adhabu

Neno "adhabu" katika Kiswahili linamaanisha pigo, mateso, au malipo anayopewa mtu kutokana na kosa alilofanya au kwa kuvunja sheria. Kwa lugha ya Kiingereza, lina maana ya punishment, penalty, au sentence.

Hili neno hutumika katika mazingira mbalimbali, kuanzia ngazi ya familia, shuleni, hadi kwenye masuala ya kisheria. Hapa kuna mifano ya matumizi yake:

1. Kwenye Sheria na Mahakama (Legal Penalties)​

Mtu anapovunja sheria za nchi na kupatikana na hatia mahakamani, hupewa adhabu.

  • Adhabu ya kifo (Death penalty / Capital punishment).
  • Adhabu ya kifungo (Prison sentence).
  • Adhabu ya faini (Financial penalty / Fine)

2. Shuleni na Nyumbani (Disciplinary Actions)​

Hatua zinazochukuliwa dhidi ya mwanafunzi au mtoto ili kumfundisha nidhamu anapokosea.
  • Kupewa adhabu: Mfano, "Mwalimu amewapa wanafunzi adhabu ya kufyeka nyasi kwa kuchelewa shule."
  • Kutumikia adhabu: Kufanya lile jambo uliloagizwa kama malipo ya kosa lako.
  1. O

    Defilement Kenya: Mtoto Ana Umri Gani? Hivi Ndivyo Sheria Inavyoweka Adhabu

    Defilement ni kosa la kufanya tendo linalosababisha penetration na mtoto. Chini ya Section 8 ya Sexual Offences Act, sheria ya Kenya inaweka adhabu kulingana na umri wa mtoto wakati kosa lilipotendeka. Mtoto mwenye miaka 11 au chini: Mtu anayepatikana na hatia ya defilement anahukumiwa kifungo...
  2. Idugunde

    Hivi Mwanasiasa akiwekwa kifungo cha nyumbani wananchi huwa hawapewi taarifa? Nani huwa anatoa hii adhabu na kwa kosa gani?

    Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe. Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
  3. Jaji Mfawidhi

    Kukojoa Hadharani yawa Fashion Dar aibu na adhabu kali vihusike?

    Dar es salaam, ukipita pale Jangwani unaona bodaboda ametoa mboo yake anakojoa, hajali nani ni nani, hajali watoto wa kike wa shule ya zanaki wala jangwani. Ukienda maeneo mengi utaona wanaume wanatoa mboo, anakojoa na akimaliza anakunguta kunguta, unajiuliza hivi haoni aibu na fedheha, sasa ni...
  4. Zakaria Maseke

    Utaratibu wa mfungwa aliye gerezani kubadilishiwa adhabu ya kifungo cha gerezani kuwa huduma kwa jamii

    Uchambuzi wa kisheria kuhusu utaratibu wa mfungwa kubadilishiwa adhabu ya kifungo cha gerezani kuwa huduma kwa jamii: Mwandishi: Zakaria Maseke (Mwanasheria) (0612275246/0754575246) Makala hii inachambua utaratibu wa kisheria wa kubadilisha adhabu ya kifungo cha gerezani kuwa huduma kwa jamii...
  5. Idugunde

    Fifa waandikiwe barua nyingine ili Tff wapewe adhabu. Huwezi kupeleka mechi ya ngao ya hisani Zanzibar wakati Zanzibar wana ZFf na ligi yao.

    Kwa ujumla huku ni kuleta siasa kwenye mpira. Na ni kinyume na misingi ya Fifa inayozuia kuingiza siasa kwenye soccer👇
  6. Sprouts pre School

    Mtuhumiwa wa ulawiti ni sahihi kupewa adhabu ya viboko 7?

    Mahakama ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara imemhukumu kijana mwenye umri wa miaka 16 adhabu ya viboko sita baada ya kupatikana na hatia ya kosa la ulawiti, huku hukumu hiyo ikizua mitazamo tofauti kutoka kwa wadau wa sheria na ustawi wa jamii kuhusu uhalali wa adhabu hiyo kwa mtoto...
  7. R

    Kati ya hukumu ya kifo na kifungo cha maisha,ipi ni adhabu kali zaidi?

    Kati ya kufungiwa kwenye chumba ukae humo mpaka ufe au utundikwe kwenye kamba,au uchomwe sindano yenye kemikali za sumu au upitishiwe umeme wa msongo mkubwa kwenye mwili wako ufe instantly, ipi kati ya hizi ni adhabu kubwa kwa serious crimes?
  8. N

    Hivi wachungaji kama hawa wenye roho mbaya kwasisi wachungaji wapya wapewe adhabu gani?

    Inatia uchungu sana mwaka jana nilinunua kiwanja ekari tatu maeneo ya kibaha na mwaka huu mwezi wa tano nimeanza kujenga kanisa langu na nina amini nitapata wafuasi wengi kama akina kuhani mkuu, kiboko ya wachawi, Suguye,Mwamposa n.k. Sasa kuna hawa wachungaji ambao inaonekana kabisa wanachuki...
  9. K

    BAKWATA mpeni adhabu ya kisharia shakh Walid Kawambwa hii itamsafisha na huu uchafu.

    Jana Baraza kuu la waislamu Tanzania lilimfuta kazi shekh Walid shekh wa mkoa wetu wa Dar es salam kwa tuhuma za uzinzi Ieleweke kwamba kwa sharia zetu za kiislam mzinzi tena mwenye ndoa adhabu yake apondwe mawe hadi afe na hili ndilo linamstahili shekh Fanyenye hivi kwasababu nyie na...
  10. Q

    Waliopokea pesa za moto CHADEMA waanza kuliwa vichwa

    Hongera Chadema safisha uchafu, msicheke na kima yeyote mtavuna mabua. Chama ni kikubwa kuliko mwanachama, walikuwepo kina Zitto, Mkumbo, akaondoka Mbowe na G55 yake bado chama kinasonga, sembuse hawa vidagaa tena vibichi.
  11. instinct desire

    Tumezaliwa tukiambiwa magereza/Rumande nikubaya hebu ongezeni adhabu kwa hawa wahatarisha amani nchini ili wakitoka wawe mabalozi wa kulinda amani.

    Unajua amani ndo uchumi wenyewe pasipo na amani hakuna shughuli za uchumi, hakuna ajira, hakuna shule, hakuna madawa, hakuna nyongeza za mishahara, hakuna haki ya kuabudu nk. Haiwezekani mtu afanye kosa la kuhatarisha amani ya nchi au afanye vurugu halafu aende Rumande halafu atoke halafu...
  12. Tochuku

    Timu ya PAMBA wachezaji walipewa maelekezo maalumu kuwaumiza kwa makusudi wachezaji wa SIMBA, Bodi ya ligi itoe adhabu Kali kwa timu na refa

    Hii ni kweli kabisa na limeonekana wazi kabisa katika mechi ya leo. Ni neema na kudra za Mwenyezi Mungu tu TUMETOKA salama Wana Simba wachezaji wametoka Salama uwanjani. Ilaaniwe timu ya PAMBA na waliowatuma kufanya UHUNI huo. Nasubiri kamati ya masaa 72 ifanye kazi yake.
  13. ndege JOHN

    Chuki ni Mzigo Unaoubeba Mwenyewe, Sio Adhabu Kwa Unayemchukia

    Kuna kitu watu wengi huwa hatukikubali. Ukimweka mtu moyoni kwa chuki, hasira au maumivu aliyokutendea, mara nyingi si yeye anayeteseka bali ni wewe mwenyewe. Fikiria mtu anayetaka kupanda mlima huku amebeba magunia mazito mgongoni. Atafika juu kweli, lakini kwa shida sana. Ndivyo ilivyo kwa...
  14. M

    Watoto hawawezi kuchagua dini, ni wazazi au walezi huamua! Kwanini baadhi ya dini hukataza kuhama na hutoa vitisho vya adhabu kali ikiwemo KIFO?

    Watoto hawawezi kuchagua dini ipi inawafaa; mara nyingi ni wazazi au walezi ndio huamua. Mtoto hukua akipokea anachoambiwa bila nafasi kubwa ya kuuliza au kuchambua kwa kina. Anapofikia utu uzima na kuanza kuelewa maisha kwa undani zaidi, wakati mwingine hutambua kwamba imani aliyopewa...
  15. S

    POTOSHI Mdee aomba wasamehewe CHADEMA? Na kama kuna adhabu wapewe waitumikie?

    Wakuu NImekutana na huu ujumbe unaodaiwa kuchapishwa na Halima Mdee kupitia ukurasa wake wa X ingawa sijaiona je uhalisia ni upi? "tulifanya makosa wengine kwa kujua wengine kwa bahati mbaya, wengine waliondoka kwa sababu ya mifumo iliyo kuwa inalalamikiwa.,,msituhukumu kwa mapito yetu Bali...
  16. Yoda

    Kwanini hakuna adhabu ya kifo kwa mafisadi nchi za Afrika?

    Pamoja na ubaya mkubwa wa ufisadi katika maendeleo ya nchi kwa nini hakuna nchi hata moja ya Africa iliyoweka adhabu ya kifo kama China kuthibitisha dhamira kubwa ya kupambana na ufisadi?
  17. Mwanamwana

    Ile adhabu shuleni ya kuvalishwa kibao cha Swahili Speaker ilikuwa jau sana

    Leo bhana, katika pitapita zangu za hapa na pale, nikaangukia shule fulani, Basi bana, nikakutana na mwanafunzi kapendeza zake, lakini shingoni kavaa bango kubwa limeandikwa “Swahili Speaker”. Aisee! Hapo hapo akili ikafanya flashback kali moja kwa moja nikarudi enzi za 2003 hadi 2009...
  18. M

    Kwa hiyo adhabu ya mafisadi ni kuwaaibisha?! Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Rais Samia

    Leo Rais Samia amesema kuwa ripoti ya CAG ijayo itaje wanaofanya vibaya ili waone aibu, hivi anatambua kuwa kuiba ni aibu tosha ambayo wameivumilia hivyo ya kutajwa ni ndogo na hawawezi kuwaza wala kustuka? https://www.instagram.com/reel/DWgypeRjIYe/ Yaani mtu aibe pesa inayoweza kujenga...
  19. A

    KERO Kagera: Serikali iingilie kati, Wanafunzi wa Rubafu Secondary School wanapewa adhabu kali sana

    Kuna shule mpya ya Serikali Mkoani Kagera, Halmashauri ya Bukoba Vijijini inaitwa Rubafu Secondary School ipo Kata Rubafu. Ilifunguliwa ili kuwapunguzia mwendo Wanafunzi wanaotokea Vijiji vya Kyamalange na Rubafu ambao walikuwa wanatembea mwendo mrefu kwenda Katale Secondary School. Mkuu wa...
  20. M

    Naipenda sana dini ya kiislam lakini kila nikifikiria aina hii ya ubaguzi kwa watu wa dini nyengine hadi kuwaua kama adhabu huwa nachoka kabisa

    Kwanza kabisa ubaguzi unauona wazi kabisa kwa majina wanaowaita wasio waislam, MAkafiri, kwa lafudhi ya neno linavyotamkwa unaweza kudhani ni jambazi sugu au muaaji mkubwa sana. Zaidi ya hapo kuna adhabu ya kuua wanaobadili dini, mtu hana nguvu ya kuamua abadili imani yake akithubutu adhabu...
Back
Top Bottom