adui

Neno "adui" katika lugha ya Kiswahili linamaanisha mtu, kikundi, au kitu kinachokuchukia, kinachokupinga, au kinachotaka kukudhuru. Kwa lugha ya Kiingereza, lina maana ya enemy, foe, au adversary.

Kinyume cha neno adui ni rafiki. Katika matumizi ya kila siku na muktadha wa Tanzania, neno hili hutumika katika maeneo makuu yafuatayo:

1. Kwenye Mahusiano ya Kijamii (Personal Adversaries)​

Linatumika kuelezea mtu ambaye hakutakii mema, anakufanyia vitendo vya kikatili, au mnagombana kila mara.
  • Mfano: "Sina ugomvi na mtu, mimi sina adui hata mmoja mtaani."
  1. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Mke au Mume sio adui

    Wanandoa mke au mumeo sio adui,huyo ndio rafiki yako,mwandani wako,msaidizi wako,kiburudisho wako,mnalala uchi,mna share liquids zenu ama kwa mdomo au kwa nyuchi zenu,na miongoni mwenu mnameza milenda na uji mzito mweupe,sasa ugomvi wa nini?, Kutokuaminiana kunatoka wapi? ,vita vya nini,hofu...
  2. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Usimchukie sana adui yako na kuwa mpofu ya uangamizo wako!

    Kama una chuki na adui yako jitahidi chuki isizidi. Pindi chuki ikizidi inakupofusha kutoona uangamizo wako. Yann ya kumtilia adui yako sumu kwene kisima ambacho wewe mwenyewe ndo unatumia maji?? HISTORIA YA SOMALIA NA JINSI NCHI KUBWA ILIVO ANGUKA CHUKI. Wasomali walijikuta wametawanyika...
  3. The Boss

    JamiiForums Tanzania Adui mkubwa wa Manara ni wakati

    Haji Manara anaweza kudhani ana maadui wengi wanaomfanyia fitina, lakini ukweli ni kwamba adui wake mkuu kwa sasa ni wakati. Wakati unapobadilika dhidi yako, unaweza kushangazwa na mambo yanayotokea na kudhani watu wanakufanyia fitina. Kwa upande wa Ally Kamwe, wakati unamfaa sana. Kila...
  4. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Waziri Rajabu (Katibu wa Rais): Adui Hapigwi Miguuni Anapigwa Kichwani; Adui Anayetokana na Wema Wako Hatakiwi Kusamehewa.

    Hii ni moja ya quotes alizowahi kupost Waziri Rajabu ambaye ni Katibu binafsi wa Rais wa JMT. "Tumeishi maisha ambayo mioyo yetu inapenda sana kusaidia watu ila kwa matukio tuliyo kumbana nayo tukiwa tunasaidia watu yametufunza tusiwe wepesi kusaidia watu na badala yake saidia sana familia yako...
  5. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Sheria ya 15:- Mponde adui yako kisawa sawa

    Hii ni Sheria ya 15 kati ya Sheria 48 za mamlaka zilizoandikwa na mwandishi ROBERT GREENE katika kitabu chake kiitwacho THE 48 LAWS OF POWER. Sheria hii imesema; CRUSH YOUR ENEMY TOTALLY, yaani mponde adui yako ipasavyo. Bila shaka mtu anayejitafuta kwenye maisha ni lazima awe na maadui. Kama...
  6. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Mara nyingi vita huwa ni mbinu ya kumrejesha nyuma adui yako

    Ni vigumu sana binadamu kukwazana mpaka kufikia hatua ya kupigana hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, sishangai Marekeani na washirika wake wanaweka vizuizi kuzalisha VILIPUZI kwa IRAQ, IRANI na mataifa mengine huku wao wakiendeleza kutengeneza mabomu haya. Kawaida kila taasisi...
  7. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Mwanaume!! Adui wa kwanza wa mafanikio yako ni mwanamke au wanawake utakaokuwa nao.

    Endeleeni kuwatukuza, Nimesoma leo Kitabu cha mwanzo pale kwenye bustani ya Edeni, Adam alikaa poa na viumbe wengine bila makwazo wala mzozo ila alipoingia mwanamke maisha yakabadilika mpaka leo tunaishi maisha yakiwaki. Nimegundua mwanaume kuishi mwenyewe bila mwanamke ndio nguvu ya mafanikio...
  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Ndugu yako anaweza kuwa adui yako wa kwanza

    Maisha yana fumbo kubwa. Yule ambaye hauna undugu naye wowote wa karibu ndiye anaweza kuwa msitiri wako wa kwanza wakati yule ambaye ni ndugu yako wa damu anaweza kugeuka kuwa adui yako asiyetaka maendeleo wala mafanikio yako. Tujifunze na tuchukue tahadhari.
  9. fakhbros

    JamiiForums Tanzania Usimhukumu adui yako, huenda yeye ndio sababu ya uwepo wako

    Siku moja Nyani waliposikia kwamba mtu aliyekuwa akiwafukuza kwenye shamba la mahindi amefariki, walisherehekea kwa furaha kubwa na Shangwe wakijipongeza na kuamini hakuna tena atakae weza kuwazuia kuiba Mahindi. Lakini mwaka uliofuata, hakukuwa na mahindi. Hapo ndipo walipogundua kwa uchungu...
  10. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunataka Rais wa 2025 achukie Rushwa na Ufisadi kwa moyo wake wote

    Ili kuboresha sekta ya kilimo nchini Tanzania mwaka 2025, Rais anayechaguliwa anaweza kuchukua hatua kadhaa muhimu ili kuimarisha kilimo, kuongeza uzalishaji, na kuboresha maisha ya wakulima. Hapa kuna mambo muhimu ambayo Rais anapaswa kuyazingatia: 1. Kuongeza Uwekezaji katika Miundombinu ya...
  11. Magical power

    JamiiForums Tanzania Leo tena wameenda kanisani kumuangamiza adui yuleyule waliyemuangamiza wiki iliyopita ...

    Leo tena wameenda kanisani kumuangamiza adui yuleyule waliyemuangamiza wiki iliyopita ... Mi nawaambia hawa watu ni VICHAA... !!!
  12. Bams

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wote ni ndugu, anayeteka ndugu zako ni adui yako

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akitaka kuamsha ari ya kila mtanzania kupigania haki za Mtanzania mwenzake, alisema kuwa "WATANZANIA WOTE NI NDUGU" Sentensi hii moja, kivitendo ni majumuisho ya matendo mema msululu. 1) Ndugu yako huwezi kumwua. Hawa viongozi wa CCM wanaowaambia polisi kuwa...
  13. machafuko jr

    JamiiForums Tanzania Je, yupi ni adui wa Tanzania?

    Tunaelewa kwamba maadui hawakosekani hasa ukiwa na potential ya kukuwa. Je yupi ni adui wa Tanzania?
  14. Chakaza

    JamiiForums Tanzania JWTZ mmetulinda vizuri dhidi ya maadui wa nje, sasa tuna maadui wa ndani wanaopaswa kuchukuliwa hatua

    Sio siri kuwa JWTZ inafanya kazi inayotukuka kweli kweli. Maadui wa nje hawafanyi chokochoko tena katika mipaka yetu. Lakini sasa kuna adui wa ndani ya nchi anateka watu, anawatesa na kuwaua apendavyo. Kuna faida gani mlinzi yuko getini tuu kuzuia azure wa nje wasiingie lakini kama yuko aliyeko...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kuwapenda Adui Zetu Katika Maisha ya Kila Siku

    Kuwapenda Adui Zetu Katika Maisha ya Kila Siku Katika mahubiri yake, Yesu alisema, “endeleeni kuwapenda adui zenu” (Mathayo 5:43-44; Luka 6:27, 35). Maneno haya yanamaanisha tunapaswa kuwatendea kwa upendo wale wanaotuchukia au kututendea vibaya. Hakuna mtihani mgumu ambao Kristo alitupa katika...
  16. hitler2006

    JamiiForums Tanzania Adui wa mwanamke ni mwanamke nimeamini

    Yanayoendelea katika sakata la ubakaji na ulawiti la clip iliyosambaa mitandaoni yanatafakarisha inawezekanaje haya kutokea katika nchi ambayo kiongozi ni mwanamke, Waziri wa ulinzi mwanamke, Spika wa bunge mwanamke, RPC wa mkoa husika lilikotokea tukio mwanamke Lakini kinachoshangaza zaidi ni...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Adui wa Mtanzania ni Mtanzania mwenzake wala si serikali

    Nitasema tena na tena kuwa serikali yetu haijawahi kuwa adui kwa raia wake. Haijawahi kuwa na nia ovu kwa raia wake hata siku moja. Watanzania wenzenu ndio wanageuka kuwa adui wa maisha yenu kisha nyie mnaisingizia serikali. Serikali inatenga mabilioni kununua dawa kwenye Vituo vya afya...
  18. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Adui wa adui yako ni rafiki yako

    Urafiki wenu umekutanishwa kutokana na adui wenu kuwa mmoja, Vijana kuweni makini sana
  19. Richard mtao

    JamiiForums Tanzania Mchanganye adui yako

    Hellow JF. Hii inaweza kuwa mwendelezo wa makala zangu za hapa na pale japo sijazipangalia katika mtiririko sahihi kwasababu ninaishi ninachokiandika. Nataka nikukumbushe kitu, najua wajua lakini nakujuza. Toka kuumbwa kwa dunia kumekuwa na aina mbalimbali za watu, mfano, Watu wema (Watu...
  20. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Adui wa ndugu yako ni adui yako ,,,Tumewalipia Simba deni lao la kichapo cha bao 4-0 toka kwa AMAKHOSI!

    Ndo Ivyo wananchi wamewalipia kisasi wale vijana wa Mangungu maana walipigwa chuma 4 kwa mtungi na kaizer chief! Wananchi wanatamba kokote na wanatoa adhabu kokote na kwenye uwanja wowote, siwatishi lakini Yanga wanatisha! Moja ya pre-season Bora kabisa imefanywa na Yanga msimu huu!
Back
Top Bottom