Hivi wakuu tuseme umeajiliwa taasisi fulani mfano tume ya madini, umeingia kama assist technician ll Kwa certificate je ukienda kusoma diploma ya laboratory technolog je unaweza kupanda dalaja au lazima uende taasisi ya kozi yako labda TBS au mchemia?
Wakuu Nina Hali naipitia maeneo ya kazini .Yani maeneo yote nliyofanya kazi Hali hii hunikuta.
1.Nachukiwa bila sababu kazini
2.hata kama Sina pesa hata mia watu hufikilia Nina pesa Yani hata Mtu akisema nimkope nikasema Sina basi huzani nimemnyima
3. Watu huzani labda nipandikizi la usalama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.