Recent content by Pascal Mayalla

  1. Pascal Mayalla

    PostGE2025 Hamza Johari adaiwa kujaribu kumng'oa Mange Kimambi nchini Marekani

    Sii kweli kuwa Hamza Johari , hana degree ya sheria, anayo alisomea Ukraine na ana LL.B, ila sijui kama hicho chuo ni an accredited university, ila Ukraine wana vyuo vizuri, na alitakiwa baada ya kurudi nchini, aisajili LL.B yake ifanyiwe FAAS, kama inakidhi viwango vya TCU, then anakwenda LST...
  2. Pascal Mayalla

    Hivi ni kweli hii kuwa ma-RAS wote, Wakuuu Mikoa, ni Usalama wa Taifa?

    Solution ni moja tuu, the one and only, katiba mpya!. P
  3. Pascal Mayalla

    Kifungo kinaweza kuwa hukumu ya Mahakama, lakini si lazima kiwe ushindi wa hai

    Naunga mkono hoja, - Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini? P
  4. Pascal Mayalla

    Hivi ni kweli hii kuwa ma-RAS wote, Wakuuu Mikoa, ni Usalama wa Taifa?

    Hao wote kuwa ma Tiss, hawazuii chochote kwenye demokrasia ya kweli, kwasababu ma Tiss hao wako hivyo hivyo nchi zote duniani ikiwemo Marekani, wale maofisa wao wa ubalozi, wote ni ma CIA, lakini vyama vinapokezana. Kwa Tanzania, tatizo ni katiba ya chama kimoja, hivyo CCM sio tuu ni chama cha...
  5. Pascal Mayalla

    PostGE2025 Heche na Mnyika, Mazungumzo ya kisiasa na serikali kutatua mkwamo wa kisiasa na suala la Lissu kuwa huru kamwe isitafsiriwe kama ni kupiga magoti

    Nawaunga mkono viongozi wa Chadema wasizungumze na yeyote mpaka kwanza waonyeshe kwa matendo nia njema!. Watu wote hata wasio wanasheria wanajua neno "tutakinukisha" sio uhaini, ni uchochezi!, wakambambikia kesi ya uhaini ya kubambikiza!, wakamuweka mahabusu siku 577!, baada ya kukutwa hana...
  6. Pascal Mayalla

    Ninawasihi sana viongozi wetu wa CHADEMA kuzingatia sana suala la Dipolomasia ya Mazungumzo ya kisiasa kutatua suala la TUNDU LISSU

    Mimi ndio niko hivi siku zote Mimi hata nikitukanwa humu, kitu cha kwanza ni kusamehe, kisha kumgongea like huyo aliyenitukana. P
  7. Pascal Mayalla

    PostGE2025 Heche na Mnyika, Mazungumzo ya kisiasa na serikali kutatua mkwamo wa kisiasa na suala la Lissu kuwa huru kamwe isitafsiriwe kama ni kupiga magoti

    Mkuu Odero Charles Oderos , nakuunga mkono, ila nawashauri Heche na Mnyika, wasiukubali ushauri wako mpaka wahitaji mazungumzo kuonyesha nia njema ya dhati kwanza kwa kukubali kuna tatizo, watoe pole kwa Watanzania, wamwachie Lissu, ndipo Chadema, waje mezani!. Kwenda kwenye meza ya mazungumzo...
  8. Pascal Mayalla

    Ninawasihi sana viongozi wetu wa CHADEMA kuzingatia sana suala la Dipolomasia ya Mazungumzo ya kisiasa kutatua suala la TUNDU LISSU

    Ndugu yangu Odero Charles Oderos , najua una nia njema kuhamasisha mazungumzo, kitu muhimu kabisa cha kwanza kwenye mazungumzo yoyote ya maridhiano, kwanza ni kukubali kuna tatizo, kukiri makosa, na kuonyesha uwepo wa nia njema na dhamira safi na ya dhati ya kuridhiana, sio unawaita watu waje...
  9. Pascal Mayalla

    Hivi ni kweli hii kuwa ma-RAS wote, Wakuuu Mikoa, ni Usalama wa Taifa?

    Ni kweli!, kuna usalama wa taifa wa aina tatu Waajiriwa: Hawa wanakuwa spotted toka shule, wakimaliza wanakwenda Mbweni, kisha wanaingia mzigoni, hawa ni ma pro. Duty: Hawa ni viongozi wote wa ngazi ya uandamizi, hivyo unawajibu duty of care kuripoti kule!, wakuu wote wa idara, mameneja wote...
  10. Pascal Mayalla

    Mikopo, Nchi ya Mikopo

    Haya ndio mabandiko ya kizalendo na huu ndio uzalendo. CAG Prof Assad alitoa ushauri mzuri sana kuhusu deni la taifa, yule Blaza wangu akammind, akataka kumuadhibu akajikuta hawezi, ndio akamtuma yule andunje wa kule wamsusie. CAG, Prof. Mussa Assad, Atoa Dawa ya Kutibu Ugonjwa Hatari wa Deni la...
  11. Pascal Mayalla

    PostGE2025 Kikao chao cha Maridhiano chaahirishwa kwa Muda usiojulikana

    Hii maana yake kuna sababu nzuri tuu, Sii kweli! Hawakudanganywa, ni kweli ni kikao cha kawaida, ila ni cha ndani, ndio maana kilikuwa kinafanyikia Ikulu Vikao vya ikulu, huwa hawaaliki mabalozi!, hivyo kitaitishwa tena, na kitafanyikia JNCC, mabalozi wataalikwa na watahudhuria!. P
  12. Pascal Mayalla

    Kampeni Dhidi ya ‘Ushoga’ ni Mkakati wa Kupasua Nchi Vipande 22, Kulisambaratisha Baraza la Mawaziri, Kumwangusha Mama

    Hiyo ni mila yao, huyu mwanamke mkubwa anakuwa alifiwa na mume bila kujaaliwa kupata mtoto wa kiume wa kuendeleza ukoo, hivyo anaoa ka binti, ili kamzalie mtoto wa kiume, kabinti kakishaolewa kanakuwa ni mke wa mama, hivyo mama ndio anakatafutia mwanaume wa mbegu tuu, ili kuendeleza ukoo, na sio...
  13. Pascal Mayalla

    Soon wanasuguana hapo juu

    Ni vizuri ikitokea hii vita ya panzi, ni furaha kwa yule kunguru!. P
  14. Pascal Mayalla

    Kampeni Dhidi ya ‘Ushoga’ ni Mkakati wa Kupasua Nchi Vipande 22, Kulisambaratisha Baraza la Mawaziri, Kumwangusha Mama

    Kwenye Nyumba Ntobhu , kuna umiliki wa familia ya jinsia moja lakini hakuna mapenzi ya jinsia moja! Nyumba Ntobhu sio ushoga!. P
Back
Top Bottom