Ndugu, Kuna msemo "Privacy is Power" inamaanisha kuwa na udhibiti juu ya taarifa ambazo watu wengine wanazo kukuhusu, kunakupa faida, ulinzi, na uhuru wa kujiamulia mambo. Wengine wasipoyajua mipango yako, changamoto unazopitia, au maelezo binafsi kukuhusu, hawawezi kukuhukumu, kuhujumu mambo...