Hahahahahah
Only in Tanzania
Nchi yetu kivyetuvyetu
Any way itajulikana tu kama hati ya mashtaka iinasomeka wizi wa ng'ombe halafu hukumu inasoma wizi wa kuku
Any way tutafika tu japo Safari ni ndefu na milima mabonde na mito ya kuvuka ni mingi
NI sawa na Simba aseme ameokoka hataua tena halafu anawabembeleza wanyama wanaokula majani wakutane kufanya maridhiano
Wanyama wajinga wanaamini kwamba kweli Simba kawa mlokole wanakubali kufanya nae kikao Cha maridhiano
Wakiwa kwenye kikao bwana ngedere na gitaa lake yupo juu ya mti anaimba...
Wadau kwemaaaa
Kuna mahali nimetulia muda huu napata zangu Serengeti lager na Kuna live band zinapigwa bakulutu hapa nimekumbuka mbali Sana na ninasuuzika vilivyo
Sheriee usilie mwanaa mamaa oooh najua wanipenda nimaruu mamaaaeh hata Mimi Sina Raha kuwa mbali naweeeeh shida na tabu zinafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.