Recent content by nzalendo

  1. nzalendo

    Sasa leo sijui niandike nini.....

    Najaribu kutafuta masihara ya hapa na pale naona daaah nimeishiwa..... Naangalia angalia fix za kupiga naona mtihani...... Story za kitambo naona zishaanza kuwaboa ngedere,,,,, Mambo ya misambwanda na kuzagamuana...yaani kupiga para naona haya ndiyo yana mashabiki.. Lakini haya mambo ya...
  2. nzalendo

    Maxence Melo ashinda Tuzo ya Haki za Binadamu ya Embassy Tulip Award 2026

    HONGERA SANA MKUU.. FOR SURE YOU DESERVE IT. THIS AWARD IS A TRUE REFLECTION OF YOUR DEDICATION AND HARD WORK.
  3. nzalendo

    Watoto wa kiume kwa kawaida.....

    Huwa hawapendi kuona mama yao anapigwa miti, Hii ni tofauti kabisa na watoto wa kike.,,,, Hufurahia pale mama yao anapozagamuliwa na mtu ambaye si baba yao, Ni utafiti wa miongo kadhaa sehemu tofauti tofauti...hasa bara. Lakini kuna pahala nilifika ilikuwa ni kinyume. Vijana wa kiume...
  4. nzalendo

    Matumizi ya Neno Mkuu JF

    Uko sahihi mkuu.
  5. nzalendo

    Mtanzania aharibu mali za Bosi wake Mchina baada ya kutolipwa mshahara

    Haya mambo toka kitambo tumeyazoea kwa sisi tuliokuwa maTX,,,,ni vile tu kulikuwa hakuna namna ya kuyarekodi,
  6. nzalendo

    Wife alivyoniharibia siku yangu

    Mkikua mtaacha
  7. nzalendo

    Uthibitisho wa maisha baada ya kifo. Hawa watu walikufa, wakazaliwa tena, kisha wakayakumbuka maisha yao yaliyopita

    Iko hivii...nikiwa na umri huo nilikuwa ninakaa na bibi na babu..... nakumbuka vizuri nilikuwa nasimulia sana...na ki ukweli walikuwa wananisikiliza kwa umakini kama vile kuna kitu wanafahamu...ILA MWISHONI WANANIPA ONYO NISIWASIMULIE WATU.
  8. nzalendo

    Uthibitisho wa maisha baada ya kifo. Hawa watu walikufa, wakazaliwa tena, kisha wakayakumbuka maisha yao yaliyopita

    Mimi mwenyewe nina kumbukumbu mubashara ya nilipokuwa ninaishi...lakini sina namna ya kuelezea watu wakanielewa.
  9. nzalendo

    Serikali punguzeni kodi kwenye mabasi mpunguze ajali

    TANZANIA UKIWA NA MAWAZO MAZURI. 1.UTAPINGWA....UJIKO WA KISIASA 2.UTATENGENEZEWA ZENGWE...CHA JUU ALE NANI 3.UTAROGWA.
  10. nzalendo

    Akashika kichwa ili aingize

    Naam safari ilikuwa ndefu sana toka alfajiri mpaka mida ya jioni jioni hivi..... Tukafika pahala tukaamua kuegesha gari ,,,zamani hizo nyumba za wageni zilikuwa chache sana. Mwana mama akatoa mkeka,akautandika. Mie nika ambaa ambaa kando kando ya barabara kutafuta kuni. Nikaweka mafiga na...
  11. nzalendo

    Historia ya Wachagga

    Halafu wachagga hukaa na ng'ombe ndani ya nyumba.. Yesu alipozaliwa alilazwa kwenye hori la kulishia ng"ombe linafanana kabisa na mambo ya kina BWASHEE
  12. nzalendo

    Historia ya Wachagga

    ELIka,,,jina la kike IndiaELI,,jina la kike... Ongezea ule utamaduni wa kujukuika pamoja nyumbani. n.k n.k
  13. nzalendo

    Kabati ya kioo cha Aluminium inauzwa, haina changamoto yoyote nabadilisha biashara tu

    Hili kabati nalifahamu....nimelikumbuka.....
  14. nzalendo

    Mwanamke auawa na kijana ambae walikuwa wakiishi kama mke na mume

    Yap Wakati mapenzi ni service ya kawaida sana. ...mtu ukibebwa shikilia..... Mie nilikuwa nasaidia kupima pombe...kuosha vyombo vya pombe...kukusanya hela kwa walevi na usafi kwa ujumla....NA HAYO YOTE NIKAZIDISHIWA>>>NA KUPEWA UKARIMU WA KIFALME..... :)
  15. nzalendo

    FITNA NA CHUKI SEHEMU ZA KAZI

    Katika harakati za kutafuta maisha kuna mambo mengi ya uchungu na kukatisha tamaa. Uonevu ni sehemu ya riziki, Chuki nazo zimejaa toka enzi na enzi, Nilishuhudia pahala Boss anarogwa mchana kweupe, ili tu... amchukie jamaa ambaye ni jembe kwelikweli. Haya mambo nilidhani ni kwetu uswahilini...
Back
Top Bottom