Mkuu wa Jeshi la Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza kumvua vyeo vya kijeshi Luteni Jenerali Peter Elwelu, aliyewahi kuwa Naibu Mkuu wa Jeshi la nchi hiyo, na kumshusha hadi cheo cha mwanajeshi wa kawaida.
Katika ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa X, Muhoozi amemtaja...