The 2025 Africa Cup of Nations, known in short as the 2025 AFCON or CAN 2025, is scheduled to be the 35th edition of the biennial African association football tournament organized by the Confederation of African Football. The tournament was supposed to be hosted in June-July 2025, however due to the formation of the expanded FIFA Club World Cup scheduled to be held in June-July 2025, the 2025 AFCON might be hosted in January-February 2026.
This edition of the tournament was supposed to be the 2nd to take place in the northern hemisphere summer since the 2019 edition to reduce scheduling conflicts with European club teams and competitions after the previous edition in 2023 was moved to January and February 2024 owing to the adverse summer weather conditions in Ivory Coast.Guinea was the set to be the original host of this edition of the tournament but CAF stripped it of hosting rights after affirming its inadequacy of hosting preparations. After a second bidding process, Morocco was given the hosting rights
Huyu ni muimbaji wa nyimbo za asili kutoka Mbeya. Ana sauti ya kuvutia na muziki mzuri wa asili unaovutia kusikiliza hata kama huelewi anachoimba.
Achaneni na hayo mabongo fleva ,sijui amapiano. Burudani AFCON iwe ni nyimbo za asili za akina Awilo na singeli za maadili.
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inashuka dimbani leo saa 10:00 jioni katika Uwanja wa New Amaan, Zanzibar, kukabiliana na Guinea-Bissau kwenye mchezo wa kwanza wa Kundi L wa kusaka nafasi ya kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).
Licha ya kuwa Tanzania tayari...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, akizungumza na waandishi wa habari leo, Septemba 24, 2026, amesema kitendo cha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, kuwaita wasanii na kuzungumza nao ni jambo la kawaida kiutendaji.
Kauli hiyo imekuja wiki kadhaa baada...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa kufikia Desemba 2026, maandalizi ya Tanzania kwa ajili ya michuano ya AFCON 2027 yatakuwa yamekamilika kwa asilimia 98 hadi 100.
Soma Pia: Makonda: Serikali imelipa CAF Tsh. Bilioni 82, Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027
The Government has set aside sh42b to support private hotel investors in Gulu and Lira as part of preparations to host the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON), State Minister for Sports Peter Ogwang has said.
The financing is intended to help hotel owners in the two northern Uganda cities to...
Ujenzi wa uwanja mpya na wa kisasa wa mpira wa miguu jijini Dodoma unaendelea kushika kasi kubwa chini ya usimamizi wa Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ikishirikiana na wakandarasi pamoja na wataalamu wa ujenzi.
Mradi huu unahusisha ujenzi wa miundo mbinu...
Utangulizi: Sauti ya Mange Kimambi na Karata Mpya ya Mapambano
Mange Kimambi amekuwa nguzo muhimu katika kuibua mijadala ya kijamii na kisiasa nchini Tanzania kutokea uhamishoni. Licha ya changamoto za kufungiwa kwa akaunti zake za Instagram na serikali kushinikiza masharti makali dhidi yake...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kupitia Rais wake Patrice Motsepe, limeeleza kuridhishwa na maendeleo ya maandalizi ya Tanzania kwa ajili ya AFCON 2027. Motsepe amesifu juhudi zinazofanywa nchini katika kuboresha miundombinu ya viwanja na maandalizi mengine, huku akisisitiza...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kujiandaa kutoa huduma bora za kibingwa na kibobezi wakati wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ambapo imeendesha mafunzo ya upasuaji wa magoti kwa njia ya matundu madogo kwa kushirikiana na wataalam kutoka...
Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF) limeeleza kuridhishwa na maandalizi ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo (MOI) katika kutoa huduma za tiba za michezo kuelekea Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 yatakayofanyika Tanzania, Kenya na Uganda.
Kauli hiyo...
Wakuu
Nimepitilia lineup za hivi vilabu vikubwa vya Simba na Yanga na kujiongea Utawala wa wachezaji wa kigeni katika vikosi vya kwanza vya Simba na Yanga, wakati Tanzania ikijiandaa kwa AFCON 2027, ni kisu chenye makali miwili. Kwa upande mmoja, nyota hawa wameiongezea Ligi Kuu ya NBC...
Uwanja wa Ndege wa Arusha umeboreshwa kwa kuongeza muda wa huduma hadi saa 24, kutoka kufungwa saa 12 jioni. Njia ya kuruka na kutua ndege imeongezwa kutoka km 1.64 hadi km 1.84, huku eneo la maegesho ya magari likipanuliwa hadi takribani mita za mraba 15,000, hatua zinazoongeza uwezo wa uwanja...
Kenya imeonyesha matumaini makubwa ya kupewa nafasi ya kuandaa sherehe za ufunguzi na kufunga mashindano ya AFCON 2027, yatakayoandaliwa kwa pamoja na Kenya, Uganda na Tanzania.
Local Organising Committee (LOC), inayoongozwa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CECAFA Nicholas Musonye, imewaambia...
Wakili Peter Madeleka, amewashutumu baadhi ya wasaidizi na watu waliopo pembeni mwa Rais kwa kumhujumu kiongozi huyo wa nchi na kuingiza taifa kwenye hatari.
Soma: Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON
Madeleka amebainisha kuwa...
Kwa kipindi sasa, Serikali imekuwa ikieleza kuwa nchini kuna vitisho vya ugaidi na kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea kuchukua hatua za kuzuia na kukabiliana navyo. Wakati huohuo, Serikali imeendelea kuwahakikishia Watanzania, wageni na mashirikisho ya soka kuwa Tanzania iko salama...
afconafcon2027
caf
chadema
dalili
evarist chahali
fifa
gani
hii
iko
jasusi
kushindwa
kuu
kwao
maana
msigwa
peter msigwa
political
poor
salama
samia
strategy
ugaidi
ujumbe
wanajua
wenzake
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa CHADEMA kimepanga kuziandikia barua taasisi za michezo duniani kama vile FIFA na CAF, pamoja na jumuiya nyingine za kimataifa, ili kuzitaarifu kuhusu kauli hizo za serikali.
Soma: Heche: Ndani ya siku 2, Viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.