Duh, hapo kwenye sucre niondoe hadi unifahamishe maana ya sasampa, ndugu yako mimi ni kijana mwenye mambo ya kizee, hapa nasikiliza album ya TP OK Jaz ya mwaka 1979, sauti za wakali kama kina Simaroo Lutumba, Kiambukuta na mtaalamu mwenyewe Mayaula Mayoni na ulevi wangu kwenye gitaa la mkongwe...