africa

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Afrika ilivyo tajiri kwa rasilimali, ingekuwa vyema tuwe na Serikali ya Umoja ndipo ili tuwe matajiri

    Kukosekana kwa serikali ya umoja ambayo itathibiti political instability, usaliti ,uzalendo kwa bara letu kunatufanya tuwe maskini.Nchi za magharibi zimekuwa zikitugawa ili waendelee kuiba rasilimali zetu na wao kuwa super power economically. It is time tuwe na serikali moja itakayoongoza...
  2. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunawaambia kila siku, Tanzania drops 11 spots in Africa e-commerce score, meanwhile Kenya remains among the highest-ranked country

    Kung'ang'ania mshindane na Wakenya mtaishia kupasuka misamba, sisi tupo kwenye ligi nyingine.... Dar es Salaam. The latest United Nations Conference on Trade and Development’s Business-to-Consumer (B2C) E-commerce Index 2020 has seen Tanzania’s ranking drop by 11 spots to currently rank at 110...
  3. Uswiss

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazoongoza kwa Uhuru wa vyombo vya habari barani Afrika

    Nchi zinaongoza kwa Uhuru wa vyombo vya habari barani Africa. Source: world press freedom index. Year. 2020. 1. Namibia 2. Cape varde 3. Ghana 4. South Africa 5. Burkina Faso 6. Botswana 7. Senegal 8. Madagascar 9. Mauritius 10. Niger 11. Seychelles 12. Cote D' ivore 13. Malawi 14. Tunisia...
  4. Uswiss

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazoongoza kwa unywaji wa pombe barani Afrika

    Kwa mujibu wa mtandao wa African full facts nchi zinazo ongoza kwa unywaji wa pombe barani Africa ni.. 1. South Africa 2. Gabon 3. Namibia 4. Nigeria 5. Uganda 6. Rwanda 7. Burundi 8. Sierra Leone 9. Botswana 10. Tanzania. Na vilevi (bia) vinavyohusidiwa sana na walevi wa bara la Africa ni: 1...
  5. Tz boy 4tino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania airports among the busiest in Africa

    Busiest Airports in Africa ranked according to number of flights daily 1. Johannesburg Airport South Africa🇿🇦 188 flights 2. Cairo Airport Egypt 🇪🇬 111 flights 3. Addis Ababa Airport Ethiopia 🇪🇹 99 flights 4. Capetown Airport South Africa🇿🇦 82 flights 5. Lagos Airport Nigeria🇳🇬 78 flights...
  6. BAK

    JamiiForums Tanzania It's time for Africa to rein in Tanzania's anti-vaxxer president

    John Magufuli’s cavalier disregard of Covid’s impact in the great lakes region is fuelling conspiracies and endangering lives What is wrong with President John Magufuli? Many people in and outside Tanzania are asking this question. Magufuli claimed last year that God had eliminated Covid in...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Afrika CDC yaipa onyo Serikali ya Tanzania

    Mabibi na mabwana, hatimaye tuko hapa sasa: Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuhusu namna inavyoshughulika na corona. Kwa mujibu wa matangazo ya DW mchana huu, Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuwa kwa namna hii na hili la kutotoa takwimu za ugonjwa huu, Tanzania inaliweka bara...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Sababu 5 kwanini Afrika haina vifo vingi vya Corona kama ilivyo US, Ulaya na Asia

    By Anne Soy BBC Senior Africa correspondent Nadhani sababu namba tatu na Nne zimetusaidia zaidi: Kun literature ya kutosha kuhusu hizo point mbili na siyo sala za Mungu na kujifukiza So what are some of the reasons for Africa's relatively low death rate Coronavirus in Africa: Five reasons why...
  9. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Charles Kimei: One of the most exposed and reputable banking top executives in East & Central Africa. Hakupaswa kujiingiza katika siasa hizi za vyama

    Mambo vp JamiiForums. Ninapoandika hoja hii, ninaomba ifahamike kuwa i have nothing personal with mzee Kimei na ninatambua kuwa yeye ni moja katika ya hazina kubwa ambazo taifa hili linazo katika masuala mazima ya uchumi na banking. Watu walikuwa wanapenda sana kumshambulia kaka yangu Pascal...
  10. 100 others

    JamiiForums Tanzania Ugomvi kati ya walinzi wa Vladimir Putin na walinzi wa mkutano South Africa (BRICS)

    Purukushani za hapa na pale zilitokea baaada ya walinzi wa Putin kukataa kuweka suitcase zao zisipite kwenye scanner, inasemekana kwamba suitcase hizo zilikuwa zina code za siri za silaha za nuclear za Russia. Inasemekana kwamba baada ya walinzi hao wa karibu kabisa wa Putin kufika eneo la...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Enzi za Africa events

    ENZI ZA AFRICA EVENTS Msomaji wangu mmoja kaniandikia maneno hayo hapo chini baada ya kusoma makala yangu niliyomtaja Prof. Hamza Njozi: "Makala ya Prof.Hamza Njozi katika jarida la Africa Events ilihusu nini? Sikujua kama Prof.Njozi alikuwa akiandika katika Africa Events, ingependeza kama...
  12. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania A must read: A letter addressed to His Excellency President Cyril Ramaphosa, President of South Africa, regarding the safety of the COVID-19 vaccine

    30th January 2021. His Excellency, Cyril Ramaphosa, President of South Africa...
  13. B R A C E L E T

    JamiiForums Tanzania Album ya Rayvanny "Sound from Africa" uchambuzi, ratings!!, cons and pros, Karibu.

    Album ya Rayvanny "Sound from Africa" uchambuzi, ratings!!, cons and pros, Karibu. Raymond Shabani Mwakyusa a.k.a Rayvanny kaachia album yake ya kwanza toka anze Carrier yake ya muziki miaka kadhaa iliyopita. Jina la Album : Sound from Africa Wasanii walio-shirikishwa jumla 20 13...
  14. NairobiWalker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Electricity penetration in Africa: Kenya at 84.5%, Tanzania at 39.5% - what is not happening Tanzania?

  15. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Angalia Jinsi hapa Afrika Mashariki Tanzania ndio imebarikiwa kupata mvua nyingi kushinda Kenya, Uganda

    Yaani wamebarikiwa sana na mwenyezi Mungu. Ukiangalia predicted rainfall patterns ya East Africa utagundua kwamba Tanzania ndio nchi pekee inayopokea mvua katika kila corner ya Tanzania. Nchi zingine hazipokei mvua katika kila kona. Lakini 100% ya Tanzania inapokea mvua. Sasa ni kwa nini...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Africa vs Developed Countries = Women vs Men

    Ndiyo! Afrika dhidi ya nchi zilizoendelea ni sawa na wanawake dhidi ya wanaume. Wanawake wana kauli mbiu nyingi, ikiwemo Ile ya "wanawake tunaweza''. Sawasawa na Waafrika. Kwa nini? Kila siku waafrika wanajigamba, "sisi tunaweza, sisi ni matajiri" lakini nchi zilizoendelea wao wametulia tu...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Namibia has been ranked as the country with the best roads in Africa

    Namibia has been ranked as the country with the best roads in Africa for the fifth consecutive year. ===== For the fifth consecutive year Namibia has retained its position at the top of the list of the best roads on the African continent. According to the World Economic Forum’s (WEF) Global...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Afrika tunatia aibu kutokuwa na uwezo wa kutengeneza dawa

    Yaani pamoja na wasomi wote tulionao bara nzima bado tunasubiri huruma kwenye kila kitu hata Chanjo za Corona. Lakini kibaya nchi zote za Africa ukiacha Senegal hata jitihada za kutafuta chanjo hakuna sasa OAU na hizi EAC , SADC ni za nini kuongea tu!!. Tungekuwa na viwanda vya madawa hata...
  19. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya tops Africa by a mile in internet penetration

    Kenya recorded the highest internet penetration rate in Africa in the year 2020. This is according to a ranking by Internet World Stats (IWS), showing that 87.2 percent of the country’s population was connected to the internet. Figures from the Communication Authority (CA) indicate that in...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Pitso Mosimane aisifia Simba akihimiza makocha wa South Africa waombe kuifundisha

    Pitso anakuambia makocha kama Eric Tinkler ni wakati sahihi wa kuomba kufundisha teams za nje ya south africa kama Simba huku akiitaja kama team kubwa ambayo ni kawaida yake kuwa kwenye group stages. “I mean we are in the same group as Simba (in the CAF Champions League) I will be so...
Back
Top Bottom