chanja mbuga KwaZulu-Natal huku vyama...
  4. A

    Afrika Kusini: ANC ya Nelson Mandela yapata matokeo mabaya zaidi katika historia ya uchaguzi wa Serikali za mitaa

    Chama cha African National Congress (ANC), kilichowahi kuongozwa na aliyekuwa Rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, kimepata pigo kubwa baada ya kupata asilimia 30.76 ya kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 4, 2026. Matokeo hayo ni anguko kubwa...
  5. J

    Free Mandela, hang vorster": balaa lililoibuka katika hukumu ya kesi ya Nelson Mandela kule Afrika Kusini linataka kuibuka tena kwa Tundu Lissu?

    Wakati Bw. Nelson Mandela alipopewa na kubambikiwa Kesi ya uwongo ya ugaidi kule nchini Afrika Kusini enzi hizo za Utawala wa Ubaguzi wa rangi wa Makaburu Bw. Baltazar Johannes Vorster, kwa jina lingine pia alikuwa anajulikana Kama John Vorster au kwa kifupi pia alikuwa anaitwa B.J. Vorster...
  6. O

    Benki ya NCBA Yapata Mmiliki Mpya: Nedbank ya Afrika Kusini Yanunua Asilimia 66 ya Hisa kwa Mabilioni

    Kampuni ya Nedbank Group ya Afrika Kusini imechukua udhibiti wa benki ya NCBA nchini Kenya baada ya kukamilisha ununuzi wa asilimia 66 ya hisa zake, katika makubaliano makubwa yanayotarajiwa kubadilisha mwelekeo wa benki hiyo katika soko la Afrika Mashariki. Katika taarifa iliyotolewa Jumatano...
  7. L

    PICHA: Rais Wa Afrika Kusini Akiwa na Binti Yake Ziara ya Kikazi Italy

    Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ni Picha Ya Rais wa Afrika Kusini Akiwa na Binti yake katika Ziara yake ya kikazi Nchini Italy Ambako ameweza kuambatana naye .Na siyo Mara ya kwanza wala ya pili bali amekuwa akifanya hivyo katika ziara nyingi tu kuambatana na Mwanaye ama Binti yake huyo Kipenzi...
  8. Waufukweni

    Afrika Kusini: Mchina Hai Shi anagombea Udiwani kupitia chama cha African National Congress (ANC)

    Hai Shi, raia wa Afrika Kusini mwenye asili ya China, ameorodheshwa kuwa mgombea wa chama tawala cha zamani nchini Afrika Kusini, African National Congress (ANC), katika kinyang’anyiro cha nafasi ya udiwani wa Kata ya 103, Johannesburg, jimbo la Gauteng, kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa...
  9. C

    Nashauri serikali za mataifa ya Afrika ziendelee na mipango ya kuwaondoa raia wake nchini Afrika Kusini, kinacho endelea kinatisha

    Kushambuliwa kwa raia wa kigeni jijini Durban, Afrika Kusini, na kundi la takribani watu 50 kunaibua maswali kuhusu usalama wa wahamiaji nchini humo, hasa katika kipindi ambacho kumekuwa na maandamano dhidi ya wahamiaji katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo. Kwa miaka kadhaa, suala la wahamiaji...
  10. C

    Polisi Afrika Kusin kuanza uchunguzi wa kifo cha raia wa kigeni jimbo la Durban

    Polisi nchini Afrika Kusini wameanzisha uchunguzi wa mauaji ya raia wa kigeni aliyepigwa na kundi la watu hadi kufariki dunia katika eneo la katikati ya jiji la Durban, Ijumaa. Kwa mujibu wa taarifa za awali za polisi, tukio hilo lilitokea katika Mtaa wa Dr Pixley kaSeme wakati kundi la watu...
  11. Fascinating

    Mtazamo Wangu: Mauaji ya eShowe ni kwasababu ya Uhaba wa Wafanyakazi Afrika Kusini

    Hivi mmeiona hii video ya tukio la mauaji yaliyotokea Jumamosi iliyopita kwenye duka la Boxer huko eShowe, KwaZulu-Natal? Inatisha sana! Jamaa mmoja (33) aliyekuwa mfanyakazi wa duka hilo aliwaua kwa kuwamiminia risasi mameneja watatu wa kike ofisini kwao baada ya kufukuzwa kazi kwenye kikao cha...
  12. M

    Je, kama Afrika Kusini ingekuwa nchi ya kiislamu?

    JE, KAMA AFRIKA KUSINI INGEKUWA NCHI YA KIISLAMU? Hebu fikiria hali ya Afrika Kusini ya sasa, lakini badala ya kuwa Afrika Kusini, iwe ni Tunisia, Morocco au Algeria. Kwa sasa, baadhi ya raia wa Afrika Kusini wanawashambulia na kuwachukia wageni. Je, dunia ingeendelea kuzungumzia haki za...
  13. Waufukweni

    Afrika Kusini yaongoza, Tanzania ya 4 Afrika Nchi 10 zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi na HIV

    Kwa mujibu wa takwimu za UNAIDS za mwaka 2025, watu milioni 41.0 duniani walikuwa wanaishi na HIV, huku watu milioni 1.2 wakipata maambukizi mapya na takribani 570,000 wakifariki kutokana na magonjwa yanayohusiana na UKIMWI. Kati ya wanaoishi na HIV, milioni 32.1 walikuwa wanapata dawa za...
  14. M

    Polisi Afrika Kusini waanzisha msako baada ya watu 17 kuuawa katika shambulio la risasi klabuni

    Polisi nchini Afrika Kusini walisema siku ya Jumapili Septemba 27, 2026 kuwa wameanzisha msako mkali baada ya watu 17 kuuawa katika shambulio la risasi usiku wa Jumamosi Septemba 26, 2026 kwenye kilabu cha pombe (tavern) katika mtaa wa Wedela, kusini magharibi mwa Johannesburg. Huduma za...
  15. R

    Video: Mwanaume akiwatishia kuwapiga risasi wanawake waliokuwa katika Hoteli huko Sandton Afrika Kusini

    Kipande cha video kinachosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii kimezua hasira kubwa baada ya kuonyesha mwanamume mmoja akimwaga vitisho vya kuua na kuwadhalilisha wanawake waliokuwa kwenye chumba cha kujipamba (powder room) katika eneo la Sandton, Afrika Kusini. Kwenye video hiyo...
  16. Mkalukungone Mwamba

    Mwanamke wa Tisa Auawa eneo la Ekurhuleni, mashariki mwa Johannesburg, Kamishna Asema Wanawake “Wanawindwa”

    Mwanamke wa tisa amepatikana akiwa amefariki dunia katikati ya wimbi la mauaji linaloendelea katika eneo la Ekurhuleni, mashariki mwa Johannesburg, Afrika Kusini. Kamishna wa Usawa wa Kijinsia, Princess Eurika Mogane, aliiambia Al Jazeera kuwa vitendo hivyo vya ukatili vinahisi kama “vita”...
  17. Alexido jz instagram

    Ni bora kukomaa hapahapa Tanzania mungu atajaalia, kila nikiwaangalia wanao rudi kutoka Afrika Kusini, nachoka kabisa

    Sina sababu ya kupost picha yoyote kuwadhalilisha lakini, mtu anakaa afrika kusini miaka 30 lakini dah. Maisha ya ugenini tena kwenye nchi za watu mambo ni magumu sana, ni kheri kama vipi, kaza tu hapahapa bongo aisee, mambo ya kukimbiakimbia, noma sana, ndo mana mo dewji, aligoma kufanya kazi...
  18. Zack Abdul

    Watanzania 173 waishio Afrika Kusini wamshukuru Rais Samia kwa kuwawezesha kurejea nyumbani

    Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu-Natal, Afrika Kusini, wamewasili nchini baada ya kuamua kurejea nyumbani kwa hiari, kufuatia vuguvugu la kupinga wageni linaloendelea nchini humo. Kundi hilo lilirejea Tanzania kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
  19. Jannatul Firdaus

    Watanzania 173 waliokuwa Afrika Kusini warejea nchini

    Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu-Natal, Afrika Kusini, wamewasili nchini baada ya kuamua kurejea nyumbani kwa hiari kufuatia vuguvugu la kupinga wageni linaloendelea nchini humo. Zoezi la kuwarejesha raia hao limefanyika kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania...
  20. Zack Abdul

    Taarifa ya kuwasili kwa Watanzania 173 wanaorejea nyumbani kwa hiari, kutokea jimbo la kwazulu - Natal, Afrika Kusini

    Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Afrika Kusini unapenda kuwajulisha kuwa, leo tarehe 26 Agosti 2026 Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu - Natal nchini Afrika Kusini watawasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), mnamo...
Back
Top Bottom