Upande wa Mashtaka umeiomba Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, kumpa adhabu kali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu, baada ya kukutwa na hatia ya kosa la uchochezi, ili iwe mfano na onyo kwa watu wengine wenye nia ya kuvuruga...