Recent content by Renegade

  1. Renegade

    Ni starehe gani ulishawahi kuiona ilikushangaza sana, haya maconnection ni bomu la muda mrefu lilisubiri kulipuka tu

    Siku moja nilikutana na dada mmoja airport nikamuona amekaa kistaarabu, tukaelewana, siku nilipokutana naye akaniambia nyege zake ziko mbali, nikakubali, nilimpiga pombe za nguvu, kutoka hapo alipata shoo ya ajabu sana, na ulevi wake alilia sana, eti siku nyingi alikuwa hajakojoa, nilimuona...
  2. Renegade

    Kikatiba, kutokuwa na kitambulisho cha NIDA kunaniondolea utanzania wangu?

    Umeshasafiri siku za karibuni? Uhamiaji wapo kila mahali wanawashukia wasio na NIDA.
  3. Renegade

    Natafuta mpenzi

    Jamani, jamani unataka unikoseshe utamu hivi hivi kweli? Ukiwa Mama mdogo utadekezwa kuliko mtoto wa mwisho.
  4. Renegade

    Gerson Msigwa: Semeni, nani aliikosoa Serikali halafu akapotea?

    Nothing is permanent under the Sun. Nikwambie kitu? Katika maisha yangu hii slogan huwa inaongea moyoni mwangu siku zooote.
  5. Renegade

    Natafuta mpenzi

    Yaani tumepatana kwa kweli, Nami nilikuwa natafuta ila mke wa pili, unasemaje Mpenzi?
  6. Renegade

    Anaandika Jasusi Wa Majasusi

    Hapana, haya ni madai ya Moja kati ya team za Simba. Mimi sio timu Mangungu.
  7. Renegade

    Anaandika Jasusi Wa Majasusi

    Yah, nasikiaga yupo kwenye payrol ya Jiesiemu.
  8. Renegade

    Mtukufu Rais Samia , maridhiano yanafanywa na watu wanao tofautiana, sasa hawa marafiki wako wanaokuunga mkono kwa kila kitu mnaridhiana nini?

    Katumia kama Tafsida tu, Kinyume chake ndio anachomaanisha kwa huelewa wangu.
  9. Renegade

    Mtukufu Rais Samia , maridhiano yanafanywa na watu wanao tofautiana, sasa hawa marafiki wako wanaokuunga mkono kwa kila kitu mnaridhiana nini?

    Hili bandiko linakufanya uzidi kuonekana kuwa Maisha yako hayana thamani yoyote hapa duniani, hata Mbwa na thamani kuliko wewe. Huna thamani yoyote na hujawahi kuna nayo.
  10. Renegade

    Anaandika Jasusi Wa Majasusi

    Mbona Mnasemaga Huyu Mangungu ni Pandikizi la Yanga? Kulikoni tena?
  11. Renegade

    Natafuta mpenzi

    Sawa, Ahsante nashukuru kwa ufafanuzi. Nikipata wasaa nitajifunza zaidi kwako.
  12. Renegade

    Natafuta mpenzi

    Tate Mkulu kanisa la Mungu Baba ndio dhehebu gani tena?
  13. Renegade

    Hivi kwa nini bongo hatuthamini na kuheshimu vitu vya nyumbani

    Ndio maana anashabikia uovu, anafikri kuwa situation aliyonayo leo itabaki milele, kama mpuuzi mmoja anayefikiria kuwa atakalia kiti milele.
  14. Renegade

    James Kiliba,Sylvia Balwire,Tumain Shija,Simon Karikari ,Jerome Albou ,Paul MAKONDA na NOC ENGINEERS na Kupigwa risasi Kwa Tundu Lissu

    Marekani ina taarifa zote za matukio ya Tanzania, ndio maana inamlinda Mange Kimambi.
Back
Top Bottom