Ipo siku binadamu atakushangaza na kisasi kitalipwa tu hata iweje. Watu wana machungu sana mioyoni mwao alafu hatujui wanawaza nini? Jaribu kufikiria nani angeamini October 29, 2025 kama vijana wangetoka barabarani. Kwahiyo usimkatie tamaa mwenye hasira na machungu
Tanzania yenye madini, gesi, vivutio ila bado choo kinajengwa na wafadhili. ila viongozi wote wana V8 ambazo ziko standard, service uhakika na hamna kitu wanakumbuka kuhusu mtu wa hali ya chini. Ndio leo mnawaza satellite
Yametushinda na uku chini kama barabara nzuri, shule nzuri na zenye vifaa, hospitali bora na zenye vifaa, maji na umeme bado ni changamoto. Tutaweza hayo ya uko juu na hizi siasa mbovu kwenye hii nchi. Naona ni siasa kama zingine. Embu Tupe na link tuone wote
Mkuu hujawahi kwenda magereza usiombe ilo mkuu. Na kamwe usimwombee binadamu mwezio kwenda kule kama sehemu salama kwake. Kule wanaenda kufundishwa adabu na sio kupumzika mkuu. Waza mara mbili angekiwa baba yako ungesema aendelee kukaa gerezani sababu ni salama kwake?? Akae huko mpaka lini? Waza tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.