Maxence Melo won the 2026 Netherlands Human Rights Embassy Tulip Award in Tanzania, announced on November 17, 2026.
• Recognition: The award honors his work advancing freedom of expression, protecting digital rights and journalistic sources, and supporting policy reforms such as Tanzania's...
Bila umakini utauziwa earthing rod copper coated badala rod ambayo ni pure copper. Fake ukikwangua kidogo tu ni chuma siyo shaba. TBS wanahitaji kuwa makini zaidi.
Hoja si uwezo wa kununua, bali mantiki ya matumizi katika mazingira yetu. Hivi: kuvaa mfano mink coat(vazi la bei mbaya) Joto la Dar es saalam inaingia akilini?
Mswahili kununua Rolls-Royce, Bentley au Cadillac kwa kujionyesha ni ushamba wa kuazima!
Haya ni magari yaliyokuwa alama za aristocracy, social status na social rank Ulaya—si luxury tu. Aristocrat aliyanunua kusisitiza nafasi yake katika jamii.
Sisi Waswahili hatuna hiyo aristocratic social...
Msabato David Maraga alisimamia kidete uhuru wa mahakama Kenya 2017 . Mahakama ya Juu, chini ya Jaji Mkuu David Maraga, ilibatilisha uchaguzi wa urais licha ya mshindi kuwa tayari ametangazwa. Uamuzi huo ulionyesha kuwa Mahakama huru inaweza kuisimamia hata Serikali yenye nguvu, bila kuogopa...
“Mimi ni tembo? Nyumba kubwa hivi?”
Kama kweli tunataka kujifunza kutoka kwa Nyerere, basi tukumbuke: heshima ya kiongozi haipimwi kwa ukubwa wa nyumba, bali kwa uadilifu, utumishi na namna anavyotumia dhamana aliyopewa.
Kilichochangia zaidi endurance na determination kukamilisha azma/malengo pamoja na maisha yako hasa ya familia kuvurugika. Mazoezi ya kijeshi bila shaka pia yamechangia mafanikio.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.