Wote wawili Adam na Hawa walikuwa na wajibu sawa kwa kula tunda
Waliomba msamaha
Allah aliwasamehe
Hakuna aliyelaaniwa. Mwanamke hakupewa adhabu ya kuzaa kwa uchungu, mwanaume hakupewa adhabu ya kula kwa jasho na wala Nyoka hakupewa adhabu ya kutambaa kwa tumbo.
Hakuna dhambi ya kurithi kwa...