africa

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya wafungwa magerezani wanaishi maisha mazuri kuliko binadamu wengi wa Africa.

  2. Now and then

    JamiiForums Tanzania Je Elimu inachangia mtu kuongoza nchi vizuri huko Africa ?

    Je Elimu inachangia mtu kuongoza nchi vizuri huko Africa ? Kuna nchi moja huko Africa imepata rais ana PhD ya uongo n nyingine imepata Rais aliyefeli form four . Je elimu Ina mchango gani.?
  3. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Tafakari picha hii na yanayoendelea Africa

    Hivi ni lini waafrika tutaacha upumbavu ili tukue. Hapa ni waafrika wamegeuza maroboti wauwane Chini wakuu wa dunia wanapora madini. Akili zetu zipo kwenye kupigana wao uchukua madini.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Mfanyabiashara wa Ghana Kofi Amoah aivyomtaka Elon Musk kuinunua Afrika, kisha kufuta viongozi wote!

    Mfanyabiashara Toka Ghana Dr.Kofi Omoha amtaka Billionaire Elon Musk kuinunua Africa Kisha kufuta viongozi wake wote
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Donald Trump plans to shut dozens of US embassies – including 8 in Africa

    Donald Trump plans to shut dozens of US embassies – including 8 in Africa According to an internal State Department memo seen by CNN, the Trump administration is considering the closure of up to 10 embassies and 17 consulates around the world, many of them in Europe and Africa. Trump’s plan to...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Infobip pushes conversational AI as game-changer at Africa CX Conference

    Head of Enterprise Business - East Africa, George Muhia Infobip, a global leader in cloud communications, championed the use of conversational AI to transform customer experience and help businesses stay competitive, grow their customer base and drive sustainable growth. In partnership with...
  7. Stability

    JamiiForums Tanzania Pastor wa Mmarekani alietekwa huko South Africa akiwa anahuburi ameokolewa

    Mchungaji wa Kimarekani, Josh Sullivan, aliyetekwa na wanaume wenye silaha wakati wa ibada nchini Afrika Kusini, amepatikana akiwa salama baada ya majibizano ya risasi makali yaliyopelekea vifo vya watu watatu, kwa mujibu wa polisi. Sullivan, mwenye umri wa miaka 45, alipatikana Jumanne jioni...
  8. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ukitoa wazungu, Ulokole ndio Ukiristo halisi wa Africa

    Hizi taasisi unazoziona zimesimama, kama vile Roma au Lutheran, ni utaratibu na misingi ya wazugu na haina uhusiano na ukiristo, hata ile chain of command mfano utoka papa hadi muumini wa kawaida pale kimara temboni, ni taratibu za kizungu ambazo hazina uhusiano wa moja kwa moja a ukiristo...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana. Sisi Africa katika soko la China hata kwenye 3 bora hatumo

    Nlitegemea sisi Afrika tungekuwa moja ya masoko makubwa kabisa ya bidhaa za China. Sivyo. Why? Huku wanatuletea tu takataka soko lao kubwa lipo Ulaya na Marekani. Ndo maana jamaa wanatudharau tu wanaamua kutengeneza takataka ndo wanaleta huku. Ila vitu vya maana wanapeleka kwa wazungu...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Acheni kulishana Upepo. Simba haiwezi kuchukua kombe hili la CAF. Anaenda kuzikwa South Africa

    Ile kushinda jana kuna mabwege wameshaanza kuandika upuuzi. Yaani hii Simba tia maji tia maji ya kufika Fainali? Nyie mnafanya masikhara sana. Labda umri wenu ndo changamoto. Mnaanza kulishana upepo mkidhani mtashiba kutokana na njaa kali ya Makombe mliyo nayo kwa miaka hii 4. Na mwaka huu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Simba imepanda kuwa timu ya nne kwa ubora Africa kwa vigezo vya CAF 5 Year ranking,

  12. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Africa tujifunze kucheza na fursa kupitia hii adhabu walopewa china na trump

    Mataifa ya afrika ni wakati wetu wa kuamka na kupigana hii vita ya tatu ya dunia iliyobadilishwa upepo na kugeukia kwenye vita ya kiuchumi. Waafrika hii vita ni yetu na tukicheza vizuri hakika tunatoboa na kusonga mbele na kuacha kuwapigia magoti mabeberu kuwaomba msaada ili hali tuna maligafi...
  13. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Office Administrator at Safari Automotive Africa April 2025

    POSITION: OFFICE ADMINISTRATOR Location: Tanzania Industry: Automotive Company: Safari Automotive Africa Employment Type: Full-time Remote work opportunities Date: 07th April 2025 – 12th April 2025 About Us: Safari Automotive Africa is a trusted company, with...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mambo yanatambulisha Ujinga wa ki Africa

    1. Mke laZima Kulala ukutani 2. Kukojoa nyuma ya choo 3.ufagio unakaa nyuma ya mlango 4. Kila tajiri ni freemason au alitoka kafara 5.kufulia chupi maji yaliyobaki baada ya kuoga 6 kuisha vyombo kabla ya sufuria 7. Chai chapati 2 ndo sheria 8. Kula supu ya maharage. Maharage Yana supu? 9...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Radio Free Africa mna shida gani??

    Ni wiki sasa nikifungulia radio yenu kusikiliza vipindi vya asubuhi vya magazeti na matukio nakutana na miziki na matangazo ya biashara tu. Kulikoni???
  16. S

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki ni kati ya Wachezaji 8 Wanaolipwa mshahara mkubwa zaidi ligi ya Afrika

    𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄...! Kwa Mujibu wa AfrikaFactsZone Hawa Hapa ni Wachezaji Wanaolipwa Zaidi Katika Ligi za Afrika Kila Mwaka. 01: Egypt 🇪🇬 - Ali Maaloul 🇹🇳 | $1.5 million | Al Ahly 02: South Africa 🇿🇦 - Ronwen Williams 🇿🇦 | $320,000 | Mamelodi Sundowns 03: Angola 🇦🇴 - Tiago Azulão | $263,000 | Petro de...
  17. Mhaya

    JamiiForums Tanzania CAF Champions League nusu fainali ni timu za "South Africa Vs Egypt"

    Kwa mwenendo wa matokeo haya, kuna uwezekano Nusu Fainali hadi Fainali zikawa ni Timu za Falao na Wazulu zitakazo Chuana.
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Prof. Mohamed Janabi ana nafasi kubwa zaidi ya kuchaguliwa kua mkurugenzi mtendaji wa who kanada ya Afrika

    Licha ya kua ana sifa zote, vigezo na masharti tajika ya kitaaluma kulingana wajibu anaoelekea kuutwaa, uzoefu usio na shaka wa Prof.Janabi katika kazi za kada ya Afya kitaifa na kimataifa ni wa kuaminika. Lakini pia umahiri, bidii na ubobevu wake katika masuala ya tiba na tafiti mbalimbali za...
  19. Short Boe

    JamiiForums Tanzania Napataje Michongo ya udereva South Africa?

    Wana JF mko poa..? Nina bro wangu yupo south miaka mingi sana anaishi Capetown juzi kati nimewasililiana nae WhatsApp akaniambia kama sielewi maisha ya bongo niibuke kule atanifosia michongo sababu yeye ameshakuwa mwenyeji.. Sasa hiv ndio nipo katika process za kukata passport, lakini kuna...
  20. Y

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Deni la Tanzania ukilinganisha na Mataifa mengine ya bara la Africa ni nafuu

    == Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila amesema serikali inavuta mitaji kutoka sekta binafsi kwasababu kodi na mikopo hayatoshi kufikia matarajio ya wananchi. Katika mazungumzo maalum na The Chanzo Machi 29,2025, Kafulila amesema deni la...
Back
Top Bottom