Recent content by sekema jilipo

  1. sekema jilipo

    Full Time : Tanzania 0-0 Nigeria | Kufuzu AFCON 2027 | Amani Complex - Zanzibar

    Kipigo kama Kawa wapigwe TU hai stars
  2. sekema jilipo

    Maafisa wa ICC wapo nchini

    Ni jambo zuri kama ni kweli
  3. sekema jilipo

    Maxence Melo ashinda Tuzo ya Haki za Binadamu ya Embassy Tulip Award 2026

    Hongera Sana Mkuu Hakika mchango wako tunauona na tunautumia vizuri
  4. sekema jilipo

    Kuna simu ya moto nimepokea toka juu tuna hatari bado aisee

    Hizi Ndio Tunaita ramli Chonganishi
  5. sekema jilipo

    TANZIA MwanaJF mwenzetu QUIMICA amefariki dunia

    Kazi Yake Mora Haina Makosa
  6. sekema jilipo

    Natafuta mchumba

    Wanaweza kuwa serous ila vigezo ndio tatizo pia mtu unauhitaji mwingine yupo mwanza anae mpata yupo dar aisee hii SI ni complicated relationship
  7. sekema jilipo

    Natafuta mchumba

    Katika Kitu ambacho watu wengi tunateseka nacho ni mwenza sahihi hili nasapoti Kuna siku MIN me aliwahi kupost hii hoja
  8. sekema jilipo

    Hivi watu mnao miliki simu za gharama mnapata faida gani?

    Mkuu hoja Yako ni nzuri kabisa ila penye Wachumba Sasa hapo ndio umetuchanganya wajumbe.
  9. sekema jilipo

    Mkuu wa Mkoa Mbeya awapa bajaji siku tatu kuhama TANZAM highway!

    Kikolo,mbeya Yetu watu wa jiji ndio walioleta balaaa kutoa vibali vingi ilhali miundo mbinu haiko Sawa na nakwambia hili iyo juma tatu italeta vurugu Hawa wa bajaji sio wanyonge kiasi hicho
Back
Top Bottom