ICC hawadeal na uchochezi, wao wanadeal na mauaji. Hivyo ICC wanatafuta walioua ila SAMIA yeye anajitahidi kupika taarifa ya waliochochea.
Sasa wewe lete ushahidi ya walioshtakiwa na ICC kwa kuchochea, bali wanastakiwa ni walioua au kufadhili wauaji. Lisu amefungwa kwa uchochezi.
Kila taasisi inavuruga miundombinu ya mwenzie ili ifanikishe kuweka miundombinu yake mwishi wa siku maji yanapotea na wananchi wanakosa huduma ya maji.
Mwisho japo si kwa umuhimu, hizo taasisi zote zikiweka michoro yao mezani kwa pamoja kabla ya kuanza kutekeleza miradi yao tutapata mafanikio...
Shida inatokea mbali sana. Shida kubwa inaanzia kwenye planning ya taasisi zifuatazo hapa chini.
1. Mipango Miji.
2. TANESCO
3. TARURA
4. TANROADS
5. MAMLAKA YA MAJI
6. TTCL
7.
Nani alikuchagua kwenye hicho cheo unayojitambulisha kama m/k wa kamati ya kusukuma maridhiano?
Be strong.....machifu wetu wakina Odemba hawakuwa legelege kiasi hicho.
Ndugu yangu Oderos, tambuq kuwa kuna ndugu zako wanaokufahamu kwa karibu sana hawapendezwi na namna ulivyochagua kuendesha siasa zako.
Tambua pia kuwa waliokutanguliza mbele wanawasiliana na watu kuonesha namna ulivyo bure kabisa.
Tambua pia Jina lako linatumika ndivyo sivyo kwa manufaa ya...
Hapo Watu wa Sudan wanajiuliza huyu mzee ni raia wa wawapi? Wakiambiwa ni kutoka Tanzania, then kila wakitaka kucheka wanaweka hiyo habari kama mchezo wa futuhi ile ya Star TV
Wimbo wa maridhaiano inachosha, mnaosema maridhaino mkiulizwa mariadhiano ya nini mnapiga kona hamtaki kujibu maswali.
Nakupa swali, CHADEMA wakaridhiane na nani na kuhusu nini?
Ukiona Kiongozi wa kaya anapenda na kuruhusu wanakaya kufanyiwa hivyo tambua kuwa na yeye anapenda mambo hayo.
Ile kesi ya Mange kuwa yule katibu anamsaga iliishia wapi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.