Sasa kama hapa Jukwaani tu mkuu Fundi Mchundo huoni hoja yeyote ya maana ya wachangiaji wote kuhusu CHADEMA kutoshiriki hayo mazungumzo sijui maridhiano, Ukiwa ndio mjumbe wa CCM wa hicho kikao utakubaliana nao kwenye lipi?
Wewe ndio kipimo sahihi cha hali ya utayari wa Ccm kuwa wakweli kwenye...
Hakuna mtu aliyesema maamuzi yake ni sahihi, ila unaelekezwa situation ilivyo mpaka akafikia maamuzi hayo.
Wewe unakomaa sijui mkataba, hayo mambo yalikuwa yanazungumzika vizuri na yasingefikia hatua iliyofikia.
Makazini kuna ubinadamu pia ukiacha sheria na kanuni.Shukuru hajamdhuru huyo...
Hawezi kukuelewa, kama ambayo mtu yupo Kkoo ana mzunguko wake wa biashara hatakuelewa.
All in all Dar kuna diversification ya fursa nyingi kuliko Mikoani ndio maana watu wamejaza.
Mwisho kutoboa ni juhudi,Bahati ya mtu binafsi
Hiyo ni kampuni ya kihuni tu mkuu, mfanyakazi wako kafiwa na mtoto kachelewa siku 3 unamfukuza.
Okay sawa umemfukuza mpe chake aondoke bado unamletea story. Unafikiria ni roboti huyo?
Wakati wan
Wakati wanaandika barua ya termination, wangeandika na ya malipo yake simple. Ningemshangaa operator kama angeharibu Mali wakati ashalipwa.
Yes amekosea alichofanya ila kampuni imekosea pia kumcheleweshea malipo yake.
Nafikiri ugomvi ulitokea alipoanza kutaka hela na kujibiwa...
Wachina walipe watu kwa mujibu wa mikataba waache janjajanja, Siku 17 mtu hajalipwa kwanini? Mbona wanaweza kumfukuza kazi kwa kuchelewa siku 3 na sio kumlipa ndani ya siku 1?
Kuna Clip inaonyesha mchina akimjibu operator majibu ya hovyo, aende popote hamlipi.
Ulitegemea meneja ajibu nini...
Epl ukiangalia kwa juu juu utaona ni ligi rahisi sana.Kwamba utacheza na Coventry utamfunga goli 5.
Hakuna points rahisi EPL, muda wowote unaaibika.Angalia City anavyopata tabu kwa Nottingham.
Ukipata points 3 furahi, songa mbele.
Una Afya njema, huna ulemavu unakataje tamaa na miaka 35?
Kuna mtu miaka 35 anarudia mitihani ya Form 4.Na anatoboa mbeleni.
Kuna mtu 35 anafilisika anaanza upya. Mwingine ndoa inavunjika mwingine anaoa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.